Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,535
- 10,515
Kocha bora kwa muongo mmoja na nusu uliopita bila shaka ni Josep “pep” Guardiola kutoka Spain.
Huyu akiikamata mechi atakutawala kwanzia possession, mashambulizi, magoli yaani kila kitu. Kama unabisha muulize Sir Alex Ferguson pale Wembley.
Guardiola akatawala soka la Spain akiww na Barca bora kabisa, kisha akaenda zake Ujerumani akatawala soka akiwa na Bayern na hatimae akaja EPL.
Akabeba mataji chungu mzima huku akiwa na falsafa nyingi ambazo zimekuja kujulikana kama mbinu za soka la kisasa.
Huyu bwana pale EPl aliwahi kubeba taji la EPL bila ya kuwa na striker yaani alitumia false 9. Huyu bwana katuletea majanga ya kulazimisha kipa awe anajua kuuchezea mpira.
Huyu bwana alifanya Liverpool amalize ligi akiwa na alama 99 na bado Liver akashindwa kubeba ndoo🤣
Huyu bwana akabeba treble akiwa na Man City,.
Akabeba mataji manne mfululizo pale EPL haikuwahi kutokea kabla.
Sasa mambo yamebadilika, Dunia inashuhudia anguko lake. Anaenda kumaliza msimu bila taji, hii nadra sana kwa Pep.
January alitumia Paundi Milioni 200 kuboresha kikosi chake lakini wachezaji aliowasajili wameshindwa kuonyesha.
Mwisho umefika? Tumeshuhudia nyakati nzuri na bora za Pep na sasa tunashuhudia anguko lake.
Ni kama Dunia ilivyoshuhudia mwisho wa Malkia Elizabeth duniani, ni kama dunia ilivyoshuhudia kuanguka kwa ukuta wa Berlin, ni kama dunia ilivyoshuhudia mwisho wa Messi pale Barcelona na sasa dunia inashuhudia mwisho wa mbinu kwa kocha bora wa muda wote Pep Guardiola.
Ulikuwa ni wasaa mzuri kumshuhudia Pep katika ubora wake!!