Candela JF-Expert Member Aug 12, 2021 628 1,644 Oct 5, 2023 #1 Wakuu nikitaka kufungua duka Zenji na mie naishi Bara kuna utaratibu wa kufuata au naweza tu jichanganya nao nikafungua nikaendela na business. Nataka kuweka branch Zanzibar lakini nature ya biashara yangu ni duka kubwa kama shopping center hivi.
Wakuu nikitaka kufungua duka Zenji na mie naishi Bara kuna utaratibu wa kufuata au naweza tu jichanganya nao nikafungua nikaendela na business. Nataka kuweka branch Zanzibar lakini nature ya biashara yangu ni duka kubwa kama shopping center hivi.