Siku Marekani ikisambaratika, kitatokea nini duniani?

Ikisambaratika taratibu dola nyingine itachukua nafasi yake taratibu na mabadiliko yatatokea taratibu kulingana na values za hiyo dola mpya.

Ikianguka ghafla itakuwa janga la kidunia litakalosababisha chaos za kiuchumi na kisiasa dunia nzima pamoja na kuanguka kwa sehemu kubwa ya uchumi wa dunia.
 
Ikisambaratika taratibu dola nyingine itachukua nafasi yake taratibu na mabadiliko yatatokea taratibu kulingana na values za hiyo dola mpya. Ikianguka ghafla itakuwa janga la kidunia litakalosababisha chaos za kiuchumi na kisiasa dunia nzima pamoja na kuanguka kwa sehemu kubwa ya uchumi wa dunia.
Ni bora ianguke taratibu na isitake kuanguka na wengine.

Ikianguka taratibu hakutakuwa na shida sana maana gradually kutakuwa na dola nyingine ina fill the vacuum left.

Ikiwa ghafla dola nyingine opportunist zitajitutumua na kuleta machafuko maana hakuna tena wa kuwachapa fimbo.

Ikitaka kuanguka na wengine maana yake itataka kupigana na dola inayotishia ukiranja wake. Na hapa namaanisha China (na labda Russia) au zote kwa pamoja. Hapa lazima vita mbaya sana ipiganwe ili kuestablish dominance. Tuombe sana hili lisitokee
 
Historia inaonesha kwamba Dola kubwa duniani zimewahi kusambaratika. Lakini katika zama zetu, Marekani ni Dola kubwa Ulimwenguni. Huwa najiuliza ikitokea nchi ya Marekani ikasambaratika, kitatokea nini duniani??
Hakutakuwa na Vita Kona yoyote ile duniani,ustawi wa watu maana unyinyaji itakua umepotea na vikwazo vinavyoleta ugumu wa maisha(Korea kadkazini,Iran,Venezuela, Cuba) havitokuwepo
 
Sio rahisi Marekani ianguke ghafla, Urusi haiwezi kuingusha Marekani kwa ghafla kwa njia yoyote ile, kiuchumi au kijeshi. China nayo haiwezi kutaka kuiangusha Marekani kwa ghafla kwa vyovyote vile, Marekani ndio mshirika wake mkubwa wa biashara, ndio nchi iliyonunua Treasury bonds zake nyingi, ndio nchi ambayo reserves zake kubwa zaidi ziko katika sarafu yake. US ikianguka ghafla inaanguka na karibia uchumi mzima wa China.
Ni bora ianguke taratibu na isitake kuanguka na wengine.

Ikianguka taratibu hakutakuwa na shida sana maana gradually kutakuwa na dola nyingine ina fill the vacuum left...
 
Marekani na mshirika wake pale ulaya ndo dola ya mwisho kwa ulimwengu wetu.
mtrrko upo hivi:
BABILONI>UMEDI NA UAJEMI>UGIRIKI>ROMA>MAREKANI NA UINGEREZA>UFALME WA MUNGU(Daniel 2:44).

baada ya UFALME WA MUNGU KUSHIKA HATAMU, ulimwengu utakuwa salama..

Ufalme huo utakomesha matatizo yafuatayo na mengne mengi.

1.VITA.
Zaburi 46:9"ANAKOMESHA VITA KATIKA DUNIA YOTE."

2.NJAA
Zaburi 72:16"KUTAKUWA NA NAFAKA NYINGI DUNIANI, ITAFURIKA JUU YA MILIMA."

3.KIFO
1wakorintho 15:26:"NA ADUI WA MWISHO ATAKAYEANGAMIZWA NI KIFO"

Na mengne mengi, kama ufufuo wa wapendwa wetu waliokufa na kuondelewa kwa magonjwa, in fact Mungu anasema atatimiza tamaa ya kila kilicho hai.

Nyakati nzuri zipo mbele yetu.. La msingi tufanye kile tulichoagizwa na Yesu, yohana 17:3"UZIMA WA MILELE NDIO HUU, WAKUJUE WEWE,MUNGU WA PEKEE WA KWELI NA YULE ULIYEMTUMA,YESU KRISTO".
 
Yesu mwenyewe kakimbia, Rudi, rudi na wewe.Bibilia bibilia.HUYO BIBI HUWA HACHEKI.
 
Hebu soma unabii huu Kutoka katika kitabu Cha Isaya (14:10-17)

10 Hao wote watajibu na kukuambia, Je! Wewe nawe umekuwa dhaifu kama sisi! Wewe nawe umekuwa kama sisi!

Isaya 14:10
11 Fahari yako imeshushwa hata kuzimu, Na sauti ya vinanda vyako; Funza wametandazwa chini yako, Na vidudu vinakufunika.

Isaya 14:11
12 Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!

Isaya 14:12
13 Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.

Isaya 14:13
14 Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.

Isaya 14:14
15 Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo.

Isaya 14:15
16 Wao wakuonao watakukazia macho, Watakuangalia sana, wakisema, Je! Huyu ndiye aliyeitetemesha dunia, Huyu ndiye aliyetikisa falme;

Isaya 14:16
17 Aliyeufanya ulimwengu ukiwa, akaipindua miji yake; Asiyewafungua wafungwa wake waende kwao?

Isaya 14:17
 
Ni bora ianguke taratibu na isitake kuanguka na wengine.

Ikianguka taratibu hakutakuwa na shida sana maana gradually kutakuwa na dola nyingine ina fill the vacuum left.

Ikiwa ghafla dola nyingine opportunist zitajitutumua na kuleta machafuko maana hakuna tena wa kuwachapa fimbo.

Ikitaka kuanguka na wengine maana yake itataka kupigana na dola inayotishia ukiranja wake. Na hapa namaanisha China (na labda Russia) au zote kwa pamoja. Hapa lazima vita mbaya sana ipiganwe ili kuestablish dominance. Tuombe sana hili lisitokee
Hasa wavaa kobaz wanaweza kuanza kujitokeza kutaka kueneza itikadi ya uvaa kobaz wao!
 
Back
Top Bottom