duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vatican ni nchi moja ya kipekee sana ulimwenguni

    Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia. Rais wa...
  2. JamiiForums Tanzania Siku ya maji duniani. Ujenzi wa lile bwawa la vidunda la kumaliza shida ya maji Dar umefikia wapi?

    Leo ikiwa siku ya maji duniani. Lile bwawa walilisema litamaliza shida ya maji Dar na Pwani ujenzi wake umefikia wapi?
  3. JamiiForums Tanzania Vijana mmsiishie kuweka mimba tu una jukumu kwa kila kiumbe unacholeta duniani

    Kama unajiona huna uwezo wa malezi bora kwa kiumbe chako na hauna uwezo wa kukitengenezea kesho yake bora ni vyema kabisa usizae. Kufa mwenyewe na umasikini wako acha kuleta kiumbe uje ukipe mateso kwenye hii dunia ya hovyo. Umasikini ni mkubwa sana Africa ukiwa mtu wa field au kazi za mitaani...
  4. JamiiForums Tanzania Siku ya Misitu Duniani - Musoma Vijijini Washerehekea kwa Kupanda Miti Mashuleni

    SIKU YA MISITU DUNIANI (THE INTERNATIONAL DAY OF FORESTS) - MUSOMA VIJIJINI WAISHEREHEKEA KWA KUPANDA MITI MASHULENI Leo (21.3.2024) ni siku ya Umoja wa Mataifa (UN) ya kukumbushana umuhimu wa misitu ya aina zote. UN ilipitisha azimio la siku hii (tarehe 21 Machi ya kila mwaka) kwenye Mkutano...
  5. JamiiForums Tanzania Siku ya Furaha duniani: Je unatambua kuwa bila ya kuwajibika(responsibility) haiwezekaniki kabisa kuwa na FURAHA ya kweli? Siongelei RAHA

    Je? mtu anaweza kuwa na furaha bila ya kuwajibika. Hapana. Hiyo haipo kabisa. Kwa nini ninasema hivyo? Kabla sijaanza naomba kuanza na ufafanuzi kiasi; Furaha inahusianishwa na hisia za utulivu na kutosheka na kile kilichopo (what IS). Utulivu wa moyo unakuja pale ambapo mtu anahisi anao uwezo...
  6. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya furaha duniani. Je wewe unaiazimishaje siku ya leo?

    HAMJAMBO WADAU Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo. Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu. Je unafurahia kila jambo au kitu upatacho maishani mwako au unakuwa na huzuni? Shiriki hapa kutuambia unafurahije pale...
  7. JamiiForums Tanzania Watu maarufu (Wanasayansi, Wasanii, Wafanyabiashara, Wanamichezo) wazee wa kataa ndoa duniani

    Twende nami taratibu. Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎 1. Oprah Winfrey Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi. Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa. Huyu...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki Akagua Mabanda ya Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) leo Machi 20, 2024 amekagua mabanda ya Maonesho yatakayotumika katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa yanayotarajiwa kufanyika Machi 21 ambapo Mgeni Rasmi katika Kilele hicho anatarajiwa kuwa Makamu...
  9. JamiiForums Tanzania Marais wakataa ndoa duniani

    Haya wakataa ndoa mmefikiwa🤡 Kumbe kampeni yenu ni kubwa ina watu wazito duniani. 1. Vladimir Putin Huyu bwana nafikiri watu wengi wanamfahamu hapa duniani. Kwa wasio mfahamu huyu ni Rais wa taifa la Russia huyu bwana yeye kama Rais wa wakataa ndoa duniani toka 2013 amekuwa akiishi maisha ya...
  10. JamiiForums Tanzania Maneno Mazito aliyoyasema Mhandisi Zena Ahmed Said, Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Katika Siku ya Wanawake Duniani

