Kiasili kipi kilianza kuja duniani?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,989
Kila jambo lina mwanzo wake na mwisho kuna mwanzo wake pia hivi tunaweza kuwekeza fikra zetu kujua asili la ya jambo fulani? Mfano kati ya yai na kuku kipi kilianza? CCM na TANZANIA? WIZI na TAMAA tunapojua kiini cha jambo fulani tunaweza kujua namna ya kuondosha tatizo fulani.
 
kila jambo lina mwanzo wake na mwisho kuna mwanzo wake pia hivi tunaweza kuwekeza fikra zetu kujua asili la ya jambo fulani?mfano kati ya yai na kuku kipi kilianza? CCM na TANZANIA? WIZI na TAMAA tunapojua kiini cha jambo fulani tunaweza kujua namna ya kuondosha tatizo fulani..
Ccm na Tz, ilianza Ccm yaani Tanu.
 
Kiasili ili dhambi ifanyike lazma kuwe na figure,character au chochote ili ki-interrupt ubongo uanze kufikiri uovu......kwa maana binadamu yoyote kitabia ni matokeo ya vinavyomzunguka
 
Ccm na Tanzania ilianza tanzania labda ungesema TANU

wizi na Tamaa.....Ili tamaa itokee lazma kuwe na kitu kinachokutamanisha wizi ni matokeo ya tamaa
 
Kiasili ili dhambi ifanyike lazma kuwe na figure,character au chochote ili ki-interrupt ubongo uanze kufikiri uovu......kwa maana binadamu yoyote kitabia ni matokeo ya vinavyomzunguka
una maana nchi yetu ki asili ni kiwizi?tamaa au ufisadi au sio
 
Back
Top Bottom