Dstv mjipange!kwanini Msirushe live bundesliga hapo kesho??

THE BREED

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
1,505
2,000
Bado mnatukera wateja wenu!hasa katika kipindi ambacho ligi zimesimama lakini wateja tumelipia bill kama kawaida huku tukiangalia vipindi vinavyo boa hata kutazama na watoto havina burudani yoyote!kwanini msitujali wateja kwa kurusha bundesliga live???Tuliolipia decorder kipindi hiki cha corona tumepata hasara tu kwa kuangalia wahindi na series ambazo hazieleweki!!!
Acheni unyonyaji tupeni live matches za bundesliga kuliko kumiliki chanel za michezo halafu hamna kitu!ya chanel ya ss200 hadi ss214 zote miereka tu yaani hovyo kabisa!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom