Ongezeko la bajeti ya kijeshi ya Marekani latishia amani duniani

Yoyo Zhou

Member
Jun 16, 2020
72
111
VCG111308485365.jpg
Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 886 za kimarekani, na kuongezeka kwa karibu dola bilioni 30 ikilinganishwa na mwaka jana, na kuvunja rekodi ya historia tena.

Katika miaka ya hivi karibuni, ili kudumisha umwamba wake duniani, Marekani imeendelea kuongeza bajeti yake ya kijeshi. Katika mwaka wa fedha wa 2024, matumizi ya kijeshi ya Marekani ni pamoja na dola bilioni 37.7 kwa ajili ya kuendeleza makombora mapya, ndege ya kimkakati ya kutupa mabomu na silaha za nyuklia, dola bilioni 170 kwa ununuzi wa silaha nyingine za kisasa, na dola bilioni 145 kwa maendeleo ya makombora ya kasi kubwa. Wakati huo huo, serikali ya Marekani tayari imekumbwa na mizigo mikubwa ya madeni, na madeni yake ya jumla yatazidi dola trilioni 31 za kimarekani. Matumizi makubwa mno ya kijeshi bila shaka yataathiri maendeleo ya uchumi na maisha ya watu. Kulingana na matokeo ya kura za maoni zilizotolewa na vyombo vya habari vya Marekani hivi karibuni, asilimia 69 ya Wamarekani wanaona kuwa nchi yao iko katika mdororo wa kiuchumi, na asilimia 55 ya watu walisema watapoteza kila kitu.

Katika miongo kadhaa iliyopita, Marekani imekuwa nchi yenye bajeti kubwa zaidi ya kijeshi duniani, na matumizi yake ya kijeshi yanachukua takriban asilimia 40 ya matumizi ya jumla ya kijeshi ya nchi zote duniani. Kuanzia mwaka 1789 hadi 2022, Marekani ilifanya vita na operesheni 469 za kijeshi duniani. Katika historia ya zaidi ya miaka 240 ya Marekani, kumekuwa na miaka 16 tu bila ya vita. Baada ya kumalizika kwa Vita Baridi, Marekani ilitarajiwa kupunguza operesheni zake za kijeshi nje ya nchi, lakini kinyume chake, katika miaka zaidi ya 30 iliyopita Marekani imefanya operesheni zaidi ya mara saba kuliko zamani. Vita vya Marekani vimelenga nchi mbalimbali duniani, haswa nchi za Latin-Amerika, na Afrika.

Baada ya kumalizika kwa Vita Vikuu vya Pili Duniani, ili kutimiza maslahi yake ya kijiografia na kisiasa, Marekani mara kwa mara ilichochea migogoro duniani kwa kutegemea bajeti yake kubwa ya kijeshi. Kwa nyakati tofauti ilianzisha vita vikubwa katika peninsula ya Korea, Vietnam. Iraq, Afghanistan, Libya, Syria na nchi nyingine kadhaa. Mbali na hayo, Marekani pia imechochea migogoro katika nchi nyingi duniani. Takwimu zinaonesha kuwa takriban theluthi mbili ya mizozo ya hivi sasa duniani inahusisha Marekani. Tangu kutokea kwa mgogoro kati ya Russia na Ukraine, Marekani imetoa silaha nyingi, na kuongeza umwagaji damu kwa kiasi kikubwa. Wakati China ilionesha nia ya kusuluhisha mgogoro huo, Marekani imekataa kabisa, ikijifanya kama mhusika mkuu wa mgogoro huo, na kutaka vita kati ya Russia na Ukraine viendelee mpaka iridhike.
 
View attachment 2860614Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 886 za kimarekani, na kuongezeka kwa karibu dola bilioni 30 ikilinganishwa na mwaka jana, na kuvunja rekodi ya historia tena.

Biashara za mazayuni hizo , makampuni ya silaha karibia yote hapo Marekani yanamilikiwa na mazayuni
Nchi ya kipumbavu sana hiyo
Inaspend trillions USD kwenye mambo ya kipuuzi na kuacha raia wake wakiwa hoi bin dhoofu , health care is poor , ridiculously expensive and third world like , infrastructure poor and crumbling by the day , homelessness is overwhelming ,crime is rampant , weshindwa hata
Upuuzi mtupu
Ufisadi haufanyiki Bongo tu ,hata Marekani
 
Haina maana hii bajeti ikiwa ufadhili wa ukraine miaka miwili tu wanalialia
Ikiwa ghaza miezi mitatu sasa wanahangaika hangaika

Hakuna nchi ya hovyo duniani kama hii yaani raia wake hawana pakulala ila wao wanawekeza pesa kwenye mambo ya kijinga bure kabisa
 
Haya majamaa yana mambo ya kushangaza sana
 
Sasa hiko ndio genge la watengeneza na wauza silaha wanachokita, sio wao tu haya nchi za UE miaka ya karibuni zinaongeza bajeti za ulinzi, tafsiri yake ni ununuzi wa silaha zaidi. Vita vya Ukraine na Urusi ni mchezo wao watengenezaji wa silaha kuongeza soko la Marekani na Ulaya
 
Kazi kwenunchi masikini kulialia mkisikia wenye uwezo wakifanya mambo kwa faida yao

Nanyi kama mnauwezo, mnashindwaje kuwa na bajeti tishio

Masikini kazi yake ni kumwonea wivu Tajiri

FaizaFoxy Bwanautam n.k

Mnadhani hiyo haina sifa? Kama haina, mbona Iran wanalalamika kuzuiliwa kujitengenezea nyukilia?
 
Pp
Biashara za mazayuni hizo , makampuni ya silaha karibia yote hapo Marekani yanamilikiwa na mazayuni
Nchi ya kipumbavu sana hiyo
Inaspend trillions USD kwenye mambo ya kipuuzi na kuacha raia wake wakiwa hoi bin dhoofu , health care is poor , ridiculously expensive and third world like , infrastructure poor and crumbling by the day , homelessness is overwhelming ,crime is rampant , weshindwa hata
Upuuzi mtupu
Ufisadi haufanyiki Bongo tu ,hata Marekani
Unaweza linganisha marekani katika nyanja za miundo mbinu na afya na nchi gani ya afrika?,au unataka kufurahisha watu.
 
Haina maana hii bajeti ikiwa ufadhili wa ukraine miaka miwili tu wanalialia
Ikiwa ghaza miezi mitatu sasa wanahangaika hangaika

Hakuna nchi ya hovyo duniani kama hii yaani raia wake hawana pakulala ila wao wanawekeza pesa kwenye mambo ya kijinga bure kabisa
Marekani ni habari nyingine hizo unazoongea ni porojo
 
Kazi kwenunchi masikini kulialia mkisikia wenye uwezo wakifanya mambo kwa faida yao

Nanyi kama mnauwezo, mnashindwaje kuwa na bajeti tishio

Masikini kazi yake ni kumwonea wivu Tajiri

FaizaFoxy Bwanautam n.k

Mnadhani hiyo haina sifa? Kama haina, mbona Iran wanalalamika kuzuiliwa kujitengenezea nyukilia?
Kweli mkuu ni wivu tu na roho mbaya zinawasumbua.
 
Biashara za mazayuni hizo , makampuni ya silaha karibia yote hapo Marekani yanamilikiwa na mazayuni
Nchi ya kipumbavu sana hiyo
Inaspend trillions USD kwenye mambo ya kipuuzi na kuacha raia wake wakiwa hoi bin dhoofu , health care is poor , ridiculously expensive and third world like , infrastructure poor and crumbling by the day , homelessness is overwhelming ,crime is rampant , weshindwa hata
Upuuzi mtupu
Ufisadi haufanyiki Bongo tu ,hata Marekani
Haina maana hii bajeti ikiwa ufadhili wa ukraine miaka miwili tu wanalialia
Ikiwa ghaza miezi mitatu sasa wanahangaika hangaika

Hakuna nchi ya hovyo duniani kama hii yaani raia wake hawana pakulala ila wao wanawekeza pesa kwenye mambo ya kijinga bure kabisa
Haya mapovu wakuu, mmekula kweli mchana?

Yaani USA ndo nchi ya ovyo zaidi duniani?!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2860614Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 886 za kimarekani, na kuongezeka kwa karibu dola bilioni 30 ikilinganishwa na mwaka jana, na kuvunja rekodi ya historia tena.

