dunia

  1. Roving Journalist

    TANZIA Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe Kisiwani Pemba(ACT Wazalendo), afariki Dunia

    Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam. Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa...
  2. Lady Whistledown

    Je, una utaratibu wa kupongeza rafiki zako? Messi amewazawadia timu ya Argentina iphone 14 za dhahabu kila mmoja kwa kutwaa World Cup 2022

    Messi amenunua simu 35 aina ya iPhone14 za dhahabu na kuwazawadia kikosi cha Timu yake ya Taifa ya Argentina kwa kutwaa Ubingwa wa FIFAWorldCup2022 Inaelezwa kuwa Nyota huyo wa PSG ametumia takriban Tsh. Milioni 409.5 kununua simu hizo, huku 1 ikikadiriwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 14...
  3. JanguKamaJangu

    Mbeya: Mwanafunzi wa Shule ya Msingi afariki Dunia kwa kujinyonga, yadaiwa chanzo ni kukaripiwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema Februari 27, 2023 majira ya saa 02:00 usiku katika Mtaa wa Mwafute uliopo Kata ya Ilemi, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Mwanafunzi wa darasa la VI katika Shule ya Msingi Lyoto aitwaye IBRAHIM EDSON [12] alikutwa akiwa amefariki baada...
  4. The Sheriff

    Kuna Haja ya Mataifa Kuzidisha Mapambano Dhidi ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Hivi karibuni matukio ya usafirishaji haramu yameonekana kuzidi kushika kasi na kuibuka katika mazingira ambayo watu wengi wasingeweza kudhani. Makala ya hivi karibuni iliyorushwa na kituo cha televisheni cha BBC ilionesha jinsi baadhi ya watu wenye ulemavu wanavyorubuniwa na kupelekwa nchini...
  5. BARD AI

    Mtoto wa wiki mbili aliyechomwa kisu afariki dunia

    Mtoto mchanga wa wiki mbili aliyechomwa kisu na kisha utumbo kutoka nje na mama yake kuuawa akiwa amelala, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC). Februari 22, mwaka huu Mwanamke huyo ajulikanaye kwa jina la Fausta Tesha (26) mkazi wa...
  6. D

    Hivi kuna vita kali duniani kama hizi?

    Habarini za mchana wote tunajua hakuna vita dunian kubwa kama vita kati ya hii Mungu na shetani kuachana na hii vita hivi kuna vita ngumu nyingine kupigana kama hizi 1) VITA KATI YA MOYO NA AKILI 2)VITA KATI YA UTAFUTAJI WA PESA NA KUMUABUDU MUUMBA 3)VITA KATI YA UAMINIFU NA...
  7. Wadiz

    Dunia haibagui, wanajeshi pamoja na kutamba wanaongoza kuchapiwa wake zao

    Kila mtu na mnyonge wake! Hakuna watu wa ajabu wanajikutaga kama wanajeshi, kujimwambafy kwingi mara wakiwa bar kujishaua kwingi na vipesa vyao vya kawaida sana. wakipanga mtaani vurugu nyingi sauti za mziki kubwa za fujo hata usiku wa manane, usiombe ndio awe na kijigari kama uniform maana...
  8. Messenger RNA

    Mkuu wa NATO: Kuacha Urusi ishinde Ukraine itakuwa hatari kwa dunia nzima, nchi za magharibi hawatakubali kitokee

    Katibu mkuu wa NATO amesema kuicha Urusi iishinde Ukraine ni hatari si kwa Ukraine tu bali kwa dunia nzima kitu ambacho NATO/magharibi haitakubali hilo litokee kamwe. ================== A Russian win in Ukraine would be 'dangerous for the whole world', says NATO chief as he accuses Putin of an...
  9. L

    China kujenga nchi yenye nguvu zaidi ya kilimo kunufaisha dunia nzima

    Hivi karibuni China ilitoa Waraka Namba 1 kuhusu suala la kilimo, ikiagiza kwa mara ya kwanza kuharakisha ujenzi wa nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo. Hatua hii ina umuhimu mkubwa wa kimataifa na itanufaisha dunia nzima. China kuharakisha kujenga nchi yenye nguvu zaidi ya kilimo kutatoa mchango...
  10. Equation x

    Wakubwa wanafaidi mema ya dunia

    Kama mwezi umepita hivi, nilikuwa hapa mjini kwa majukumu ya kikazi. Ili kazi iende vizuri, ilinilazimu kukaa hotelini kwa muda wa siku nne hivi. Baada ya kutoka kwenye majukumu, mida ya saa tatu usiku hivi, nilirudi hotelini, nikapiga maji kwanza ili kuondoa uchovu. Baadaye nikaomba wahudumu...
  11. N

