dunia

  1. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Wanawake imeshinda COSAFA Cup, lakini wametolewa kombe la Afrika na dunia

    Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano...
  2. JamiiForums Tanzania Je unajua dola inavyosafirishwa? Mfano unaposikia benki ya dunia wametoa msaada dola bilioni kadhaa kwa nchi husika unajua zinafikaje?

    Jibu ni rahisi zinatoka New York au Washington kwa ndege mpaka kwa nchi lengwa. Ila pia ujue kutoka airport mpaka benki kuu haiwezi kabisa kutekwa maana Kuna makomandoo maalumu kwa kila nchi wanaotumiwa kusafirisha pesa. Ya kasusura ni inside job usilete ule upuuzi kwenye huu Uzi.
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

    Colin Powell, the former secretary of State and chairman of the Joint Chiefs of Staff, has died from Covid complications at the age of 84. Powell was previously diagnosed with multiple myeloma, a type of blood cancer that hurts the body’s ability to fight infections. “General Colin L. Powell...
  4. JamiiForums Tanzania Miezi 7 bila Dkt. Magufuli; Noti mpya iliyopakwa Dhahabu, Almasi, Tanzanite ingeileta Tanzania mpya katika uso wa dunia

    MIEZI SABA BILA JPM;NOTI MPYA ILIYOPAKWA DHAHABU,ALMASI, TANZANITE INGEILETA TANZANIA MPYA KATIKA USO WA DUNIA. Leo 10:15hrs 17/10/2021 Nianze na maswali matatu yatakayotuongoza katika kujiuliza kama tunaweza kutengeneza pesa yetu na thamani yake ikapimwa kwa dhahabu,Almasi au Tanzanite...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kazi nina elimu ya kidato cha nne

    Ndugu poleni na majukumu. Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza kupita kiasi ndugu zangu kiukweli hali yangu sio nzuri. Nilikutana na Engineer #ushimen akajaribu kwa kila namna...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Dunia hadaa walimwengu shujaa

    Wakuu katika kuperuzi peruzi mitandaoni nimekutana na hii kitu, nikasema basi sawa kizuri kula la nduguzo.. karibuni. DUNIA HADAA WALIMWENGU SHUJAA Yupo wapi Paul Makonda Lile bwana lililojiona ni Alfa na Omega katikati ya Jiji la Dar, alijifanya yeye ni kila kitu, akatangaza watu wa mikoani...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Dunia haina usawa kwanini muongoza meli/ndege aitwe captain halaf wa basi aitwe dereva

    Ili tuwe na tukae katika usawa basi tuheshimiane , kwanini muongoza chombo meli au ndege anatambulika kama captain na anavaa kofia na nguo za kiaskari wakati muongoza basi anaitwa dereva , hiyo sio haki na wao waitwe madereva, au wa basi aitwe kaptain apewe nguo na kofia ya kijeshi Kama wenzake...
  8. JamiiForums Tanzania Wasomi ndio wanaiongoza hii dunia, wasomi waheshimiwe

    Jana kuna mtaalam mmoja wa coding amehack mitandao ya Facebook, WhatsApp, na instagram dunia nzima ilisimama, viongozi wote walisimama, wasanii wote walisimama. Mpaka wengine walitaka kupasua simu zao. Na wengine Kutaka kushika watu uchawi. Jana hata mawaziri walikua wanahaha mitandao...
  9. JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Au tatizo hili ninalo mimi tu? ---Update---
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Mchoraji wa katuni ya Mohammad (Lars vilks) afariki dunia kwa ajali ya gari

    Mchora katuni wa ufaransa Bwanaaaa Lars Vilks amefariki dunia kwa ajali leo nchini huko. Bwana Lars Vilks alijipatia umaarufu baada ya kuzua taharukii kwa kuchora katuni ya mtume MOHAMED SAW. === A view of a scene after an accident between a car and a lorry in which three people died...
  11. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

