Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani.
Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, ameongoza majadiliano muhimu yaliyoandaliwa na UN Women kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, yaliyolenga kutafuta suluhisho la kudumu kwa changamoto zinazowakabili wanawake na...
Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980).
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayesimamia Usalama wa Taifa, Dr. Hassy (Hassan) Kitine amefariki dunia...
Si kwa ubaya, ila sisi wahindi especially wa jamii ya ponjoro, tunajulikana zaidi kwa kuchezesha kamari, kutumikiaha watu kwa ujira kidogo na kulalamika tunapata hasara.
Hiyo ni jadi yetu na hakuna wa kutubadilisha.
#SijamtajaMtu.
Watu wote duniani wangekuwa wanaishi maisha haya wanayoishi Wakristo wa kweli, dunia ingekuwa na amani na furaha kuu. Wakristo wa kweli:
Hawalipi kisasi – badala yake huacha Mungu mwenyewe alipe (Warumi 12:19).
Hawaibi – wanaishi kwa uaminifu na kuridhika na walicho nacho (Waefeso 4:28)...
Shalom shalom
Wanasayansi wanasema Dunia yetu imeanza kuzunguka kwa kasi zaidi kuliko kawaida. Kwa kawaida, Dunia huchukua sekunde 86,400 kumaliza mzunguko mmoja (siku moja kamili). Lakini hivi sasa, kasi hiyo imeongezeka kidogo sana, kiasi kwamba siku moja inaweza kuwa sekunde chache fupi...
Tukio la ajabu/kushangaza litakalo leta mijadala mipya ya kisayansi ulimwenguni.
Chukulia mfano;
Mida ya jioni kijua cha usoni uko katika harakati zako zahapa na pale gafla jua linazama giza linaanza kuingia kama kawaida lakini ghafla tena baada ya dakika 3,4 hivi unaona mwangaza wa jua na una...
Connie Francis, nyota wa muziki wa pop aliyejizolea umaarufu miaka ya 1950 na 1960 kwa nyimbo kama “Pretty Little Baby”, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87
Taarifa za kifo chake zimetolewa na rafiki yake pamoja na msemaji wake, Ron Roberts, ingawa hakutoa maelezo zaidi mara moja
Francis...
Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha yenye utajiri, yenye dhambi na hata kwa kutoa kafara ila tu umeifaidi dunia, kuliko kuishi maisha...
Kuwa sijui....
1. Ukiona Paka jike na dume wanatiana jua ni Uchuro ama utakufa au utapokea Msiba
2. Bundi akitua katika Paa la Nyumba yako jiandae Kufa au Kufiwa
3. Mbwa akibweka sana Usiku Kwako jua Wachawi wanapigana Angani Kwako hivyo utaamka Asubuhi ukiwa Mchovu kama umetoka Kulimishwa...
Kila unachokifahamu kuhusu wewe na kuhusu dunia ni taarifa kutoka kwa Wazazi, Ndugu, Pastor au Shehe, Mwalimu.
Binadamu anapozaliwa huja duniani na kuwekwa kwenye Mwanga, Mwanga ni kitu muhimu sana kwa binadamu,
Hakuna mmea wa ardhini ambao unaweza kukuwa vizuri bila mwanga (Light).
Huwezi...
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo
Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima...
Wakuu, Najua wengine mpo kanisani sasahv au ndio mnajiandaa kwenda.
Licha ya nyuzi nyingi sana hapa jukwaani naomba kujua kwa uchache tu.
Director wa hii movie anataka kuthibitisha nini kwa walimwengu.
Natanguliza shukrani.
Freedom is coming, No Reform, No Election.
Kidumu chama Cha...
Nimewaza tu mpaka kufika mwaka 2578 dunia utakuwa imefika ukingoni, Kuna vitu naona vya ajabuajabu vinaendelea sasa hivi duniani mpaka unajiuliza mpaka kufika miaka hiyo hali sijui itakuwaje.
Mimi sio mpenzi wa tamthilia ila hii ya Dunia ni kiboko naomba kuwafahamu wale wahusika Kwa undani. Maisha yao kazi zao wanapotoka makabila yao nk.
1. Manyanya
2. Mke wa manyanya
3. Mlevi mme wa sindi
4. Sindi mwenyewe
5. Wale wadada wanaomuita manyanya kaka nk
Dunia siku ya leo inakuwa mbali na jua Kwa 152.5 million kilometers kutoka kwenye jua,
Hivyo satellite kwa siku ya leo zinaiona dunia ikiwa katika hali ya ukungu mzito wa icy.
-Baridi ikizidi tukafa msije makasema sikuwaambia😄
Mfumo wa GPS (Global Positioning System) ni huduma ya bure kwa watumiaji wa kawaida duniani, lakini uendeshaji na matengenezo yake si bure kabisa. Mfumo huu unamilikiwa na serikali ya Marekani kupitia jeshi lake la anga (U.S. Space Force) na unajumuisha mtandao wa satelaiti zaidi ya 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.