dunia

  1. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Suala la mafuta ni siasa na ni janga la dunia nzima, tuvumilie tutavuka tu

    Ni janga la dunia nzima, tutulie tutavuka tu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dunia hii ina mengi kumbe, mwanaume unaweza kumpa limbwata mwanamke

    Maisha haya bhana kuna kipindi maisha yalinipiga mjini nikapoteza direction ikabidi nijichanganye kitaani nikutana na vijana flani ivi nikawaomba mishe wakaniunganisha na jamaa wengine kazi ya kuchoma mkaa Tukasafiri kwenda porini kijijini ndani uko kufika kuna mzee tukamkuta ana age kama 80s...
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Dunia inatafsiri kutoa kama kupata

    KUTOA NI KANUNI YA ASILI YA ULIMWENGU INAYOMAANISHA KUPATA. Hakuna kiumbe kinachoweza kukwepa kupata. Kupata hapa namaanisha kukidhi mahitaji ya kuendelea kuwepo na pia kuongezeka. Hii ni kanuni ya asili na unapoifuata kwa kujua au kutokujua matokeo yake ni kupata. Kutoa siyo kupoteza katika...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto mchanga wa Marehemu Mbunge Irene Ndyamkama afariki dunia

    Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022. Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa kwake, Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika Hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa...
  5. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

    Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji. Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wakala wa wachezaji, Mino Raiola afariki dunia

    Mino Raiola (54) ambaye ni Wakala wa Wachezaji wengi amefariki dunia baada ya kuugua kwa miezi kadhaa Raiola alilazwa katika hospitali ya Milan mnamo Januari 2022 na kufanyiwa upasuaji lakini aina ya ugonjwa wake haikubainishwa Wachezaji waliokuwa wakiwakilishwa na Raiola ni; Player...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Dunia haina usawa - hata wajinga kabisa wanapata pesa za hatari

    Dunia hii haina usawa. hasa hasa hapa Africa yaani Tanzania..Unakuta mtu umesoma hadi Masters ama hata PhD ya sayansi sasa unajikuta unatungiwa sheria za nchi na form four na div 4. Hii kwa kweli mimi binafsi inaniuma - inauma saana. Sera za nchi huwa zinatungwa na watu wasomi makini.. siyo...
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Dunia Inakwenda Ukingoni Kama ni Hivi!!!

    Nimeona hii
  9. Aaron Arsenal

    JamiiForums Tanzania Mino Raiola Ana hali mbaya, ni wakala wa Pogba, Zlatan, Lukaku, Haaland, Balotelli

    BREAKING NEWS: Italian football agent Mino Raiola died after illness. He was agent of Ibrahimovic, Pogba, Haaland etc 🚨 Football agent Mino Raiola has passed away according to the Italian media. 🙏😔 Taarifa Kadhaa huko Ulaya zinaripoti kifo cha wakala maarufu Raia wa Italia na Uholanzi Mino...
  10. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Tabiri nini matokeo ya Vita vya UKRAINE na Hatma ya dunia

    Kwa mtazamo wangu 1: Hakutakuwa na WW3 2: Russia hatatumia Nuclear wala Ukraine haitajisalimisha. Russia itachoka, na wataingia makubaliano ya kusitisha vita ikiwa hoi kabisa na majeraha mengi bila kutumia Nyuklia zake. 3: USA atakuwa na nguvu kubwa kuliko MTU au taifa lolote kuliko hapo...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wakati Dunia ikielekea katika vita vikuu vya tatu (WW3) Bajeti ya Kilimo iongezwe na itekelezwe kwa vitendo

    Wasalaam Wakati sisi tukiwa na mipango ya miaka minne tu mbele ya maendeleo na jinsi itakavyokuwa nchi na sio dunia, wenzetu wa huko mbele huona miaka mia ijayo kuwa dunia itakuwa vipi? Hotuba ya juzi ya makamanda wa USA ilionyesha kabisa kwamba dunia si salama na dunia iwe tayari kukabiliana...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DRC: Mgonjwa wa pili wa Ebola afariki dunia

    Mgonjwa wa pili aliyekuwa anaugua Ugonjwa wa Ebola amefariki dunia huko Kaskazini Magharibi mwa DRC. Taarifa hiyo imetolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO), ikiwa ni siku chache baada ya mlipuko mpya wa ugonjwa huo kutokea DRC. WHO imesema uchunguzi wa vinasaba ulionesha maambukizo mapya...
  13. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Vitabu 14 viliondolewa kwenye biblia, Vatican imeficha nini, ilikusudia Dunia isijie nini?

    Niende kwenye hoja. Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books". Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa...
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Una kitu gani cha kuipa Dunia ikupe utakacho?

    UNA KITU GANI CHA PEKEE? Swali hili ni muhimu kujiuliza na kujijibu mwenyewe hata kama likikukera ikiwa tu unahitaji kuitambua thamani yako au kuiweka katika hadhi yake sawasawa na vigezo vyako. Acha kuendelea kutamani jaribu sasa kujiuliza wewe una kipi cha kukufanya upate uyatakayo. Kwa nini...
  15. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na laana ya dunia

    Daaaaah, nime mwomba Mungu ingiliekati utuokoe tena. Nilikuwa nimetulia sehem nasubiri foleniipungue nielekee home mida ya saa 3 hivi usiku. Akaja jamaa mmoja smart yuko poatu na begilake mgongoni. Akawakama anapita pale nilipo, gafla akarudi pale nilipo mimi akanisalimia mambo vipi. Tukapiga...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

    Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama. Habari ambazo sio Rasmi upo uwezekani Kremlin ikapigwa na kitu kizito mpaka sasa ninavyo andika majasusi wa dunia wakiongozwa na Team...
  17. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA: Rais wa awamu ya tatu ya Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia

    Kenya’s former President Mwai Kibaki is dead. The announcement was made on Friday morning by President Uhuru Kenyatta. “It is a sad day for us as a country. We have lost a great leader, the former president Mwai Kibaki,” President Kenyatta said in a news conference from State House. “I order...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Aprili 22: Maadhimisho ya Siku ya Sayari Dunia (Earth Day)

    Aprili 22 ni Maadhimisho ya EarthDay, Siku hii inalenga kuangazia umuhimu wa kutunza Sayari yetu na kuchukua hatua za kuiokoa Mitindo yetu ya Maisha ina athari kubwa kwenye Sayari yetu ikielezwa takriban theluthi mbili ya uzalishaji wa gesi chafu duniani unahusishwa na ngazi za Familia Kila...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umesababisha hasara ya dola bilioni 60

    Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka zaidi kadri vita vinavyoendelea, Rais wa Benki ya dunia David Malpass amesema Alhamisi. Malpass ameuambia mkutano wa Benki ya dunia kuhusu mahitaji ya msaada...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Dunia imechelewa mno kuishtukia Marekani kuhusu utawala wa pesa yake DOLA katika uchumi wa dunia. Angalau sasa wameishtukia

    Marekani iliipiga changa ya macho dunia kwa muda mrefu. Ikalazimisha dola iwe ndio pesa rasmi katika biashara za kimataifa na uchumi wa dunia. Wanachofanya ni kuchapisha noti tu za dola na kuipa thamani kwa kauli tu. Dunia nayo ikawa imejikuta inakubaliana na changa hilo la macho. Lakini Urusi...
Back
Top Bottom