Extrovert24
Senior Member
- Jun 23, 2022
- 107
- 124
Habari wakuu,
Matumaini yangu mko vizuri na wenye shida Mwenyezimungu awasaidie, Niende moja kwa moja kwenye maada.
Wakuu naomba kuuliza kuhusiana na duka la Dawa za asili au kama ilivyozoeleka Dawa za kisunna, utaratibu katika kufungua duka la namna hii,
Mtaji uanzie kiasi gani Kwa minimum
Sehemu ya kuchukulia mzigo safi
Dawa zipi za kuanza nazo ambazo ni common na zinatoka kwa urahisi
Na je faida yake waweza kuishi nayo vema/yani kwa mfano bila kutegemea source nyingine ya kipato??
Naomba Kuwasiliaha