dunia

  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Xi Jinping aitaka Dunia kuchagua amani au vita. Trump asisitiza gwaride la China halimtishi.

    #HABARI Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na chaguo kati ya amani au vita siku ya leo Jumatano Septemba 3, 2025 alipokuwa akifanya gwaride kubwa zaidi la kijeshi nchini mwake, akiwa na Vladimir Putin wa Urusi na Kim Jong Un wa Korea Kaskazini. Wakati viongozi wa nchi za...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waarabu wanavyoihadaa dunia!!!

    Uongo uliopitiliza; Msichana wa Gaza "alipigwa risasi kifuani na majeshi ya Israel madaktari wanaitoa risasi hiyo mgongoni kwa msichana huyo cha ajabu hakuna damu, hakuna jeraha, na ganda la risasi halijakamilika. Kusema kweli waarabu wanachezea sana akili!!! Angalia hiyo video wanajifanya...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Sudan watu zaidi ya 1,000 wafariki dunia kwenye maporomoko ya ardhi. Kijiji chote kilifunikwa

    Wakuu, Maporomoko mabaya ya ardhi katika eneo la Darfur nchini Sudan yamefuta kijiji kizima, yakiua zaidi ya watu 1,000 na kumuacha mtu mmoja pekee hai, kwa mujibu wa Harakati ya Ukombozi wa Sudan/Jeshi (SLM/A). Tukio hilo lilitokea tarehe 31 Agosti baada ya mvua kubwa kunyesha kwa siku kadhaa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sina hela kabisa kodi inasubiri bado watoto wanaumwa, watu wa karibu wamenikimbia

    Habari wanaJF ! Tuendelee kupeana moyo kiukweli ni faraj kwa watu wenye matatizo
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel Aerospace Industries (IAI) Wakiwa kazini kuinufaisha dunia!!

    Sekta ya kwanza ya anga duniani kubadilisha Boeing 777 kutoka ndege ya abiria hadi ndege ya mizigo✈️ Israel Aerospace Industries (IAI) imerekodi mafanikio mengine ambayo hayajawahi kushuhudiwa, kama kampuni ya kwanza duniani kupokea leseni ya STC (leseni ya kubadilisha ndege kwenda kwa mizigo)...
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Gangnam Style: Muziki wa Korea Ulioburudisha Dunia Yote

    Mwaka 2012, dunia ilishuhudia tukio la kipekee katika historia ya muziki wa kimataifa. Wimbo wa “Gangnam Style” ulioimbwa na msanii wa Korea Kusini, PSY, ulivutia hisia na kujenga wimbi kubwa la furaha, kucheka, na kuigiza mtindo ya kipekee wa kucheza ambayo ulipendwa na dunia nzima. Hata bila...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Thomas Tuchel Aitaja Kikosi cha England kitakachowavaa Andora na Serbia kufuzu Kombe la Dunia

    Kocha wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ametangaza kikosi cha wachezaji watakaoshiriki Kombe la Dunia mwezi Septemba. Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wenye nafasi mbalimbali: Goalkeepers: Dean Henderson, Jordan Pickford, James Trafford Defenders: Dan Burn, Marc Guehi, Reece James...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tutarajie Kampeni za CCM kusema awamu iliyopita ilikuwa sio za Samia na CCM

    Kama mjamshtua hadija kopa anaweza kusema muhula alioshika kijiti alikuwa sio yeye kwa sasa kila haadi zitakuwa zake. Maneno makande wakina lucas mwashamba mumetumia nguvu sana
  9. Lattafa

    JamiiForums Tanzania Dunia imejaa Smart People wenye Mashaka na Wapumbavu wenye Confidence.

    Kuna usemi "Dunia imejaa Werevu wenye Mashaka na Wapumbavu wenye kujiamini sana" Uzoefu unaonyesha kwamba watu wenye akili nyingi mara nyingi wana shaka, wakati wasio na maarifa mengi huwa na imani kubwa na uthubutu. Maarufu kama "Dunning-Kruger Effect," ambapo wapumbavu huamini sana bila...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Benki ya dunia yawatukana mamilioni ya watanzania

    Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable pamoja na zile 7000 mnazolipwa kila siku lakini bado benki ya dunia imewatukana na kuwabagaza.
  11. cacutee

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

    Habarini wanajamvi, Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao Uru, Mawela - Moshi. Kesho...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je mamlaka kuu za dunia zinatuficha kuhusu uwepo wa aliens?

  13. Doji MD

    JamiiForums Tanzania TANZIA: MWILAMBA AFARIKI DUNIA

    Mkoa wa Ruvuma umepokea taarifa hii kwamasikitiko sana, Tumepoteza Moja ya Jembe kubwa sana ndani Ya mkoa Apumzike kwa Amani. https://youtu.be/g7nAxHOCc2s?si=bymxm0bROefqmWrZ
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakati Dunia inamuomboleza Jaji Frank Caprio kutokana na hekima na busara zake za kipekee, Tanzania tunaomboleza kifo cha Mahakama

    Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea. Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Dunia au Taifa Inatawaliwa na Nani? Ufunuo wa Deep State

    Dunia au Taifa Inatawaliwa na Nani? Deep State Je, Wanaojua Kila Kitu na Wenye Uwezo Mkubwa Kabisa Duniani Wanafanya Kazi Kwa Siri? Tunapokua, tunafundishwa kuwa viongozi wa kitaifa kama Marais na Waziri Mkuu ndio wenye mamlaka makubwa. Lakini je, hii ni ukweli wote? Imekuwa na misimamo...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mayahudi wazomewa kila pembe ya dunia

    Waongoza ndege wa uwanja wa ndege wa Charles de Gaule wa Paris kuwaambia marubani wa ndege ya Israel 'Free Palestine" akimuaga baada ya kumsafishia njia ya kuondoka. Kauli hiyo ya muongoza ndege ilifuatia baada ya ofisi za ndege za shirika hilo huko Paris kusiribwa na masizi na maandishi ya...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila wanangu hii JF ina mambo hata kama kuna watu wanatuangaliaga kama series huwa wanacheka sana na kutamani season mpya

    Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata mimba, mara paaap jirani kapata mimba na mtoto hataki kutoa🤣🤣🤣 Ila sisi waafrika🚮🚮
Back
Top Bottom