    Benki ya Dunia imetoa ripoti ambayo imekuwa na sura kuu mbili ikiibebesha sifa Tanzania kiuchumi

    Hivi karibuni Benki ya Dunia imetoa ripoti ambayo imekuwa na sura kuu mbili ikiibebesha sifa Tanzania kiuchumi Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani alikuta hali ya uchumi ikiwa katika misukosuko mingi ikiwamo janga la ugonjwa wa Covid-19, mahsusi ripoti ikieleza angalizo kwa nchi za kusini...
  12. mwanamwana

    TANZIA Christian Atsu apatikana ndani ya kifusi Uturuki akiwa amefariki dunia

    Christian Atsu amepatikana ndani ya kifusi siku 12 baadaye baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Uturuki na Syria. Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na wakala wake anayeitwa Nana Sechere Pia soma - Mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana anaswa kwenye vifusi nchini Uturuki ==== Nana Sechere...
  13. R

    Maajabu ya dunia yapo Tanga, hakuna Umeme na Maji kwa muda mrefu sasa

    Sasa ni saa 48 umeme haujakatika hata fraction of a second! Haijawahi tokea ! Maji leo ni siku ya kumi hakuna hata tone! Ngoja tuombe maajabu yatokee na huku kwenye maji.
  14. Mufti kuku The Infinity

    Picha ya dunia kutoka umbali wa Kilomita Bilioni Sita (06). Halafu kuna watu wanafikiri uwepo wao duniani ni kwa bahati mbaya

    Picha hii iliyopewa jina la "kitone cha samawati (The blue dot)" ilipigwa na Voyager 1 mwaka wa 1990. Chombo hicho kilipo kimbia kuelekea anga za juu, kiliikamata Dunia kutoka umbali wa maili bilioni 3.7 (kilomita bilioni 6). Nb: Atheists mrudieni mungu bado hamjachelewa
  15. Black Butterfly

    Mzazi zungumza na mwanao kila mara, dunia imeharibika hii

    Wakuu, nimewaza sana kuhusu malezi ya watoto leo. Wazazi tunapaswa kujua mabadiliko ya tabia za watoto yanategemea zaidi ukaribu walionao kwa Mzazi au Mlezi wao na kwa kiasi gani Wazazi wanazungumza kuhusu makuzi, fursa, hatari zilizo mbele yao na jinsi ya kuzikabili au kuziepuka. Watoto wengi...
  16. JokaKuu

    Je, nini kingemtokea Lissu kama Naibu Balozi asingeingilia kati?

    Nadhani wengi mmesikia kuhusu tukio la Lissu kutekwa akiwa nje ya Ubalozi baada ya uchaguzi mkuu. Sasa Naibu Balozi wa Ujerumani aliyemchomoa Lissu toka kwa watekaji wake ni huyo anayeonekana ktk video. Je, bila huyu Mama nini kingemtokea Tundu Lissu? Je, tungekuwa naye leo hii? Unaweza...
  17. BARD AI

    Ripoti Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania utaimarika zaidi

    LICHA ya mlipuko wa ugonjwa wa COVID- 19 kuzorotesha uchumi wa nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara, ripoti ya Benki ya Dunia (WB) imeonyesha kuwa uchumi wa Tanzania umezidi kuimarika na kupita wastani wa nchi hizo. Ripoti hiyo ambayo ni toleo la 18 la Taarifa ya Kiuchumi ya Tanzania, pia...
  18. Roving Journalist

    Benki ya Dunia yataja mafanikio matatu ya uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Benki ya Dunia yataja mafanikio matatu ya uchumi wa Tanzania 1. Tanzania ina mfumuko wa bei mdogo kuliko nchi zote Afrika Mashariki 2. Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi kuliko wastani wa Afrika Kusini mwa Sahara 3. Deni la Taifa ni himilivu
  19. King Kong III

    Rapper Trugoy wa De La Soul Afariki dunia akiwa na umri wa Miaka 54

    Umuofia Kwenu wana JF, Mwana hiphop David Jude Jolicoeur alias Trugoy ambaye alikuwa member wa kundi la Hip hop De La Soul amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Kundi la De la soul ambalo liliundwa mwaka 1988 lilikuwa linaundwa na members watatu wakiwemo posdnuos na maseo.
  20. Mla Bata

    Dunia simama nishuke

    Wasalaam Maisha yanaenda kasi mno, bongo kama ulaya, utandawazi na maisha ya kwenye movies 🎥 yanaiharibu jamii kwa kasi ya ajabu, devil on wheels. Weekend imeingia siku ya jana nikasema ngoja nikashangae maisha yanavyoenda huko duniani, katika jiji la Arusha nikazama kiwanja kimoja chenye...
Back
Top Bottom