Hii ndio ‘Rockerfeller Document’ ya mwaka 2010 iliyotoa maelekezo ya kusambaza ugonjwa wa Corona duniani

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
3EA567B8-9647-49E8-8A33-E6A469FAAD36.png

Familia ya Rockerfeller ndio familia ya kitajiri zaidi huko Marekani inayoshikilia sekta za Kibenki, Kiviwanda, Mafuta na Siasa. Inatajwa kwamba matajiri wote duniani wanaongozwa na kuendeshwa na familia hii, hasa hasa Billgates na wenzake.

Mwaka 2010 walitotoa maelekezo kwa matajiri na wanasiasa vibaraka waliochini yao kuandaa mpango kabambe wa ‘Lock up’ ya dunia, yaani jinsi ya kuifungia dunia nzima iwe inakaa ndani tu kama wafungwa , tena kwa hiari yao. Mpango uliweka hatua zifuatazo.

1.) Kiandaliwe kirusi kinachosambaa kwa kasi sana ila kinachoua kwa asilimia ndogo sana ili kiweze kuendana na mpango ulioandaliwa.

2.) Kirusi kiboreshwe na kiweze kutumika kama silaha endapo kitahitajika.

3.) Kirusi kisafirishwe hadi kwenye maabara ya daraja la 4 huko Winnipeg Canada, halafu kiibiwe na WaChina na kisafirishwe hadi China ( ShinZhengli).

4.) Viongozi wa taasisi zote kubwa na za magongwa duniani na Marekani za CDC, WHO, UN ambao wangehusika moja kwa moja na kutoa taarifa ugonjwa wafadhiliwe kwa pesa nono ili waweze kutoa yale maelezo na maelekezo (lockdown) ambayo tunataka wayatoe kwa dunia, watu hao wa kufadhiliwa ni pamoja na Faucci wa CDC, Tedros wa WHO nk.

5.) Tumtumie Billgates kufadhili na kusimamia mpango wa kufanya utafiti wa Chanjo na kusimamia mpango wa kuisambaza dunia nzima na kuhakikisha kila binadamu duniani anachoma chanjo hiyo.

Sasa baada ya kuvuja kwa nyaraka hizi , walitumia vyombo mbalimbali vya habari vya kihuni kutoa ufafanuzi na utetezi, mfano ni hii propaganda video iliyojaribu kusema kwamba hiyo document iliandikwa kwa nia njema tu ya kuiandaa dunia kwa hatari mbalimbali za kiafya, na haukuwa mpango., video ipo chini.

Sasa kuna proof gani kwamba hiyo document ilitolewa na Rockf. family.?

Kuna proof gani hiyo document ni Genuine ?

Kuna proof gani hiyo document haijatengenezwa tu na mtu kama mimi huku mtambaa swala?

Kwa tuamini hii conspiracy?

Shukrani kwa ufafanuzi utakaotoa
Sasa uprove nini wakati hawajapinga, bali walichokipinga ni tafsiri ya maudhui na malengo? Hiyo document ni sehemu ndogo tu ya verified ‘Manifest’ kubwa zaidi ya hiyo familia. Angalia hiyo video ya utetezi kisha soma comment zilizopo kwa ufafanuzi zaidi
 
Video za you tube ambazo mtu yeyote anatengeneza Content na kupost?
Dah....
 
Video za you tube ambazo mtu yeyote anatengeneza Content na kupost?
Dah....
Hiyo document hata mimi nilishawahi kuiona mtandaoni tangu mwaka 2013, sasa utasemaje ni document iliyotengenezwa after the fact? Ila kwa wakati huo hata mimi sikuwa nimeelewa chochote, ni baada ya Covid 19 ndio nikaikumbuka
 
