Dar es salaam haijawahi kuwa na majira ya baridi kwa muda mrefu hivi. Biharamulo nimeona clip kuna hadi barafu inadondoka kitu ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Ulaya wanateseka na joto.
Nadhani haya hayatokei kwa bahati mbaya bali kuna universal system ambayo wanasayansi hawajaigundua kama...
Ninachofahamu kwa uhakika wa 100% ni kwamba janga hutiliwa mkazo endapo tu kuna manufaa yanapatikana kwa kupitia Janga hilo, iwe ni magonjwa, matetemeko, mafuriko nk.
- Mfano kwa magonjwa, ukiona NGO inapigia sana kelele masuala ya Ukimwi kwa mfano, basi tambua kuna manufaa wanapata toka...
Maisha yetu huwa na thamani pale tunapoona uwezo wetu wa kutatua changamoto ni mkubwa. Maisha yetu hukosa thamani pale tunapojihisi hatuna kile kinachoweza kuongeza thamani katika maisha yetu.
Uwezo wa kutatua changamoto katika maisha hujengwa ili kutoa matokeo kusudiwa. Leo katika Story of...
DEATH ANNOUNCEMENT
إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".
It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th...
Aliyekuwa Naibu Makamu Mkuu Mipango, Fedha na Utawala katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Profesa Justinian Anatory amefariki dunia.
Profesa Anatory ameacha alama zake za kitaaluma UDSM na UDOM aliko pitia akilisukuma gurudumu la maendeleo mbele.
Bwana alitoa, bwana ametwaa...
💧 Dunia inaongozwa na watu wanao fikiri tofauti na wengine.
💧 Ukihitaji kuongoza katika sekta Fulani labda tuseme kiuchumi lazima ufikiri tofauti.
💧Mfano pale watu wanapo sema ng'ombe wa masikini hazai wewe ili ufanikiwe fikiri tofauti na msemo huu.
✍🏿 Huwa napenda sana kusoma historia za...
Joseph Mfugale ambaye alikuwa mmiliki mwenza wa Peacock hoteli amefariki dunia leo asubuhi.
========
Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa ndugu za Mfugale aliyetajwa kuwa msemaji wa familia, Expedito Mfugale alipoulizwa kuhusu taarifa...
✍🏿✍🏿 KITU PEKEE CHA KUIBADILI DUNIA NI KALAMU.
🖌️ Wengi wanasema kuwa Mimi siwezi:
1. Kusoma makala ndefu.
2. Kusikiliza mazungumzo.
3. Matamasha na kadhalika.
👆🏽 Watu hawa kamwe hawezi kuibadili dunia au kufanya mambo ya kipekee, kwani wanakwepa ujuzi.
💧 KUELEKEA SAFARI YA...
Habari wana jukwaa
mimi naitwa Dgombusi
Leo ntaenda kuzungumzia siri moja kubwa ambayo asilimia 1 au 2 ya watu wanifahamu vizuri kuhusu dunia yetu
Aslimia 99 yatu wengi hawa ifahamu siri hii kubwa kuhusu Dunia yetu hii
Nitaanza kwa kutoa mifano ya baadhi ya watu walio kuwepo wanafahamu...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere.
====
SOPHIA Nyerere, ambaye ni mjukuu wa Baba wa...
Inashangaza sana na inachanganya sana,
Africa ndio kusema inabahati mbaya ama inatengenezewa zengwe ili siku ya siku ije ipukutike?
Ilikuwa chanjo ya AstraZeneca kutiliwa mashaka katika nchi za dunia ya kwanza kwamba zinagandisha damu na baadhi ya nchi ziliikataa hiyo chanjo kutumika kwa watu...
ISMAIL MAYUMBA
Watu wawili wakiwa wameianza safari ya baharini, wakiwa kwenye jahazi na safari yao ikigharimu miaka yao tisa katika kuishi. Sio kama awali bali saivi bahari ina machafuko na vimbunga vya kila aina na mawimbi yanayotisha. Ikafika kipindi wakaanza kusikia njaa na kwa bahati...
Familia ya Freeman Aikael Mbowe wametangaza kifo cha Baba Mdogo wa Mbowe aitwaye Manase Alphayo Mbowe aliyefariki baada ya kupata mshtuko baada ya kupata taarifa za mwanaye kutuhumiwa Ugaidi
Amefariki Hospitali ya Machame Julai 23, alikopelekwa baada ya kupata mshtuko
Freeman Mbowe ametuhumiwa...
Mhilu, alifariki jana akiwa ARUSHA baada ya kuugua muda mfupi. Msiba uko UKUN, BAGAMOYO.
Wakati wa uhai wake amewahi kuwa Mkuu wa Shule EAGLES, Bagamoyo na kufundisha shule mbalimbali zikiwemo LILIAN KIBO na MBEZI BEACH za DAR es SALAAM.
Ameshiriki kuandika vitabu vingi na kuedit vingine...
vita vya pili vya dunia viliua watu milioni 60 na mpaka leo madhara yake bado yanaendelea kuonekana
Anaitwa Yang Kyoungjong amepigana vita vya pili vya dunia akiwa na uniform za mataifa za mataifa manne tofauti
In June 1944, a young soldier surrendered to American paratroopers in the Allied...
Wdada waliojitunza na wenye kuishi kwa kufuata miiko na maadili hawaolewi. Kwasabb watu waovu ni wengi kuliko wema.
Dunia imejaa ubatili na hivyo wenye ubatili wametamalaki. Wakaka wengi wametawaliwa na tamaa za kishetani.
Akili zao ziko kwenye "kuonja", kuangalia makalio, shepu na rangi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.