dua

  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania ''Uhuru wa Tanganyika Umepatikana Kwa Dua'' Sheikh Iddi Chaurembo Maulid ya Mfungo Sita Msikiti wa Mtoro Mwinyi Mangara

    https://youtu.be/xqip_zI7S04?si=6fp94bVbh-y6kq1_ DUA SHAMBANI KWA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAUREMBO 1956 Dua hii iliongozwa na Sheikh Suleiman Takadir aliekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU. Waliokaa chini kutoka kulia: 1 Sheikh Hussen Mbegu 2... 3 Ania S. Chaurembo 4. Mohd I. Chaurembo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Watunzeni Wazazi na Kuwaombea Dua, pia waombeeni ambao hawapo hai

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameiasa jamii kuwa na utaratibu wa kuwatunza na kuwajali wazazi wao na kuendelea kuwaombea ambao hawapo hai. “ Tuendelee kuwakumbuka na kuwaombea ndugu na wazazi waliotangulia mbele za haki ni jambo zuri na wajibu wetu tuliobaki...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sio Soka tu, hata msigwa tumombee dua

    juu ya yote, tumuombee dua Msigwa. hayupo vizuri ameunja record record za dunia. haiziwekani kakaa na Mbowe miaka 20, ghafla dakika 1 imekuwa adui. Hakuna mtu duniani sample hio hakuna .tangu ianze siasa za vyama vingi hii haijawahi kutokea, ndio kwanza tunaona. labda tusema mmoja akiingilia...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke kwenye sala na dua wafuatao.

    1. Wanandoa wenye miaka kadhaa wakihangaika kupata watoto. 2. Wanaoelekea kufilisika kwa kujigharamia au kugharamia matibabu ya wapendwa wao. 3. Wanawake wajawazito wajifungue salama. 4. Walionasa kwenye madeni. 5. Wanaofanya kazi kwa wahindi. 6. Wanaopambana kujitoa kwenye aina mbalimbali...
  5. Kiby

    JamiiForums Tanzania Maombi na dua yangu kwa taifa la Tanzania kwa yale yanayoendelea

    Basi sasa, Ee Mungu wetu, yasikilize maombi ya mtumishi wako, na dua zake, ukaangazishe uso wako juu ya patakatifu pako palipo ukiwa, kwa ajili ya Bwana. Ee Mungu wangu, tega sikio lako, ukasikie; fumbua macho yako ukautazame ukiwa wetu, na nchi ile ulioitwa kwa jina lako; maana hatukutolei...
  6. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Yanga ihusishe Dini mbalimbali kwenye Dua yao ya Ijumaa

    Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu. Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani mbalimbali, basi tukio hili liheshimu imani zao kwa kuwa na uwakilishi wa viongozi wa imani mbalimbali...
  7. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Dua zenu wakuu mwenzenu nishalogwa huku sio bure wallah ila Tanga duh!

    Habari ndugu zangu Kama mnavo ona
  8. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Dua yenye nuru, itikia amiin

    👉ALLAH Akujalie Kheri Katika Dunia na Akhera 👉ALLAH Akuifadhi Katika Kila Hatua 👉 ALLAH Akusitiri Katika Aibu Zako 👉 ALLÀH Akupe Wepesi Katika Maisha Ya Dunia 👉 ALLAH Akurudhuku Moyo wa Ukarimu 👉ALLAH Akupe Marafiki wenye Kheri na Wewe 👉 ALLAH Akuepushe na Shari na Kila Aina ya Shari 👉 ALLAH...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Dua ya Kura Tatu Mnyanyani Dua ya Mwisho Iliyoleta Uhuru wa Tanganyika

    Jumla ya dua ambazo TANU ilisoma kuomba msaada wa Allah ni tano. Kila dua ilikuwa na sababu na chanzo chake. Dua nne zilikuwa kuwaombea watu makhsusi wasiangamizwe na njama na hila za Waingereza: Dua ya Ali Rashid Meli, Dua ya Abdulwahid Kleist Sykes na Dua mbili za kumuombea Julius Kambarage...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Dua ya Kura Tatu Mnyanjani Tanga 1958

    Historia ya uhuru wa Tanganyika imetawaliwa na dua zilizokuwa zikifanywa kuomba salama na ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mtu wa kwanza kulieleza hili alikuwa Mwalimu Nyerere Ukumbi wa Diamond alipokuwa anaagana na Wazee wa Dar es Salaam mwaka wa 1985. Katika utafiti wangu nimekuta kuwa dua...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu

    Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili. 📅 7 Aprili, 2024. 📍 Ikulu Zanzibar.
  12. Maleven

    JamiiForums Tanzania Dua ya kuku haimpati mwewe ila naombea mabaya Mamelodi

    Eeh Mungu ikikupendeza, Mamelodi awe wamwisho, awe namba nne. Afungwe mechi zote. Amen
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wana Ludewa Washiriki Dua ya Kumuombea Rais Samia, DC Aandaa Futari ya Pamoja

    WANA LUDEWA WASHIRIKI DUA YA KUMUOMBEA RAIS SAMIA,DC AANDAA FUTARI YA PAMOJA Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva,ameungana na wananchi wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe katika Dua Maalumu ya Kumuombea Kheri na Baraka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Kavamia Futari kaambiwa asome Dua

  15. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kama unamini Mungu huwa anasikiliza na kujibu dua nzuri tu basi amini dua mbaya ya kuombea Simba ifungwe leo haitosikilizwa

    Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi. Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi. Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga elekezeni dua zenu kwenye mechi za Medeama

    Wengi mmejikuta mnaangalia hatma ya Yanga kwa kuangalia tu mechi mbili za Yanga dhidi ya CRB na ile ya mwisho dhidi ya Al Ahly. Hakuna ambaye amewaza ni jinsi gani Medeama anaweza kuwa msaada mkubwa kwa Yanga. Ukweli ni kuwa Yanga ni ngumu sana kuvuka kwa kucheza mechi zake pekee maana kama...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mufti afungua rasmi dua kubwa ya kimataifa

    Hatimaye siku adhimu na tukio muhimu, nyeti na lenye kupendeza kwa Allah na mtume wake, Muda wa kuanza dua kubwa umewadia. Samaha Mufti wa Tanzania, Mujaddidul Asri, amefungua Dua Kubwa ya Kimataifa leo Alhamisi Alfajiri kwenye msikiti mkuu Bakwata makao makuu, msikiti wa Mfalme Mohammed...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ukijamba kwa bahati mbaya au kwa kulazimika uwapo Kanisani au Msikitini Dua yako inapokelewa na aliyeketi Juu Mbinguni?

    Najiandaa kusoma Comments zenu.
  19. Execute

    JamiiForums Tanzania Scars haaamini kwenye uwepo wa Mungu lakini anaomba dua na kufanya maombi

    Huyu jamaa ni mtu wa dua na maombi lakini anasema hakuna Mungu. Ninaamini alipitia changamoto za kimaisha hadi akamchukia Mungu lakini deep down anafahamu uwepo wake. Scars
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wasiamrishe waumini kuombea Wanasiasa. Ifahamike wanasiasa hawahitaji Dua

    Wakati shujaa wa Tanganyika, Chuma Cha Mjerumani akiwa Hoi Bin Taaban[POMBE] 2015-21 watanganyika waliohoji walitishiwa kufunguliwa kesi, kipindi kilikuwa zama za giza, watu waliogpa hata watsup calls. Walihoji na wengine walisema pace maker imekata moto, walijitokeza akina Waziri namba moja na...
Back
Top Bottom