Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

Nedago

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
908
1,348
Habari wakuu?,I hope you do good.

Diamond platnumz leo wakati wa kutambulisha watangazaji wapya wa vipindi vya michezo pale Wasafi HQs.
Mbele ya wageni waalikwa na mgeni rasmi waziri wa michezo Mh, Dkt.Mwakyembe.

Ametangaza kuwa ndani siku chache zijazo yaani 3, Wasafi TV itakuwa inaonekana Africa nzima na sio Tanzania tu au hapa East Africa tu, hii itakuwa ndiyo the first entertainment media from East African region to broadcast across all african countries,
Tofauti na nyingine ambazo zina cover Tanzania au East Africa tu.

Hadi hapa Diamond atakuwa kaleta mapinduzi makubwa hapa Tanzania na East Africa kwa ujumla katika Entertainment Media Industry.

Hongera kwake na ndicho tulichokuwa tunataka, challenge ni muhimu katika ukuaji wa tasnia ya habari naamini na wengine watafuata, ili hata Mtanzania ukiwa Ghana uweze kucheki media za Bongo bila wasi wasi.
 
hiv yule anayesemekana ni director wa WCB kule wikipedia nani anamfaham kwa undani? huyu jamaa inawezekana ndo anampa jeuri ya mapene mond
Director wa wasafi media mimi najua ni diamond,huyo mwingine simjui ila najua kuna wamiliki wenza wawili 53% na 2%.
 
Habari wakuu?,I hope you do good.

Diamond platnumz leo wakati wa kutambulisha watangazaji wapya wa vipindi vya michezo pale wasafi HQs.
Mbele ya wageni waalikwa na mgeni rasmi waziri wa michezo mh,dkt.mwakyembe.

Ametangaza kuwa ndani siku chache zijazo yaani 3,wasafi TV itakuwa Inaonekana africa nzima na sio tz tu au hapa EA tu,hii itakuwa ndio the first entertainment media from EA region to broadcast across all african countries,
Tofauti na nyingine ambazo zina cover tz au EA tu.

Hadi hapa diamond atakuwa kaleta mapinduzi makubwa hapa Tanzania na EA kwa ujumla katika entertainment media industry.

Hongera kwake na ndicho tulichokuwa tunataka,challenge ni muhimu katika ukuaji wa tasnia ya habari naamini na wengine watafuata,ili hata mbongo ukiwa ghana uweze kucheki media za bongo bila wasi wasi.
Mbona mnakuwa na sifa za uongo DSTv kuna Clouds Plus inaonyeshwa DSTv kwa zaidi ya miezi miwili sasa,pia kuna Safari Channel ya TBC au unadhani Entertainment ni muziki na mpira tu.
 
He is genius and always he will remain with his title and for sure he is(best Tanzania musician ever&forever)
 
Mbona mnakuwa na sifa za uongo DSTv kuna Clouds Plus inaonyeshwa DSTv kwa zaidi ya miezi miwili sasa,pia kuna Safari Channel ya TBC au unadhani Entertainment ni muziki na mpira tu.
Unaweza ukazitaja TCRA registered entertainment media kubwa za Tanzania?
Ukitaja tbc,startv na kina itv utakuwa ni kopo tu wewe,
Pia hiyo clouds + ni hapaTz au EA tu,check acha kulopoka na amesema entertainment media sio hizo za habari kama tbc na itv hizo uenda zinaonekana kama alivyojieleza.
 
Back
Top Bottom