Hii ndio Tanzania bwana: Jamaa alifunga duka na kuzima simu kisa kwenda kuangalia mechi ya Simba

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Oct 27, 2019
1,876
5,443
Peace be upon ya'all,

Niko mkoa X kwa wiki 3 kwa ajili za shughuli fulani, sasa katika mkoa huu kuna jamaa tulisoma pamoja kitambo na mwaka 2020 kama bahati nilifanikiwa kukutana nae nilipokuja mkoa huu. Kwakua nilikua na haraka tukabadilishana namba.

Next day shedule yangu ilikua tight nikampigia akanielekeza dukani maana nisingepata muda wa kwenda home kwake basi akanielekeza dukani kwake nikafika salam na utani mfupi nikasepa.

Jamaa nimcheshi na mchangamfu kiaina na kumbe pia kuna group la whatsap la wahitimu wa mwaka wetu akaniunganisha na wenzetu ok hyo ni 2020. Sijakua nawasiliana nae kwa mda mrefu ila namba yake ninayo.

Sasa mwaka huu mwezi huu nimetua mkoa huu japo niko na timetable tight sana, ila nikabana bana muda nikampigia simu haipatikani ooh, ooh !! nikashtuka maana sijawasiliana nae kwa muda mrefu, nikadhamiria nipate upenyo nikamtazame dukani kwake kama bado hajahama.

Kufika nilipata msituko MKUBWA ZAIDI ya ule wa kutopatikana, nilikuta duka limefungwa heeee !! Heee !! Nini kimempata msela wetu, (kwenye group nilishaona wanamtania kuhusu biashara fulani hatari na kinyume kabisa na sheria, ghafla nikawaza mengi) haraka nikaelekea duka la jirani pale kuulizia kuhusu jama.

Nikamkuta ustadhi anatafunatafuna (nadhani mirungi au nini atajijua) bila hata salamu nikamtupia mnyororo wa maswali, samahani Fulani yuko wapi ? Kahama hapa au ? Nini kimempata simpati kwenye simu ? Na naoka kama dukani hapa hayupo tena ?

Ustadhi akanitazama kwa madoido huku anamalizia kutafuna alafu ajajibu "keenda tizama gemuu" kwa sauti ya kizanzibar akanijibu. Kuuliza ati kulikua na mechi ya Simba na timu gani sijui.

Nikaondoka zangu ila waTanzania ni wajinga sana sana. Yani mtu anafunga duka na simu anazima eti kisa kuangalia mechi ya Simba ?!

Mtu yeyote mwenye huu ujinga wa Simba na Yanga syndrome hua najiepusha nao. Imagine eti kuna lijinga Yanga ilifungwa eti likafa yani kufa kabisa maiti kufa qmmamae kuna watu wanaendekeza ujinga mpaka haitafakariki.

Yani Yanga ifungwe huko wewe huko Nyabulogoya ufe hata hawakujui wao wanaingiza kipato majinga mengine mengi tu eti timu ikifungwa anakua mgonjwa hata kula hali, imagine huyu ni muajiriwa hata majukumu yake wiki nzima atatimiza kweli ?!!

Hata viongozi walishajua upuuzi wa vijana wa taifa hili, kukiwa na boko lolote serikalini utasikia rais kanunua ticket 500 za watu kwenda kuangalia mpira, basi vijana wote simulizi ni rais kanunua ticket, rais kalipia bla bla bla, sais hee rais hooo, sais meeee

Na hawa sio mahohe hahe tu, hata watu wa taaluma mbalimbali madktari, walimu, wanasheria, wahasibu nk. Yani asubuhi wakiriport kazini itapita masaa mawili wanajadili mechi za jana.

Tanzania na Watanzania
 
Shida iko kwako kuzunguka zunguka kwa watu bila taarifa ndio na kuhusu kufunga kisa game kuna tatizo kwani simba wanachez kila siku na pia ndugu mwandishi huyo jamaa ako aliwahi kukuomba hela ya kula? pamoja na kwamb ana biashara yake .....kaa kwa kutulia ulipo pia acha papara kama unaandika uzi wako tuliza akili mkuu yangu ni hayo tu......
 
