dunia

  1. R

    Trump ameivuruga dunia nzima na import tarrifs alizoziweka kwa bidhaa zinazoingia USA. Je dunia ikimsusia anaweza ku survive peke yake?

    Suppose, china and his allies and the world in general wakimsusia USA anaweza ku survive peke yake? 1. Industrial products zake ataziuza wapi? 2. Raw materials za viwanda vyake atazipata wapi? 3. etc etc Wataalamu wa uchumi tuelewesheni
  2. Webabu

    Dunia kushuhudia vita vibaya vitakavyoangusha mataifa jeuri. Iran amejirayarisha na haitanii.

    Benjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika. Makamanda wake nao hasa waziri wa Ulinzi wamekuwa wakitoa kauli za kujiamini kiasi kama hicho zinazoenda sambamba na kuvunja maeneo...
  3. Mshana Jr

    Utafiti wa wakati ulioshangaza Dunia

    Mnamo 1972, mwanasayansi wa Ufaransa alijifungia kwenye pango la giza totoro futi 440 chini ya ardhi kwa siku 180. Hakuna mwanga. Hakuna saa. Hakuna mawasiliano ya kibinadamu. Alitaka kufichua siri za akili ya mwanadamu—na matokeo aliyopata yalishangaza mno Michel Siffre alikuwa mwanajiolojia...
  4. Mshana Jr

    Dunia ya maajabu

    Mapango ya chini ya ardhi yakiwa na mamilioni ya makombe ya baharini , hakuna anayejua ni nani aliyeyajenga. Shell Grotto huko Margate, Kent, Uingereza, inasimama kama moja ya siri za kushangaza zaidi katika historia. Iligunduliwa mwaka wa 1835, njia hii ya kupita iliyofichwa imepambwa kwa...
  5. mdukuzi

    TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

    Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s, mzee wake alikuwa Don sana lakini...
  6. Secret Star

    Ukubwa wa dunia ukilinganisha na galaxy yetu

    Ili Dunia ifanane kwa ukubwa na Jua, zaidi ya Dunia milioni moja zitahitajika kuungana ili kufikia saizi kamili ya Jua. Ikiwa umelipunguza Jua kutoka kwenye saizi yake halisi hadi kufikia saizi ya jicho la binadamu, basi ukubwa wa Galaxy yetu, Milky Way, utakuwa sawa na Dunia. Mwanga...
  7. OMOYOGWANE

    Kama hauna roho mbaya sahau kuhusu utajiri

    Hellow wakuu Tunaishi kwenye dunia ya kibepari, daktari anategemea wagonjwa wamlipe ili aishi watu wasipo umwa anakufa njaa, mchungaji anategemea waumini watoe sadaka ili apereke watoto shule nzuri ale na kusaza, mganga anategemea biashara za watu ziyumbe ili waende kwake wamlipe ndio...
  8. Mhaya

    Mdau anahoji "kwanini Vitabu vya dini vimetafsiriwa kila lugha, lakini sio vitabu vya maarifa ya dunia"

    Mdau ahoji imekuwaje watu wamefanikiwa kutafsiri vitabu vya dini kuja kwenye lugha mbalimbali hili kila mtu allowe, lakini vitabu vya maarifa ya dunia kama Vya kijeshi, kiuchumi, kimatibabu, kisayansi na viinginevyo vyenye kumsaidia mwanadamu kuishi na mazingira havijatafsiriwa, yani vimebaki...
  9. Roving Journalist

    Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  10. R

    Utaratibu wa kutoa na kutumia degree za heshima ni huu kwa dunia nzima. Watu wanapenda kuitwa Doctors (Drs) na Professors ( Prof) kinyume na taratibu

    by Prof Shivji Do we have any guideline of this kind in Tanzania? With or without guidelines, what is stated in this press release is well known and respected in most international institutions of higher education. HUU HAPA NDIO UTARATIBU WA DUNIA NZIMA . 1. Awadees msitumie hizo titles before...
  11. The Father of All

    Ingekuwa inawezekana dunia kuumbwa upya, kati ya wanyama na binadamu, nani ungependa atawale dunia baada ya binadamu kuiharibu?

