Wewe hukuzaliwa hapa duniani kama jiwe, mti, mdudu wala mnyama; ulizaliwa kimaalumu kabisa kama binadamu kwa LENGO au KUSUDI maalum; unatakiwa ulijue na ulitimize kabla hujaondoka kwenye uso wa hii dunia kurudi ulikotoka!
Haupo duniani ili mradi hupo tu, la hasha, hupo kwa ajili ya KAZI AU WITO...
Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k.
Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
Tulia, spika wa Bunge la JMT, amekuwa mstari wa mbele katika kutetea na kulinda utekaji na mauaji ya wakosoaji.
Mara mbili, wabunge waliomba Bunge lijadili utekaji na mauaji ya wakosoaji, lakini Tulia, kama spika wa Bunge la JMT, alizizima hoja za wabunge hao, na kuzuia kabisa zisijadiliwe...
Nokia ni kampuni ya Kifinland iliyozinduliwa mwaka 1865. Hii ni kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na mawasiliano na teknolojia ya taarifa. Makao makuu ya Nokia yako Espoo, Finland. Kampuni inafanya kazi katika zaidi ya nchi 100 na ina wafanyakazi takribani 130,000 duniani kote. Nokia...
Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani, ambapo wanaume huishi wastani wa miaka 79 na wanawake miaka 84.
Tofauti hii ya miaka mitano kati ya jinsia inaonyesha hali bora ya huduma za afya, lishe, na mtindo wa maisha unaojali afya.
Maisha marefu ya raia wa...
Waarabu na Waafrika kazi yetu kuhubiri ngono, kuzaliana lakini kwenye elimu hatumo...
Kuna wale huwa mnasema Waarabu wako vizuri kisa wana mafuta, mnasahau hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na yeye hutumia mifumo yake kuyachuma, muarabu yuko vizuri tu kwenye kuuza tende na mikanzu...
Katika maisha ya binadamu ,tunao marafiki wa wili ambao bila wao hatuwezi kuishi duniani.
Rafiki wa kwanza kabisa ni Mungu,muumba wa mbingu na dunia.Alianza kuumba maji ,ardhi ikafuata miti ambayo inatupatia hewa ya oxygen,.Bila hewa ya oxygene huwezi ukaishi hata sekunde moja.
Ndiyo maana...
Nguruwe ndiyo nyama inayoliwa zaidi duniani, ikichangia asilimia 36 ya matumizi ya nyama duniani kote.
Inayofuata kwa karibu ni kuku (asilimia 33), ikifuatiwa na nyama ya ng’ombe kwa asilimia 24 na mbuzi/kondoo kwa asilimia 5.
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) pamoja na...
1. Utasikia Wazungu wanatubagua
2. Waarabu wanatubagua
3. Wachina wanatubagua
4. Wasouth Africa wanatubagua
5. Serikali zao zinawabagua
6. Wanabaguana kwa dini
7. Itikadi
8. Kabila
9. Koo
10. Imani
Ni Race Lalamishi ambayo haijawahi tokea Duniani. China iliwahi tawaliwa na Japan. Kwa sasa China...
Kwa mwaka 2025, ndege ya kivita inayoongoza duniani ni Lockheed Martin F-35 Lightning II, ikizingatia teknolojia ya kisasa, uwezo wa kiutendaji, na matumizi ya kimataifa.
🔝 Ndege Bora za Kivita Duniani (2025)
1. F-35 Lightning II (Marekani)
Uwezo wa Stealth: Imeundwa kwa teknolojia ya hali...
Salaam.,
Walimwengu wanasema "experience is the best teacher" , kiukweli hawakudanganya au kukosea.
Kila siku unapoamka unajifunza mapya au una update uliyokuwa unayajua nusu.
Muda mwingine unagundua ulilokuwa unalijua sio jibu sahihi la swali. Kumbe hukuwa-exposed na mazingira ndiyo maana...
Wakuu piteni hapa kujua mawili matatu hivi. Karibuni sana.Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu.
Ni sehemu muhimu ya mzunguko wa uzazi wa mmea, kusaidia kutawanya mbegu na kuwezesha ukuaji wake.
Lakini mara nyengine...
Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
afrika
afya
duniani
jamhuri
jamhuri ya muungano
janabi
kanda
kutoka
mgombea
mkurugenzi
mkurugenzi mkuu
mkuu
mohammed
mohammed janabi
muungano
shirika
shirika la afya
shirika la afya duniani
tanzania
uchaguzi
Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana ndiyo msaada wao mkubwa sana, mali zitapita, majumba yatapita, magari yatapita lakini uzao bora wenye...
Naweza kukataa kuwa sisi tuliopo duniani ndio watu wenye uhai pekee.
Kwa tafiti za wanasayansi wanavyo zidi kutambua sayari zenye mfano wa dunia kama kepler na nyingine zinaweza kuthibitisha kuwa uhai wa viumbe hupo sehemu nyingi kwenye ulimwengu wa anga za sayari.
Kama tutaweza kuwa na vyombo...
Naapa sitoondoka Chadema labda Makamanda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani,
Maana hawa wengine nimegundua walikuwa nyoka tu,akiwemo kiongozi wao Mbowe
Na sitokuja kujiunga na Chama chochote kile,labda kiwe chini ya hawa makamanda Tundu Lissu na Heche,
lakini siyo hivi vyama vya waganga...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan.
Waziri Mkuu...
Aisee hizi timu zinatisha maana Kwa boli linalopigwa na usajili wao mbingu na ardhi aisee mungu anipe nini mimi maana msimu huu Kila mwisho wa wiki mama watoto namuambia apike pilau Ili tujiburudishe natafuta fundi anaeweza kuchora nembo ya Barcelona na Liverpool kwenye nyumba yangu forca barca...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.