    "Kauli Mbiu ya Wekeza kwa Mwanamke Kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii. Huwezi kutoa usichokuwanacho. Wanawake ndiyo watoaji wakubwa wa mambo mengi kuanzia watoto wanavyozaliwa" - Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Mhandisi Zena Ahmed Said "Kama tutakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Equity Group yatajwa chapa ya 2 kwa benki imara zaidi duniani

    • Equity imeorodhesha kuwa chapa ya 2 ya benki imara zaidi duniani. • Equity yaibuka kama benki imara zaidi barani Afrika. • Thamani ya chapa ya Equity ilipanda kwa Dola Milioni 22 kutoka thamani ya mwaka jana ya Dola Milioni 428 hadi Dola Milioni 450 (Tzs. 114 bilioni). • Equity inakuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Faida ya Sayansi kwa wafanya biashara wakubwa duniani

    Habari za Saahizi Wana Jf Kunavitu Duniani ni Enderevu Kwa wafanyabiashara Wakubwa DUNIANI , Hadi Wanakufa Ni Bilinear . 🖐️Watanyabiashara wa Dawa za meno wengi maisha yao yote wataendelea kupiga Pesa TU, 🖐️Wafanyabiashara wa Dawa za Malaria pia Hawa wataendelea kupiga Pesa maisha Yao yote...
  13. JamiiForums Tanzania Salamu za Dkt. Tax katika siku ya wanawake duniani

    Salamu za Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Tax katika siku ya wanawake duniani.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nipeni takwimu, rekodi hii ya Yanga SC ndani ya miezi takriban 6, imewahi kufikiwa na timu yeyote duniani?

    Timu ya Dar es salaam Young Africans Sports Club, au Yanga sc aka Wakimataifa ama wananchi kama wanavyotambulika kwa sasa. Ktk msimu huu wa 2023/2024 wamekuwa ktk ubora usiopimika wala kumithirika. Yanga hii ya Gamond imekuwa timu tishio kiasi cha kuogopwa uwanjani na timu pinzani kila...
  15. JamiiForums Tanzania Asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume

    Wanawake wanakumbana na viwango vya umasikini vya juu kuliko Wanaume, na pengo la kijinsia katika Umasikini linatarajiwa kuendelea hadi katikati ya karne. Takwimu za Kimataifa kutoka UN Women zinaonesha, asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya tatu duniani kama nchi ambayo watu wake wana furaha

    Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza hapo juu kwamba Nchi zenye Furaha duniani, basi sisi Tanzania ni inchi ya Tatu duniani yaani DUNIANI. Source ikiwa ni hii taasisi ina itwa Mental state of the world report ambayo wame kusanya data toka kwa watu laki 4 toka inchi 71 duniani. Nilipo ona...
  17. JamiiForums Tanzania Facebook bado ni mtandao muhimu sana duniani

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa Kuna kitu...
  18. JamiiForums Tanzania Duniani Wanawake Waganda wanaongoza kwa kuwa na Mizigo au Matrakoo Asilia. Zunguka popote, hawa viumbe wamejaaliwa

    Panapo fursa yoyote ya kusema ukweli ni vema tuseme, wanawake Waganda ndio vinara wa kuwa na matako mazuri kweli kweli, Sina mengine kuhusu nyashi au mizingo hao wanawake Waganda hawana mpinzani popote pale duniani. Uganda is the most kabinalized country among women in the world...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Wanapuuza elimu? Uwezo mdogo wa darasani? Hawataki elimu dunia ? Sio kwamba waarabu hawapo kabisa hivyo vyuo lakini idadi yao ni ndogo Mfano mdogo ni idadi ya mataifa yanayoongoza kwa wahitimu kwa mwaka jana 2022/23 chuo cha Havard, hii ni kutoka moja kwa moja kwenye tovuti ya Havard Havard...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna Team ya Mpira Duniani iliyokuwa na mafanikio wakati Flani/Sasa hivi bila kuwa na Uongozi Mzuri

    Habari Mwanajukwaa la Sports. Nianze kwa kusema; Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia. Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…