dunia

  1. TANZIA: Papa Baupa Diop afariki Dunia

    Tuliofuatili World Cup 2002 tunamkumbuka huyu Mwamba Mchezaji wa zamani wa Kimataifa wa Senegal, Papa Bouba Diop amefariki akiwa na umri wa miaka 42 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Diop anakumbukwa zaidi kwa goli lake la ushindi dhidi ya Ufaransa kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kombe la dunia...
  2. Humphrey Polepole: Natoa rai kwa vyama vya siasa kuheshimu nafasi wanazopewa Wanawake

  3. Dunia Duara: Kofi kudhaminiwa na Diamond?

    Hakika dunia duara leo hii Mopao analetwa nchini na kupewa dili na mwanae? Tuheshimiane tu ndugu zangu dunia SI yetu
  4. TANZIA Diego Maradona afariki dunia

    Mwamba hatunaye tena. Alikuwa na miaka 60. Masikitiko makubwa. Rais wa Argentina katangaza siku 3 za maombolezo. ----- Wasifu Wa Hayati Maradona ----- Mmoja wa wachezaji waliobarikiwa, Argentina ilijivunia kipaji cha kipekee, madoido ya ajabu akiwa uwanjani, maono na kasi vilivyovutia...
  5. Los angelitos: Je, siku ukiondoka dunia na watu watakukumbuka kwa lipi...?

    Mates,Moja kati ya maswali ambayo hua najiuliza kila siku ni je ikitokea leo nikaondoka je jamii iliyonizungukai tanikumbuka kwa yapi? Je dunia itanikumbuka kwa lipi/jambo lipi nililoitendea? au ndio nikiondoka watanifukia tu na kunisahau au watabaki wananikumbuka kama mtu niliyefanya kitu...
  6. J

    Star TV mbona mnakatisha matangazo ya BBC Dira ya Dunia?

    Kama kuna habari mnataka isiwafikie Watanzania ni bora kipindi kizima mkaachana nacho badala ya kuonyesha zile mnazozipenda na kuzima tusione zile msizozipenda. Ni hayo tu kwa uchache. Maendeleo hayana vyama!
  7. The Ugly truth: Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia

    Wasaalam! Ni ukweli pasi na shaka, hakuna kitu kizuri duniani kama mapenzi, kupendwa, iwe na ndugu (familia), rafiki ama mpenzi. Love is most beautiful feeling in the world, yet people are afraid to be in it. 😤 Whether we know it or not most of us are afraid of really being in love. Kupitia...
  8. Afariki dunia kwa kugongwa na treni akiidandia

    Mtu mmoja, Galula Luhende, mkazi wa Malampaka, Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu, amefariki dunia baada ya kugongwa na Treni. Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 45 na 50, miguu yake yote miwili pia ilikatwa na Treni baada ya kumkanyaga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, ACP...
  9. U

    Bobby Brown Jr afariki dunia akiwa na umri wa miaka 28, amefariki miaka 5 tokea kifo cha dadake Bobby Kristina

    Bobby Brown apoteza Mtoto Mwingine ndani ya Miaka 5 Kijana huyo Bobby Brown Jr amefariki akiwa na miaka 28 Dadake Bobby Kristin alifariki Miaka 5 iliyopita Kwenye ajali yenye utata Taarifa zaidi za chanzo cha kifo cha Jr zitatolewa na Polisi ----- LOS ANGELES — Bobby Brown Jr., the son...
  10. TANZIA Naibu Kamishina wa Polisi, Dhahiri Kidavashali afariki dunia

    Kama kawaida ya mipango ya Mungu. Kamanda Athuman Kidavashali aliyekuwa kamishina wa Polisi Makao Makuu amefariki. Poleni sana Makamanda wote. Kifo hakina huruma kinambeba kila mtu awe mwalimu, polisi, mkulima, Rais, waziri na yeyote yule. ========== Mkuu wa Jeshi la polisi,(IGP Simon...
  11. Tanzania kutokuwa na Corona katika taarifa za dunia kumewachengua wazungu

    TANZANIA KUTOKUWA NA CORONA KATIKA TAARIFA ZA JANA ZA DUNIA KUMEWACHENGUA WAZUNGU. Leo 18:30hrs 16/11/2020 Leo nilizungumza na Wachina waliokatazwa na nchi yao ya China kurudi kwao China kwa sababu huu ni msimu wa baridi China na kama mtakumbuka mwezi huu ndio kicorona kilianza uko China...
  12. Je, wajua: Rais mwenye rekodi ya dunia ya kuongoza muda mrefu

    Rais Omar Bongo wa Gabon ni Rais anayeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa Rais aliyeongoza muda mrefu zaidi duniani. Rais huyo aliongoza Gabon kwa miaka 42 tangu Desemba 2, 1967 hadi alipofariki Juni 8, 2009. Aikuwa akipita bila kupingwa kwa miaka ya awali walipokuwa na mfumo wa chama kimoja...
  13. TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa: Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER. Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa. Innallillah wainnallilah raajuni...
  14. Saeb Erakat wa Palestina afariki dunia

    Mtumishi wa muda mrefu wa wananchi wa Palestina bw Saeb Erakat amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65. Marehemu Erakat alikuwa mtu wa karibu wa kiongozi mwasisi wa PLO na ameendelea kuwa chini ya rais Mahamud Abbas tangu pale alipomrithi Yasser Arafat. Katika umri wa utumishi wake ameshiriki...
  15. TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

    Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
  16. TANZIA Geita: Madiwani wawili wateule wa CCM wafariki dunia

    Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho. --- Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi...
  17. GEITA: Afisa ardhi Agustino Sibeye mbaroni kwa kuwagonga na gari na kuwaua wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwagonga na gari wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa na kufariki dunia wakati wakivuka barabara kuelekea shuleni. Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe amesema afisa huyo wa ardhi...
  18. Dunia nzima hakunaga Mabadiliko yaliyowahi kuletwa na Watu Wengi

    1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi...
  19. GE2020 Hongereni Watanzania tukaioneshe Dunia kuwa tupo huru na hakuna wa kuharibu amani yetu

    Habari za jioni watanzania! Kwa kipindi cha takribani mwezi mmoja tumekuwa kwenye mchakato wa uchaguzi. Katika kipindi chote hiki Watanzania tumeonesha ustaarabu wetu kwa kufanya kampeni safi bila ugomvi au rushwa. Wapo waliotumwa kuvuruga hali ya hewa hata kabla ya kuingia siku ya upigaji...
  20. K

    TANZIA Aliyekua Afisa elimu Wilaya ya Magu ndg Jesse Kaanyuma afariki dunia hospitali ya Muhimbili

    Aliye kuwa afisa elimu Wilaya ya Magu na baadae kuhamishiwa Dodoma makao makuu ndg Jesse Kaanyuma amefariki jioni hii katika hospitali ya taifa Muhimbili. Ni taarifa zilizodhibitika kutoka kwa ndugu wa karibu kwenye familia kwa pamoja tunasema poleni walioguswa na msiba huu mzito
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…