Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,829
- 7,494
Nikiwa Rais kutakuwa na miradi ya kutengeneza sayari mpya mfano wa dunia, mars n.k from scratch
Muulize mbeba maona mheshimiwa rais daktari profesa SSHNikiwa Rais kutakuwa na miradi ya kutengeneza sayari mpya mfano wa dunia, mars n.k from scratch
View attachment 3332079
kutengeneza sayari mpya from scratch
Eti how do they formedNikiwa Rais kutakuwa na miradi ya kutengeneza sayari mpya mfano wa dunia, mars n.k from scratch
View attachment 3332079
kutengeneza sayari mpya from scratch
Anahusikaje na huu uziMuulize mbeba maona mheshimiwa rais daktari profesa SSH
Ahsante kwa kushiriki na mchango wako ni muhimuEti how do they formed
Muombe mheshimiwa rais daktari profesa SSH atutengenezee sayari nyingine isiyo na Musk na Trump na NetanyahuEti how do they formed
Hujui? Si anatenda miujiza na kubeba maonoAnahusikaje na huu uzi
Muombe weweMuombe mheshimiwa rais daktari profesa SSH atutengenezee sayari nyingine isiyo na Musk na Trump na Netanyahu
PoaMuombe wewe
Wakati ndo sasa na sio lazima tufanye tunaweza tengeneza mazingira ila vizazi vijavyo wakaja kutekelezaHiyo ni ndoto kubwa sana mkuu, lakini kufanikisha kutengeneza sayari mpya kutoka mwanzo kunahitaji teknolojia ambayo hata dunia haijafikia bado
Jikite kwenye mada ya msingiHow do they formed is grammatically incorrect.
Tell mods to write something like "how were they formed" or "how do they form"
Mwenyewe sipo sure ila ndugu rais "how do they formed" ina makosa ya wazi....
.
Zimeumbwa na Mungu,muumbaji wa mbingu na nchi.Nikiwa Rais kutakuwa na miradi ya kutengeneza sayari mpya mfano wa dunia, mars n.k from scratch
View attachment 3332079
kutengeneza sayari mpya from scratch
Kwa hiyo ni mganga?Hujui? Si anatenda miujiza na kubeba maono
Ni zaidi. Ni daktari, profesa na mbeba maoni.Kwa hiyo ni mganga?