Peace be upon ya'all,

Niko mkoa X kwa wiki 3 kwa ajili za shughuli fulani, sasa katika mkoa huu kuna jamaa tulisoma pamoja kitambo na mwaka 2020 kama bahati nilifanikiwa kukutana nae nilipokuja mkoa huu. Kwakua nilikua na haraka tukabadilishana namba.

Next day shedule yangu ilikua tight nikampigia akanielekeza dukani maana nisingepata muda wa kwenda home kwake basi akanielekeza dukani kwake nikafika salam na utani mfupi nikasepa.

Jamaa nimcheshi na mchangamfu kiaina na kumbe pia kuna group la whatsap la wahitimu wa mwaka wetu akaniunganisha na wenzetu ok hyo ni 2020. Sijakua nawasiliana nae kwa mda mrefu ila namba yake ninayo.

Sasa mwaka huu mwezi huu nimetua mkoa huu japo niko na timetable tight sana, ila nikabana bana muda nikampigia simu haipatikani ooh, ooh !! nikashtuka maana sijawasiliana nae kwa muda mrefu, nikadhamiria nipate upenyo nikamtazame dukani kwake kama bado hajahama.

Kufika nilipata msituko MKUBWA ZAIDI ya ule wa kutopatikana, nilikuta duka limefungwa heeee !! Heee !! Nini kimempata msela wetu, (kwenye group nilishaona wanamtania kuhusu biashara fulani hatari na kinyume kabisa na sheria, ghafla nikawaza mengi) haraka nikaelekea duka la jirani pale kuulizia kuhusu jama.

Nikamkuta ustadhi anatafunatafuna (nadhani mirungi au nini atajijua) bila hata salamu nikamtupia mnyororo wa maswali, samahani Fulani yuko wapi ? Kahama hapa au ? Nini kimempata simpati kwenye simu ? Na naoka kama dukani hapa hayupo tena ?

Ustadhi akanitazama kwa madoido huku anamalizia kutafuna alafu ajajibu "keenda tizama gemuu" kwa sauti ya kizanzibar akanijibu. Kuuliza ati kulikua na mechi ya Simba na timu gani sijui.

Nikaondoka zangu ila waTanzania ni wajinga sana sana. Yani mtu anafunga duka na simu anazima eti kisa kuangalia mechi ya Simba ?!

Mtu yeyote mwenye huu ujinga wa Simba na Yanga syndrome hua najiepusha nao. Imagine eti kuna lijinga Yanga ilifungwa eti likafa yani kufa kabisa maiti kufa qmmamae kuna watu wanaendekeza ujinga mpaka haitafakariki.

Yani Yanga ifungwe huko wewe huko Nyabulogoya ufe hata hawakujui wao wanaingiza kipato majinga mengine mengi tu eti timu ikifungwa anakua mgonjwa hata kula hali, imagine huyu ni muajiriwa hata majukumu yake wiki nzima atatimiza kweli ?!!

Hata viongozi walishajua upuuzi wa vijana wa taifa hili, kukiwa na boko lolote serikalini utasikia rais kanunua ticket 500 za watu kwenda kuangalia mpira, basi vijana wote simulizi ni rais kanunua ticket, rais kalipia bla bla bla, sais hee rais hooo, sais meeee

Na hawa sio mahohe hahe tu, hata watu wa taaluma mbalimbali madktari, walimu, wanasheria, wahasibu nk. Yani asubuhi wakiriport kazini itapita masaa mawili wanajadili mechi za jana.

Tanzania na Watanzania
Title na uzi wako vinamhusi zaidi huyo rafiki yako na Simba yake. Kinachonishangaza ndani ya uzi wako umeitaja zaidi Yanga kuliko Simba
 
Kujimaliza kwenye vitu venye viko na SUBJECTIVE APPROACH ni kama kaulimbukeni fulani hivi...
Hako ka-santensi "mnapoteza muda wakati hamlipwi" kanatumiwa sana na watu halafu hawajiulizi kwamba kuna starehe ipi utakayofanya dunia hii halafu huwaingizii wenzio hela??? 😂😂😂
Kama we waingiza hela kila nukta ya maisha yako, basi hongera!
 