Sasa uprove nini wakati hawajapinga, bali walichokipinga ni tafsiri ya maudhui na malengo? Hiyo document ni sehemu ndogo tu ya verified ‘Manifest’ kubwa zaidi ya hiyo familia. Angalia hiyo video ya utetezi kisha soma comment zilizopo kwa ufafanuzi zaidi
Ni upuuzi kudhani Rockefeller wanahaja ya kujibu kila kinachotupwa mtandao dhidi yao.
Alafu, nimekumbuka wewe ndiyo ulikuwa unaandika humu kuwa Marekani anaigombanisha Ethiopia kwasababu wamejenga bwawa la umeme huku ukijasahulishe kuwa Ethiopia imekuwa na mapigano ya wao kwa wao kabla hata idea ya ujenzi wa bwawa haijakuwepo.
Nini kinaendelea uko kwasasa, jeshi la Ethiopia limeishinda marekani ama marekani kaamua kuupotezea? 🤣🤣
 
Hivi ni vitu mtu kama mathazua anakaa anatunga.
Mfn. Ni fact kuwa hakuna mkataba kati ya urusi nato kutojitanua, hata Putin na timu yake, dunia nzima inajua ili lakini siku moja nikiwa katika group flan nikaona jamaa(Pro Russia) kapost kile anadai nimakubaliano kati ya urusi na nato kutojitanua, so najua kuna baadhi ya watu walishikwa akili na ile hati kwa kudhani kuwa ni genuine but kwa tunaojua kuwa hicho kitu hakipo tulibaki kucheka tu na hata muundo wa uandishi wake tu unajua jamaa kakaa na kuamua kuandika hiyo hati dhumni lake ni kusapoti hoja zake na mahaba yake kwa Urusi.
 
Video za you tube ambazo mtu yeyote anatengeneza Content na kupost?
Dah....
Kwa taarifa yako sio kila content inaruhusiwa iwepo YouTube, especially zenye kufichua vitu Fulani Kwa public zinatolewa haraka .
 
Kwa taarifa yako sio kila content inaruhusiwa iwepo YouTube, especially zenye kufichua vitu Fulani Kwa public zinatolewa haraka .
Habari kama hiyo kupostiwa na Channel yenye subscribers zaidi ya milioni moja iwe uzushi, ingeshaondolewa haraka sana na hiyo channel kufungiwa
 
Sasa uprove nini wakati hawajapinga, bali walichokipinga ni tafsiri ya maudhui na malengo? Hiyo document ni sehemu ndogo tu ya verified ‘Manifest’ kubwa zaidi ya hiyo familia. Angalia hiyo video ya utetezi kisha soma comment zilizopo kwa ufafanuzi zaidi
Sawa mkuu lakini hapo hujajibu maswali yangu . YouTube content hata wewe unaweza tengeneza tu.
 
Sawa mkuu lakini hapo hujajibu maswali yangu . YouTube content hata wewe unaweza tengeneza tu.
Kwamba ningesafiri kwa time travel machine hadi miaka 10 mbele, nione kitachotokea halafu nirudi nyuma miaka 10 ili niandike waraka halafu nipost mtandaoni? Haoana, mi siwezi, vipi we unaweza?
 
Sasa uprove nini wakati hawajapinga, bali walichokipinga ni tafsiri ya maudhui na malengo? Hiyo document ni sehemu ndogo tu ya verified ‘Manifest’ kubwa zaidi ya hiyo familia. Angalia hiyo video ya utetezi kisha soma comment zilizopo kwa ufafanuzi zaidi
Porojo tuu... Dunia ina matajiri wengi tuu ambao siyo Wamarekani na siyo wote wanaongozwa na hiyo familia..
 
Kwamba ningesafiri kwa time travel machine hadi miaka 10 mbele, nione kitachotokea halafu nirudi nyuma miaka 10 ili niandike waraka halafu nipost mtandaoni? Haoana, mi siwezi, vipi we unaweza?
Authenticity ya hiyo document ndio suala langu la msingi. Mmepimaje kwamba ni genuine?
 
Porojo tuu... Dunia ina matajiri wengi tuu ambao siyo Wamarekani na siyo wote wanaongozwa na hiyo familia..
Unaposikia matajiri basi we unafikiri ni kama Mo? Mo si muuza chupi tu yule, hapa duniani matajiri hawazidi wa5.
 
Back
Top Bottom