Katika miaka ya hivi karibuni, ili kudumisha umwamba wake duniani, Marekani imeendelea kuongeza bajeti yake ya kijeshi. Katika mwaka wa fedha wa 2024, matumizi ya kijeshi ya Marekani ni pamoja na dola bilioni 37.7 kwa ajili ya kuendeleza makombora mapya, ndege ya kimkakati ya kutupa mabomu na silaha za nyuklia, dola bilioni 170 kwa ununuzi wa silaha nyingine za kisasa, na dola bilioni 145 kwa maendeleo ya makombora ya kasi kubwa. Wakati huo huo, serikali ya Marekani tayari imekumbwa na mizigo mikubwa ya madeni, na madeni yake ya jumla yatazidi dola trilioni 31 za kimarekani. Matumizi makubwa mno ya kijeshi bila shaka yataathiri maendeleo ya uchumi na maisha ya watu. Kulingana na matokeo ya kura za maoni zilizotolewa na vyombo vya habari vya Marekani hivi karibuni, asilimia 69 ya Wamarekani wanaona kuwa nchi yao iko katika mdororo wa kiuchumi, na asilimia 55 ya watu walisema watapoteza kila kitu.

Katika miongo kadhaa iliyopita, Marekani imekuwa nchi yenye bajeti kubwa zaidi ya kijeshi duniani, na matumizi yake ya kijeshi yanachukua takriban asilimia 40 ya matumizi ya jumla ya kijeshi ya nchi zote duniani. Kuanzia mwaka 1789 hadi 2022, Marekani ilifanya vita na operesheni 469 za kijeshi duniani. Katika historia ya zaidi ya miaka 240 ya Marekani, kumekuwa na miaka 16 tu bila ya vita. Baada ya kumalizika kwa Vita Baridi, Marekani ilitarajiwa kupunguza operesheni zake za kijeshi nje ya nchi, lakini kinyume chake, katika miaka zaidi ya 30 iliyopita Marekani imefanya operesheni zaidi ya mara saba kuliko zamani. Vita vya Marekani vimelenga nchi mbalimbali duniani, haswa nchi za Latin-Amerika, na Afrika.

Baada ya kumalizika kwa Vita Vikuu vya Pili Duniani, ili kutimiza maslahi yake ya kijiografia na kisiasa, Marekani mara kwa mara ilichochea migogoro duniani kwa kutegemea bajeti yake kubwa ya kijeshi. Kwa nyakati tofauti ilianzisha vita vikubwa katika peninsula ya Korea, Vietnam. Iraq, Afghanistan, Libya, Syria na nchi nyingine kadhaa. Mbali na hayo, Marekani pia imechochea migogoro katika nchi nyingi duniani. Takwimu zinaonesha kuwa takriban theluthi mbili ya mizozo ya hivi sasa duniani inahusisha Marekani. Tangu kutokea kwa mgogoro kati ya Russia na Ukraine, Marekani imetoa silaha nyingi, na kuongeza umwagaji damu kwa kiasi kikubwa. Wakati China ilionesha nia ya kusuluhisha mgogoro huo, Marekani imekataa kabisa, ikijifanya kama mhusika mkuu wa mgogoro huo, na kutaka vita kati ya Russia na Ukraine viendelee mpaka iridhike.
Tuwache porojo, hiyo bajeti iko wapi?

Labda useme wamarekani wamehenyeshwa na Mrusi na sasa wanahenyeshwa na Waarabu mashariki ya kati matumizi yao ya kijeshi yamepanda mara saba zaidi ya bajeti.

Unaongelea bajeti hewa?
 
Naona wajinga wakilialia juu ya bajeti babalao ya USA.

Ikumbukwe vita zote anazopigana USA huwa ziko kibiashara zaidi.

Wenye akili kubwa wanasuka mipango kwa maslahi mapana ya Taifa.

Jiulize watu wamepumzika miaka 16 tu kati ya zaidi ya miaka 250 kupigana lakini bado akazizidi nchi zote kiuchumi, hapo elewa kwao vita ina faida.

Nimeona makapuku wakiona wivu juu ya matumuzi ya hela za tajiri utadhani ni zao jinsi walivyo na kinyongo mioyoni mwao.

cc Samson Ngomboli
Nsanzagee
 
Back
Top Bottom