    VIDEO: Hotuba ya Rais Samia Suluhu Umoja wa Mataifa (UN) Rais Samia: Tanzania itaendelea kuwa mwanachama kindakindaki wa Umoja wa Mataifa. Tuko tayari kushirikiana na wanaotaka kushirikiana nasi, tutendelea kuwa Tanzania iliyokuwa ikishirikiana na nchi zote Rais Samia: Virusi vya Corona...
  12. JamiiForums Tanzania Hauwezi kupunguza madeni unayodaiwa na Taifa fulani kwa kutumia fedha za IMF au benki ya dunia alafu ukatembea kifua mbele ukisema unalitatua tatizo

    "Hauwezi kupunguza madeni unayodaiwa na Taifa fulani kwa kutumia fedha za IMF au benki ya dunia alafu ukatembea kifua mbele ukisema unalitatua tatizo. Afrika inahitaji usimamizi madhubuti wa vyanzo vyake vya kiuchumi. Afrika inahitaji kufanya kazi kwa bidii kuzalisha na kukuza vyanzo vyake...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa dunia imejaa hila

    Huwa tunaambiwa: Wataalamu wamefanikiwa kuondoa ndui (smallpox) duniani kutokana na dungadunga. Je, kuna ukweli wowote? Asilimia zaidi ya 95 ya wanadamu watakwambia NI KWELI. Ukiwaambia NI UONGO utatukanwa, utabezwa, unaweza hata kupigwa mawe, au kufanyiwa chochote kibaya MAANA HUNA AKILI WEWE...
  14. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua Kuhusu Samia UN: Kumbe alitaka kuhutubia Kiswahili! Baada ya Kiswahili kuwa Lugha ya Afrika, Rais Samia kukipaisha kuwa Lugha ya Dunia

    Wanabodi, Baada ya Rais Samia kuhutubia Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York nchini Marekani kwa kutumia lugha ya Kiingereza safi kilichonyooka, kuna wajinga fulani huku kwenye mitandao ya Kijamii, walimpongeza Rais Samia kwa kuhutubia kwa Kiingereza safi na huku wakimponda...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanasayansi walioifanyia makubwa dunia

    UTANGULIZI “The world need science and science needs women and girls”/Dunia inahitaji sayansi na sayansi inawahitaji wanawake na wasichana" Huu ni msemo maarufu unaotumika kila wakati kuwahamasisha watoto wa kike na wanawake kujikita na kujihusisha na mambo ya kisayansi lakini hasa hasa msemo...
  16. JamiiForums Tanzania Dunia inakimbia kama rocket, wanawake tupeni majibu tafadhari

    Nawauliza nyie wanawake hivi dunia ya leo unaweza pata mwanaume mwenye sifa hizi zote na ukimpta utajisikiaje? Mpole, sio muongeaji sanaa, namanisha mwenye tunda la upole la roho mtakatifu, wakatoriki nazani mnaelewa kwenye yale matunda ya roho mtakatifu kwenye katekisimu. Anajali...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais benki ya dunia kutua Tanzania 27/09/2021

    Masaa machache baada ya Rais Samia kuhutubia UN Gen Assembly huko New York Marekani na kurejea nchini || Sasa rasmi Makamu wa Rais benki ya dunia kutua Tanzania 27|28|09|2021. ____________________________________________ Makamu wa Rais wa benki ya dunia anayeshughulikia Ukanda huu wa Mashariki...
  18. JamiiForums Tanzania Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

    Wanaukumbi. Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN. Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Dunia ya Sasa DNA ni muhimu. Msipuuze!

    KWA DUNIA YA SASA "DNA" NI MUHIMU. MSIPUUZE! Na, Robert Heriel. Unajua kuna watu wanafikiri kizamani Sana, watu hawa hawakubali kuwa Dunia inabadilika. Watu hawa huitwa CONSERVATIVE, yaani wasiobadilika, au wasiokubali mabadiliko. Dunia ya Sasa ni tofauti na yazamani Kwa mambo mengi...
  20. JamiiForums Tanzania Joe Biden awaambia wajumbe wa UN - General Assembly kuwa, dunia ya wakati ujao si ya viongozi katili wanaokandamiza haki za watu...

    Tafsiri isiyo rasmi; Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema; "....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…