Hivi Mashabiki wa mpira wanafanana sifa zao kote Duniani?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,742
3,301
Habari wanajukwaa kabla sijaja na Uzi wa kutoa kero zangu na kuuelimisha Umma wa wapenda soka Nchini naomba nipate mawazo tu kwa unavyotambua wewe hapo ni kweli mashabiki wa mpira wanafanana kote Duniani, yaani I mean ushabiki wanaokua nao?

Na sifa zingine naomba reference ichukuliwe Tanzania. Ule Ujingaujinga wa kutoelewa hata mambo madogo wanafanana?

Hasahasa Mashabiki wa Tanzania wanafanana na mashabiki wa huko America kusini na Ulaya sehemu ambazo mpira unachezwa sana.

TOA MAWAZO YAKO KWA LUGHA YOYOTE ILA USITUKANE
 
Nachojua Simba ndio timu yenye mashabiki mataahira zaidi duniani
Screenshot_20230314-215613.jpg
 
Tofautisha kwanza kati ya mashabiki wa mpira wa miguu kote duniani, ambao kimsingi wanafanana tabia zao; na mashabiki mbumbumbu ambao hao wanapatikana kwenye klabu moja tu inayoitwa Simba sc, ya Tanzania.
 
Mashabiki wa Simba wako tofauti kidogo wengi wananuka midomo pia elimu zao za kuunga unga wengi ni madalali bodaboda wengi zaidi ni vibaka na matapeli wa mjini.Baadhi wanauza ngada (ngada fc) Kwa wanawake wengi ni malaya (Zuwena) ma maisha yao kiujumla ni ya kuunga unga ma hawana furaha 24/7
 
Utarogwa😂😂
 
Back
Top Bottom