Nauza duka langu la vifaa cha ujenzi

director Zion

Member
Jan 2, 2017
67
30
Habari wakuu,

Nauza duka langu la vifaa vya ujenzi lililopo kibamba Dar es salaam maeneo ya Kibwegere duka linathamn ya m8. ( Milioni nane)

Mawasiliano yangu ni 0656052164.

IMG_20230705_175428_675.jpg

Mkuu ingekuwa vizuri ukaainisha mambo muhimu kwa mfano:

Idadi ya bidhaa zilizopo

Aina ya bidhaa

Je jengo nalo unaliuza au umepanga, kama umepanga je kodi yake ni kiasi gani

Madeni ya TRA n.k
 
Ni ngumu kukuambia idadi ya bidhaa mkuu mana bidhaa ni nyingi kwa wenyeuzoefu wa biashara ya maduka wanaelewa...ndomana nimeweka namba kwa mwenye kua na interested anitafute

But nilipo kodi nalipa 60,000 na sidaiwi chochote....
 
Ugumu wake ni upi? Lazima uwe na inventory. Vitu gani, vipo vingapi na thamani ya kila kitu.
Hilo ni Jambo basic sana, una simu janja nenda google sheets, hutatumia masaa matatu.
Acha uzembe.
 
Kama unalitaka si uende ukacheki.

Mi silitaki ila nilichofanya nimepost kwenye group za WhatsApp kama support.

Naamini kwenye group zangu za WhatsApp atatokea tu mteja.

#YNWA
 
Acha kuendekeza uzembe. Mpe moyo atauza duka lake hata jioni haifiki.
Kwanini asihesabu mali na kuorodhesha?
Wengine hawaishi Tanzania, wanataka wapate picha tu halisi ya duka hilo kwa sababu inaeleza vitu vingi.
 
Ahsnante sana kwa uwelewa wako na support yangu MUNGU akutunze
Acha kuendekeza uzembe. Mpe moyo atauza duka lake hata jioni haifiki.
Kwanini asihesabu mali na kuorodhesha?
Wengine hawaishi Tanzania, wanataka wapate picha tu halisi ya duka hilo kwa sababu inaeleza vitu vingi.
Mkuu picha ya duka nimeweka hapo pamoja na thamani yake hivyo mteja tutaesabiana naye tena kwa sababu duka sijafunga unaendelea kuliuza ila vitu ndo sinunui so thamn ya duka ya awali inapungua kwasababu naendelea kuuza kama kawaida
 
Back
Top Bottom