dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Aziz Ki anataka Dola laki tano kubaki Yanga

    Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5. Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
  2. JamiiForums Tanzania Toka tupate uhuru zonge la kijinai linaloitesa mamlaka ni kushambuliwa kwa lisu. Dola ijisafishe kabla ya upinzani kushika nchi.

    Mods huu uzi msiufute plz wala ku u merge. Shambulio la lisu ni teso kwa kwa dola. Wenye hekima litanzueni kwa akili kumbukeni muda hautasamehe hili jambo mpaka majibu yapatikane.
  3. JamiiForums Tanzania Samia atikisa dunia akiwa Paris, akusanya zaidi ya dola bilioni mbili kwa ajili ya nishati salama

    Hii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama. Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani akitokea Afrika, ni lulu, ni almasi, ni mwamba kutoka Tanzania. Mitano tena!? ahahaha, na hapa ipoo.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha na BoT tuambie kwanini dola zimeruhusiwa kuuzwa kwenye black market?

    Biashara yakuuza dola imekuwa na mkanganyiko mkubwa. Mabenki na taasisi za kubadilisha fedha wametangaza hawana dola. Ila yapo maeneo sasa hivi unanunua dola kwa bei karibia na elfu tatu na fedha hizi zinaletwa kwenye mifuko. Waagizaji mizigo wengi tunachofanya sasa hivi ni kununua dola kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Nani alitangulia kati ya Yeriko Nyerere na Nashon C Elia kwenye suala la ujasusi katika dola na uchumi?

    Nimekuta mahali kitabu hiki (pichani) kinauzwa nikakumbuka Title yake inafanana na moja ya kitabu cha mwenzetu Yeriko Nyerere. Nani kamuigilizia mwenzake? Kisheria imekaaje?
  6. JamiiForums Tanzania Laiti UVCCM wangejua chama chao ndio chanzo cha umaskini kwa kuitumia dola kuzuia mabadiliko wangekihujumu kwa maendeleo mapana ya Taifa

    Kwa tathmini yangu ccm ndio chanzo kikubwa cha umaskini Tanzania. Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa. 1. CCM inaifunika dola kitu ambacho ni kibaya. 2. CCM ni mnyororo wa matapeli wanaotumia ujinga wa watanzania. Ujumbe huu umfikie...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kuisapoti Israel!! