Wakati Dr. Dre anapelekewa Eminem ili amsaini, alimshangaa, hakuwa akiamini kama Mzungu huyo angeweza kuchana kama watu weusi lakini alipomsikiliza, sasa akawa na uhakika alimpata mwamba, mtu aliyekuja kuwa na ukubwa usio wa kawaida.
Huyu Eminem hakuwa na mahusiano mazuri na mama yake kama...
Tulia, spika wa Bunge la JMT, amekuwa mstari wa mbele katika kutetea na kulinda utekaji na mauaji ya wakosoaji.
Mara mbili, wabunge waliomba Bunge lijadili utekaji na mauaji ya wakosoaji, lakini Tulia, kama spika wa Bunge la JMT, alizizima hoja za wabunge hao, na kuzuia kabisa zisijadiliwe...
Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum
Ref: No Retreat, No Surrender! Maria Sarungi Speaks Out on Tanzania’s Repression at the Oslo Freedom Forum - Mwanzo TV
https://youtu.be/EiV1P-sOvHU?si=0xNqnamQJihTXFnh
Kama wewe ni mfanyabiashara una biashara yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaaani mtu ata aki request a Afike hadi dukani kwako yaani duka linaonekana kwenye raman Ya dunia kama unataka iyo nicheki 0743 257 669 nikusaidie
Suala ya udhulumaji haki kwa wananchi wa Tanzania linalofanywa na watawala, lina uhalali na haki ya kupata msaada mkubwa kutoka jumuia ya kimataifa.
Ni mwendawazimu pekee ndiye anaweza kutamka kuwa eti udhulumaji wa haki, ikiwa ni pamoja na utekaji na mauaji ya wakosoaji, ni suala la ndani ya...
Katika nusu ya pili ya karne ya ishirini huko Marekani na nchi nyingine za magharibi kulichomoza mwendo wa neofeminism, yaani "nafasi sawa".
Kwa leo hali sawa za wanawake na wanaume zimetangazwa rasmi katika nchi nyingi duniani.
Mwishoni mwa karne iliyopita ilisisitizwa na wanaelimujamii...
JINA RASMI LA SIMULIZI:
Mwisho wa Dunia Kimya Kimya
---
MUHTASARI WA SIMULIZI
Najim Kifu, mwanaume kutoka Kigoma, mtaalamu wa historia na mjasusi wa zamani aliyejificha kwenye kivuli cha kawaida, anavutwa tena kwenye dunia aliyojaribu kuisahau. Ujumbe wa siri kutoka kwa mtu aliyedhaniwa...
Diwani wa Kiwere, Felix Waya, amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025, baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo, Wilaya ya Iringa.
Akizungumza na Mwananchi leo Mei 24, 2025, Katibu wa UVCCM Wilaya ya Iringa...
https://youtu.be/8KZulT0i1nk?si=OmucN8PMwbOADTlj
Kwa unyama huu waliotendewa Wanasheria na Wanaharakati toka nchi za jirani zetu Kenya na Uganda kimeharibu kabisa uhusiano wa kidplomasia.
Tujiulize: Kulikuwa na ulazima gani wa kuwakamata, kuwatesa na kuwa dhaliilisha kingono baadhi yao? Mtu ni...
Kama kuna ukweli ambao dunia ingekuwa wanadamu wamezidi kuishi mwaka bilioni 1 moja tu ambayo wameishi wanyama na wengine wamekosa basi tungekuwa na mambo mengi.
Siwezi kukubari kuwa mwanadamu alikuwa miaka ya bilioni zaidi ya wanyama.
Ina maana kuwa kuna viumbe vilikuje hapa kutengeneza watu...
Top 10 Hacking Attacks Zilizotikisa Dunia (Kwa Historia, Impact, na Ujanja)
---
1. The Melissa Virus (1999)
Iliundwa na David L. Smith
Iliambukiza Microsoft Word docs kupitia email
Ilienea kwa email zote kwenye contact yako — ndani ya dakika chache
Ilivuruga systems za FBI, Microsoft na...
Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo?
Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
dakika
dunia
kati
mchele
mgogoro
mgogoro wa ukraine
muhtasari
mungu
nchi
nchi za ulaya
nyuklia
ogopa
tanzaia
ukraine
ulaya
umoja
umoja wa nchi
urusi
vita
Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa nguvu zote.
Shetani aliibua na anaendelea kuibua mbinu chafu za kuiteka dunia lakini uimara wa...
Kiukweli naandika kwa uchungu sana naandika kwa maumivu sana our intelligence unit mna failed ktk kuikinda hii nchi na high brid war warfare.
Naandika nikiwa kama Raia ila najiona kuwa na uwezo wakuona nje ya unit.
Hivi kweli mnajuwa kabisa hili Taifa lime sign mikataba ya kimataifa na nyie...
Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu.
Suala hili la kesi za mchongo limeongeza umaarufu wake duniani kote na imani zaidi kwa wananchi atakapoachiliwa dunia lazima itasimama.
Tutaendelea,kuwapatia taarifa zaidi!
TANZIA: Askofu Mkuu wa kwanza mstaafu wa Tanzania Assemblies Of God (TAG) Dkt.Emmanueli Lazaro amefariki Dunia Mei 17,2025 .
Akitoa taarifa za kifo hicho Makamu Askofu Mkuu wa TAG, Magnus Mhiche amesema kuwa Hayati Dkt.Emmanuel Lazaro alifariki hapo jana...
Kocha bora kwa muongo mmoja na nusu uliopita bila shaka ni Josep “pep” Guardiola kutoka Spain.
Huyu akiikamata mechi atakutawala kwanzia possession, mashambulizi, magoli yaani kila kitu. Kama unabisha muulize Sir Alex Ferguson pale Wembley.
Guardiola akatawala soka la Spain akiww na Barca bora...
Habari wana jamvi kwa miaka ya hivi karibuni takribani 3 nmekuwa nkifuatilia projects mbali mbali kuhusu hawa viumbe wa kigeni duniani yaani ALIENS
Nimekuwa nikofuatilia documentaries za historia za kale sana za civilizations mbali mbali kama mesopotania, maya, Egypt n.k mpaka india huko...
Iko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;-
Kibera inajulikana kwa umaarufu wake kama moja ya mitaa ya mabanda mikubwa na maskini zaidi duniani. Hakuna idadi kamili ya watu wanaoishi Kibera, lakini makadirio yanatofautiana kutoka watu 700,000 hadi milioni moja. Katika Kibera, msongamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.