dstv

  1. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Je, nani anaweza kumzidi mwenzake soko kati ya Azam na DStv endapo hili likifanyika?

    Wadau nimejaribu kuwaza endapo haya makampuni mawili yakafanya kile ambacho kila mmoja anafanya. Je, nani atafungasha virago? Nani atapoteza pambano? Najiuliza endapo Azam ataonesha UEFA, EPL na Europa ligue Ama DSTV akionyesha Ligi ya bongo (VPL) Nani atakimbia?
  2. chrisbleez

    JamiiForums Tanzania Dishi la DSTV linahitajika haraka

    Habari zenu! Natafuta dishi la DSTV ninauhitaji nalo kwa haraka sana mwenye nalo tuchekiane bei ni maelewano tu. 0655 780 270 Locations DSM
  3. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia King'amuzi cha DSTV ya Afrika Kusini nchini Tanzania?

    Habari wakuu, Naomba tu kuuliza kama inawezekana nikatumia king'amuzi cha DSTV cha Afrika ya kusini nchini Tanzania. Nimeona nchi kama Zimbabwe na Malawi wanatumia sasa sijajua huko nyumbani iko vipi?
  4. Madish Installers

    JamiiForums Tanzania Kwanini dish (king'amuzi) chako kinasumbua signal mara kwa mara!?

    1.Ufungwaji wa Dish - Uimara wa sehemu ilipofungwa - Fundi amefungaje je kama huyu - Fundi alitumia signal finder? (kifaa cha kutafuta signal) - kwenye dish (lnb) tundu inayofungwa cable inayopeleka signal kwenye king'amuzi imefunikwa ili maji yasiingie n.k? 2.Cable kama imeungwa (ilikuwa...
  5. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania FIFI wa tamthilia ya NYAVU dstv , ni kuku wa kienyeji na utamu wake

    Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu
  6. pharao

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 'DSTV Now' nikiwa Ulaya?

    Habari Ndugu nina Shida, Najaribu kutumia DSTV NOW ila inaniambia this Item is not available in your Region. Nimejaribu kutumia VPN ya Tanzania bila mafanikio. Nitumie njia gani ili niweze kuwa natazama DSTV now nikiwa Ughaibuni?. Asante.
  7. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo?

    Yoyote anayefahamu Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo anifahamishe..
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Dstv mjipange!kwanini Msirushe live bundesliga hapo kesho??

    Bado mnatukera wateja wenu!hasa katika kipindi ambacho ligi zimesimama lakini wateja tumelipia bill kama kawaida huku tukiangalia vipindi vinavyo boa hata kutazama na watoto havina burudani yoyote!kwanini msitujali wateja kwa kurusha bundesliga live???Tuliolipia decorder kipindi hiki cha corona...
  9. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Kilio changu kwa DSTV Tanzania

    Mnajua fika nyie ni kampuni pendwa lakini mmekalia ukoloni na unyonyaji kwa Watanzania. Hivi kinachowafanya msiweke local chanels zote za Tanzania ni nini? Kama ITV, CLOUDS, STAR TV n.k mbona hazipo? Nimejaribu kuweka na redio za tanzania tena Nikiwa nimelipia dstv compact Hakuna Redio station...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam & DStv punguzeni kidogo vifurushi vyenu kipindi hiki Cha CORONA.

    Wateja wenu wanapitia hali nguvu kiafya na kiuchumi, hebu punguzeni kidogo bei za vifurushi Kama sehemu ya kuungana na wateja wenu kwenye hili. Hii ni pamoja na makampuni ya simu za mikononi kwakuwa wateja wenu inawabiti kufanyakazi wakiwa majumbani kupitia simu au Internet. Msijifanye Kama...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kwanini Dstv wamejaza matangazo kwenye channels zote wakati tunalipia vifurushi?

    Huwa najiuliza sana, ni kwa nini DStv wanajaza sana matangazo kwenye channels zake zote, wakati kila mwezi tunalipia vifurushi vyao? \ Au tunalipia ili tuangalie matangazo?
  12. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa DStv wekeni na habari za URUSI kupitia TV yao ya kiingereza ya RT yaani Russia Today

    Kuna tatizo lolote kati ya RT na DSTV? Kama hakuna tatizo naomba mimi Kama mteja mtuwekee na vipindi kutoka Urusi, sisi wengine ni wapenzi wa habari za kimataifa, pia hupenda kufanya ulinganifu wa taarifa. Kwa bahati nzuri DStv mnarusha habari za dunia kupitia CNN,BBC,DW,FRANCE, na TV nyingine...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Samatta wa sasa ni fursa kwa DStv

    DStv inaonyesha ligi ya England, EPL. Samatta kuchezea EPL kutaongeza watanzania ambao wataangalia EPL kwaajili ya kumuona kijana wao Samatat. Hii itaongeza wadau wa DStv, hivyo huu ni muda wa DStv kuangalia upya bei za vifurushi vyake ili watu wengi zaidi hata vijijini wamudu kulipia na...
  14. Kabelwa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushare DStv kwenye simu

    Habari wadau, mwenye kufahamu namna ya kushare dish la DStv kwenda kwenye simu naomba maelekezo, asante.
  15. Mwenda pole hajikwai

    JamiiForums Tanzania Nauza kingamuzi cha dstv

    Kipo DSM Kina HDMI Tsh 50000 0693179844
  16. CHEF

    JamiiForums Tanzania Sera za kibiashara za DStv na media zingine zinakera

    Kwa ukweli kuna sera zingine za kibiashara zinakera sana, mfano DStv unakuta wanataka malipo ya kifurushi cha mwezi wakati unakuta kwa mwezi mtu anapata muda wa kuangalia TV mara mbili au tatu. Sasa kwanini kusiwe na kifurushi cha siku, wiki na mwezi kulingana na mtumiaji atahitaji kifurushi...
  17. Sibonike

    JamiiForums Tanzania Tatizo visimbuzi Azam na DStv

    Toka jana mchana visimbuzi au visimbusi? vya Azam na DStv vimegoma. Message ni ya aina moja. Smart Card haijakaa vizuri. Sijui kama kuna wengine wamepata tatizo hili na ufumbuzi wake umekuwaje.
  18. Nedago

    JamiiForums Tanzania Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

    Habari wakuu?,I hope you do good. Diamond platnumz leo wakati wa kutambulisha watangazaji wapya wa vipindi vya michezo pale Wasafi HQs. Mbele ya wageni waalikwa na mgeni rasmi waziri wa michezo Mh, Dkt.Mwakyembe. Ametangaza kuwa ndani siku chache zijazo yaani 3, Wasafi TV itakuwa inaonekana...
  19. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Kisembuzi cha DStv used full set

    Niko Mbeya Imetumika mwezi mmoja tu,ipo katika hali nzuri sana bado ina upya wake,ichukue kwa Tsh. 85,000 tu ,maelewano yapo nicheki kwa 0767142928 Utapata dstv decoder,remote yake,dish lake,waya wa dish kwenda kwenye decoder,hdmi cable,nuts na bolts
  20. lembu

    JamiiForums Tanzania DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019

    Kwa Wasomaji wa Kiswahili DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019 Bei mpya za vifurushi vya DTSV vitakuwa ni: Jina la Kifurushi Idadi ya Chaneli Bei ya Zamani Bei Mpya Bomba 45+ 19,000 19,000 Family 57+ 39,000 29,000 Compact 90+ 69,000 44,000 Compact...
Back
Top Bottom