Venezuela ilikuwa ikitizamwa kwa macho ya matamanio na mataifa haya makubwa ya RUSSIA, CHINA na USA. Kwa muda mrefu. USA amewahi kuinyakua makusudi akijua kama angechelewa wenzake wangefaidika nayo.
Hii ni falsafa ambayo iliandikwa karne ya kumi na sita na mwanafalsa John Locke wa uingereza .
Kwamba kwenye kutawala serikali huwekwa madarakani na wananchi . Serikali inapokuwa madarakani inatakiwa kulinda haki za msingi za raia wake; Haki za kuishi, uhuru wa kutoa maoni n.k
Huu ndio msingi...
Kanisa katoliki limeundwa kwenye misingi ya Haki, Utii, ukweli na kutetea uhai wa binadamu, wanyama na mazingira.
Kutokana na misimamo yake Kanisa katoliki limejikuta likiwa na maadui wengi waovu nje na ndani ya kanisa.
Hapa ndo tunaweza kutumia ile kauli waliomtesa na kumuua Bwana Yesu...
Nayib ameweza kushinda mtandao wa unbazilifu, rushwa na magenge uliokuwa unaendesha nchi, ameweza kuitoa el salvador katika list ya nchi hatari duniani kwa kupambana na uharifu vikali.
Trump ameweza kurudisha amani kwa nchi mbali zilizo kuwa na vita, ameirudisha marekani katika kiti uchumi bora...
Unahitaji Rais bold kupambana katika nyakati hizi za vita kali za kiuchumi duniani ikiongozwa na ile vita ya UKRAINE.
Serikali nyingi zimeangushwa kama after effect ya vita kali ya kugombea rasilimali huko UKRAINE.
Ukiwa na jicho la kingwini basi huwezi kutambua ni namna gani vita inayoitwa...
Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli.
Huwezi ukagusa maslahi ya marekani halafu ukabaki salama
Huwezi ukagusa waya wa mrusi halafu ukabaki salama
Huwezi ukagusi...
Kwa zaidi ya miaka 30, Somaliland imekuwa ikifanya kazi kama serikali:
• Serikali inayofanya kazi
• Uchaguzi wa kidemokrasia
• Vikosi huru vya usalama
• Kutovumilia kabisa na kuwadhibiti magaidi na wanajihadi
Ulimwengu ulijifanya hauoni.
Kisha Israeli wakafanya jambo ambalo hakuna mtu mwingine...
TAFSIRI YA KAULI ZA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA: TANZANIA KAMA NURU YA AMANI, UMOJA NA USALAMA DUNIANI
Na GULATONE MASIGA
Kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. António Guterres, wakati akipokea ujumbe maalum wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya...
Sihangaikii chochote naacha nature iamue!
Sihofii chochote
Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata
Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani
Ama kweli tembea uone tulia usimuliwe, hii dunia haiishiwi mambo. Kuna msemo waswahili husema kuna watu na viatu sasa leo nataka nikusilumie story ya kiatu kimoja hivi.
Katika jiji la Mumbai nchini India kuna jamaa mmoja anaitwa Bharat Jain. Huyu jamaa ni omba omba maarufu jijini na shughuli...
Hivi tunajua ya kwamba hata Shetani na mapepo yote yana mkiri kuwa Yesu Kristo ni BWANA ni Mungu ni mwokozi,na kumuamini kuwa ni mwakozi na ni mwana wa Mungu na ni Mungu na mwenye nguvu na mamlaka yote.
Na tena mapepo si kwamba yana mkiri,na kumuamini tu tu,na ila KWA KUTETEMEKA NA KUMUOGOPA ...
Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne.
Mnaionaje hii list?
Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM
https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania
Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je
Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi?
Je akilazimisha amzidi Magufuli Nini kitajili?
Mbinguni kunani?
Sina hofu na vijana Gen z
Hofu ni adui wa maendeleo millenia hofu zao zinapoishia wao Gen Z ndo ujasiri wao unapoanzia
Mpaka ukaone Gen z anahofu basi mellenia muda huo kashafukiwa futi 6 chini ya udongo 😂,
Kesho watu wenye mapenzi mema na nchi yao wanaenda kutimiza haki yao kikatiba ya...
Hiyo ndoto kuwa mtakuja kuwa rahisi kaja kukatiza samuya.
Msitarajie hata kwa bahati ya CDF mstaafu mabeyo.
Kwa sasa tumeona nchi walizoshika wanawake na mwisho wa siku wengine wamehukumiwa kifo,jera na wengine wamaziua nchi kabisa.
Kuna umuhimu sheria kuingiliwa upya maana uislamu uliona mbali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.