Jaribu kufikiria hili la dunia ya kwanza

Jaribu kufikiria hili la dunia ya kwanza

Whitesmith

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
454
Reaction score
635
Habari wanajukwaa JF GT
Katika Ulimwengu wa wenye akili wanaumiza akili kufanya makubaliano yakibiashara "business deal". Marekani anapambana na Mchina, Mchina naye anajaribu kupata masoko mapya Ulaya yenye purchasing power kubwa. Russia anajiimarisha kupitia washirika wenye nguvu. Kiufupi Dunia haitaji unyonge "Taifa la wanyonge" either white or black.

Kama ndivyo, niukweli usiopingika tunajiandaa kuwa next Zimbabwe, siamini kama Mchina Yuko tayari kurisk soko lenye purchasing power "Europe" kubwa kwa ajili yetu Tanzania. Mantiki yangu ni kuwa tuingia mgogoro na EU basi tuwe na power yakuhimili mitikisiko yakiuchumi, vinginevyo Serikali inaweza kujieleleza vibaya wakifikiria China na Arabic nations watakaa upande wetu, watakaa kwa muda tu baada ya hapo wataleta "demands" zao pia. Fikiria kuhusu Ukraine aliambiwa pigana sisi tutakusupport but haikuwa free na sasa hivi Marekani amesaini deal ya madini adimu na Ukraine ya 400Trillion.

My Concern;
Hata Nyerere alivyobanwa na msukumo wa nje na ndani kuhusu sera zake, aling'atuka akasema "siwezi kula matabishi yangu" Kila ninachofanya mnanisupport lakini gizani mnapinga na mambo hayaindi. Hivyo Nyerere kuachia madaraka nikuruhusu fikra mpya. Vile vile kuruhusu mfumo wa vyama vyingi nikuruhusu vyama vyingine pia vitoe mchango wao wa fikra kimaendeleo.

Hivyo, tusije tukajidanganya tutasahidika Bure, Kama Taifa tukae tukubali kuanzia sasa, tuweke mifumo Bora na Taifa letu lidumu milele...

Naomba kushuka jukwani....
 
Kula ushibe kwanza ,unajipata stress kwa vitu vya kufikirisha.
 
Back
Top Bottom