    Japo tunawadharau, wanyama ni viumbe bora kitabia kuliko wanadamu. Hawafanyi uchafu hasa chuki na uroho, roho mbaya, tabia mbaya, fitina, majivuno, kunyonyana, kunyongana, wala kuawana kama binadamu. Nadhani ndiyo maana hawatishwi na hekaya za peponi na motoni. Wanaaminika kuliko binadamu...
  12. Petro E. Mselewa

    Argentina atinga Kombe la Dunia kibabe; awahi Marekani/Canada na Mexico kulitetea

    Mabingwa wa soka wa dunia, timu ya taifa ya Argentina, leo alfajiri imefuzu mashindano ya kombe la dunia ya mwakani kwa kuibamiza Brazil mabao 4-1. Mashindano hayo ya mwakani yatapigwa kwenye nchi tatu za Marekani, Canada na Mexico. Baada ya ushindi wake huo, Argentina amefikisha alama 31...
  13. Jack Daniel

    Kutokukujua Kiingereza kumenifelisha kiasi cha kukosa madili kibao

    Salaam JamiiForums Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza. Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana. Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha lugha yetu,mara tuwe wazalendo. Acheni hizo kama hujawahi kusafiri kwenda nchi yoyote ya ughaibuni...
  14. Right Marker

    Dunia inazunguka, na wewe unazungukwa

    "Dunia inazunguka, na wewe unazungukwa" Muda huu rafiki yako wa shida na raha yupo kumsisitiza mpenzi wako kuwa jambo lao liwe siri wewe usijue. Kwasababu kama wewe utagundua.. ✓ Urafiki wenu utavunjika (wewe na rafiki yako wa shida na raha), ✓ Uhusiano wenu utavunjika (wewe na mpenzi wako wa...
  15. Dalton elijah

    TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Han Jong-Hee Amefariki Dunia

    Mkurugenzi Mtendaji Samsung Electronics Han Jong-Hee aAmefariki kutokana na mshtuko wa moyo siku ya Jumanne,hiini kulingana na msemaji wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Korea Kusini. Han alikuwa na umri wa miaka 63. Alizaliwa mwaka wa 1962, Han alikuwa amesimamia biashara za kampuni hiyo za...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    Dunia ina Mambo, huyu ndo mbwa ghali duniani kuliko Rolls Royce ya Diamond Platinum

    Najua umeshtuka sio achana na ile Rolls Royce ya Diamond platinum toka Tanzania au bughatti ya Davido toka Nigeria 😁 Kuna mbwa ana gharama kubwa kuliko hayo magari. Kuna mbwa mmoja jamii ya Wolf Dog mbwa adimu sana Ulimwenguni kwa jina lingine anaitwa Cadabomb Okami ndo amekua mbwa ghali zaidi...
  17. ELI COHEN

    Aisee hivi katika historia ya dunia kumewahi kutokea na jamii katili kama Wamongoli na Watimuridi?

    Katika moja ya campaign yake huko Afghanistan, Genghis Khan alipewa taarifa kuwa mjukuu wake pendwa ameuliwa akiwa vitani, jamaa alichoamuru ni kuua kile chochote chenye uhai katika jamii hio alipofia. Kuna wakati waliuua watu wakatengeneza pyarmid ya miili yao kwa kutofautisha wanaume, wanawake...
  18. ELI COHEN

    Hivi kwanini Waafrika wengi hatuja evolve katika kutafuta refreshment kirahisi kwa kusoma vitabu, walking therapy, MDT, etc bali ni mitungi na mikasi

    Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu? Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
  19. M

    Mnapowalaumu wachina kufanya biashara Tanzania, msisahau kujilaumu na nyie kwa kuzubaa katika dunia iliyochangamka!

    Watanzania wengi wamezubaa sana,ni waoga hata wa kujaribu,wamejaa roho ya chuki,na ubaguzi,kazi kuwalaumu tu wanaojiongeza! Hivi mnajua watanzania wanaoenda ulaya, Marekani na Asia kila siku wanaenda kufanya kazi gani? Vipi mnaolalamika,mmewahi kusikia watu wa huko wakilalamika kuwa watanzania...
  20. Webabu

    Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel

    Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote. Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika...
Back
Top Bottom