Ukifuatilia mambo ya watu lazima yakuumize kichwa,fanya yako yanayo kuhusu
 
Kuwa extremelly shabiki wa timu ni ulevi fulani wa kijinga. Why ufunge duka kisa yanga na simba? Ukute hilo shabiki halina hata kadi ya uanchama wa klabu hizo, shwaini, ujinga mtupu
 
Haya ni mojawapo ya mambo mengi ya hovyo yanaendeleza ufukara katika taifa hili.
 
Peace be upon ya'all,

Niko mkoa X kwa wiki 3 kwa ajili za shughuli fulani, sasa katika mkoa huu kuna jamaa tulisoma pamoja kitambo na mwaka 2020 kama bahati nilifanikiwa kukutana nae nilipokuja mkoa huu. Kwakua nilikua na haraka tukabadilishana namba.

Next day shedule yangu ilikua tight nikampigia akanielekeza dukani maana nisingepata muda wa kwenda home kwake basi akanielekeza dukani kwake nikafika salam na utani mfupi nikasepa.

Jamaa nimcheshi na mchangamfu kiaina na kumbe pia kuna group la whatsap la wahitimu wa mwaka wetu akaniunganisha na wenzetu ok hyo ni 2020. Sijakua nawasiliana nae kwa mda mrefu ila namba yake ninayo.

Sasa mwaka huu mwezi huu nimetua mkoa huu japo niko na timetable tight sana, ila nikabana bana muda nikampigia simu haipatikani ooh, ooh !! nikashtuka maana sijawasiliana nae kwa muda mrefu, nikadhamiria nipate upenyo nikamtazame dukani kwake kama bado hajahama.

Kufika nilipata msituko MKUBWA ZAIDI ya ule wa kutopatikana, nilikuta duka limefungwa heeee !! Heee !! Nini kimempata msela wetu, (kwenye group nilishaona wanamtania kuhusu biashara fulani hatari na kinyume kabisa na sheria, ghafla nikawaza mengi) haraka nikaelekea duka la jirani pale kuulizia kuhusu jama.

Nikamkuta ustadhi anatafunatafuna (nadhani mirungi au nini atajijua) bila hata salamu nikamtupia mnyororo wa maswali, samahani Fulani yuko wapi ? Kahama hapa au ? Nini kimempata simpati kwenye simu ? Na naoka kama dukani hapa hayupo tena ?

Ustadhi akanitazama kwa madoido huku anamalizia kutafuna alafu ajajibu "keenda tizama gemuu" kwa sauti ya kizanzibar akanijibu. Kuuliza ati kulikua na mechi ya Simba na timu gani sijui.

Nikaondoka zangu ila waTanzania ni wajinga sana sana. Yani mtu anafunga duka na simu anazima eti kisa kuangalia mechi ya Simba ?!

Mtu yeyote mwenye huu ujinga wa Simba na Yanga syndrome hua najiepusha nao. Imagine eti kuna lijinga Yanga ilifungwa eti likafa yani kufa kabisa maiti kufa qmmamae kuna watu wanaendekeza ujinga mpaka haitafakariki.

Yani Yanga ifungwe huko wewe huko Nyabulogoya ufe hata hawakujui wao wanaingiza kipato majinga mengine mengi tu eti timu ikifungwa anakua mgonjwa hata kula hali, imagine huyu ni muajiriwa hata majukumu yake wiki nzima atatimiza kweli ?!!

Hata viongozi walishajua upuuzi wa vijana wa taifa hili, kukiwa na boko lolote serikalini utasikia rais kanunua ticket 500 za watu kwenda kuangalia mpira, basi vijana wote simulizi ni rais kanunua ticket, rais kalipia bla bla bla, sais hee rais hooo, sais meeee

Na hawa sio mahohe hahe tu, hata watu wa taaluma mbalimbali madktari, walimu, wanasheria, wahasibu nk. Yani asubuhi wakiriport kazini itapita masaa mawili wanajadili mechi za jana.

Tanzania na Watanzania
Siku ya mechi ya Simba na wydad niliwafuata bodaboda wanisogeze road Kila anayeitwa kajikausha hataki kutoka Banda umiza nikaamua nirudi zangu ofisini tu kutulia yaani bodaboda anaacha pesa kisa Mpira kweli😀😀😀
 
Hata mimi huwa nazima kabisa simu..sitaki usumbufu wakati huo..yote kwa yote kila mtu na uraibu wake..
 
Back
Top Bottom