duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Taifa lolote lile duniani likiongozwa na Mtawala mwenye Mshauri Hawara ambaye nae ana Ushawishi sahau kuona Uwajibikaji sana sana Chuki itazidi

    Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
  2. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Serikali iache collective punishment!

    Leo mitandao ilpata shida sana, ila naamini watendaji wa serikali wanafanya kazi kwa hofu, mfano TCRA kama wasingechukua hatua, wangeshughulikiwa, wala siwalaumu, wangeulizwa kwa nini mliruhusu mitandao wakati polepole anaongea? Maria sarungi na wanaharakati wengine walikuwa wanatumia twitter...
  3. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu, Dunia haina huruma, duniani unaishi kwa mateso na bado ukifa unaenda kuteseka, bora kuwa tajiri wa ushirikina

    Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha yenye utajiri, yenye dhambi na hata kwa kutoa kafara ila tu umeifaidi dunia, kuliko kuishi maisha...
  4. hamis77

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa wayahudi katika mifumo ya kiuchumi na kisiasa duniani

    Katika mjadala wa nguvu za mataifa na udhibiti wa rasilimali duniani, jamii ya Kiyahudi huibuka mara kwa mara kama kundi lenye ushawishi mkubwa sana hasa katika masuala ya kifedha, kisiasa, na kiteknolojia. Ingawa hoja hii mara nyingine huibua mijadala mikali, ukweli wa kihistoria, takwimu, na...
  5. Surya

    JamiiForums Tanzania Unatambua uwepo wa vita hapa Duniani (Itambue dunia)

    Kila unachokifahamu kuhusu wewe na kuhusu dunia ni taarifa kutoka kwa Wazazi, Ndugu, Pastor au Shehe, Mwalimu. Binadamu anapozaliwa huja duniani na kuwekwa kwenye Mwanga, Mwanga ni kitu muhimu sana kwa binadamu, Hakuna mmea wa ardhini ambao unaweza kukuwa vizuri bila mwanga (Light). Huwezi...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vyakula vya Africa havisambai duniani au kupendwa kwenye mabara mengine?

    Waafrika wanapenda na wanaona ufahari sana kula Mikate, Soseji, tambi, Sambusa, Pizza, Wali, biriani, Chips, crips, Shawarma na vyakula vingine vingi kutoka sehemu mbalimbali za dunia ila huko kwingine duniani hawana muda na ugali, githeri, jollof, fufu, injera, chips mayai na vyakula vingine...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuku wanaouzwa kwenye Five star Hotels duniani kote sisi tunadai zina Sumu

    Sisi makabwela tutachelewa sana kutoboa maishani. Tuna jeuri zisizo na msingi wowote. Ni watu wa kupandikiza Hofu kwenye maisha. Hofu zisizo halisi Kumezuka vijitabia vya sisi makabwela ambao hata mlo miwili tu kwa siku tunaipata kwa taabu tunasema eti Kuku wa Kisasa wana sumu. Kuku hao hao...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Luis Enrique na Antonio Conte ndio makocha Bora duniani kwa Sasa wanaoweza kumbadilisha mchezaji kutoka chini na kuwa bora sio Fahdu Davis

    Timu nzuri inajengwa na kocha sio wingi wa mastaa, kocha ndio anajua taaluma yake inahitaji wachezaji wa aina gani, PSG iliwahi kujaza mastaa kibao na haikuwahi kufanya vizuri kama PSG hii yenye wachezaji wawili TU wanaojulikana sana Dembele na Hakeem. Wachezaji kama akina Vitinha alikuwepo...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

    Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 🏗️ 1. 🇨🇳 China – 1,005 Mt 2. 🇮🇳 India – 149 Mt 3. 🇯🇵 Japan – 84 Mt 4. 🇺🇸 U.S. – 80 Mt 5. 🇷🇺 Russia – 71 Mt 6. 🇰🇷 South Korea – 64 Mt 7. 🇹🇷 Türkiye – 37 Mt 8. 🇩🇪 Germany – 37 Mt 9. 🇧🇷 Brazil – 34 Mt 10. 🇮🇷 Iran – 31 Mt 🌎 Rest of the World – 293Mt (in...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Msoga, kijiji maarufu kinachompa jeuri bi mkubwa.

    Wakuu, Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua. Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile. Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna ngozi nyeusi yoyote duniani atakaekubali kutoka kama alivyoingia.

    Hata masikini wa kijijini kwake waliokuwa wanalalamika kurubuniwa huduma tena watakuwa wanamsimanga utafikiri wanamcheka kwa nini hakuiwaibia vya kutosha. MENTALLITY ⚡⚡
  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mjue Mtekaji huyu mahiri duniani: Ameteka watu wengi bila pingu wala silaha!

    Hii sio chit-chat wala chai. Ni habari ya ukweli. Kuna mtekaji mahiri duniani anayewateka watu kwa urahisi kabisa bila vitisho wala silaha. Mtekaji huyu ameteka mamilioni ya watu, wazee kwa vijana, maskini kwa matajiri, na hata wasomi wenye PhDs. Ajabu ni kwamba anaowateka hawalii, wanacheka tu...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kigoma Airport yang'ara duniani

    Uwanja wa Ndege Kigoma umetajwa kama Uwanja Bora kabisa duniani kwa miundombinu Rafiki kwa watu wenye mahitaji Maalum. KIGOMA HATUNA DENI
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya lugha ya kiswahili duniani yafana Sweden

    MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na kufanikisha sherehe za maadhimisho makubwa ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika tarehe...
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ni Ajabu na Kweli: Mauzo ya Biblia Yaongezeka Duniani

    Kama hujui, basi habari ya mjini ndio hii: mauzo ya Biblia yanaendelea kupanda kwa kiwango cha kushangaza duniani kote. Kwa mujibu wa ripoti ya Global Bible Society (2024), zaidi ya nakala milioni 38 za Biblia nzima zilisambazwa mwaka huo pekee. Mbali na nakala hizo za Biblia nzima, zaidi ya...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

    Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka...
  17. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna wazee wa hovyo hivi hapa Duniani

    Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo. Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo. Mwanzoni aliniambia yuko tayari...
  18. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu nimekigundua wanachotumia ma goal keeper bora duniani kuwa bora zaidi

    Wakuu mpo! Ni matumaini yangu mnatizama kombe la dunia la vilabu kwa umakini licha ya vilabu kutoka afrika kutupwa nje hatua ya makundi Katika hii michuano nimeona baadhi ya makipa wazuri wanafanana tabia Kipa wa Juventus, kipa wa real Madrid, kipa wa Al hilal na kipa wa Botafogo Fc anaitwa...
  19. Setfree

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi saba zenye Walokole wengi

    Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kutotambua kusudi lako hapa Duniani

    (Kwa masomo yenye kujenga na Nyimbo nzuri sikiliza hapa Jesus News Radio Sehemu ya Mwisho ya somo letu kutambua Kusudi lako 1. Kuishi Bila Mwelekeo Mmoja wa madhara makubwa ya kutotambua kusudi lako duniani ni kuishi maisha bila mwelekeo. Mtu ambaye hajui aliumbwa kwa ajili ya nini huwa kama...
Back
Top Bottom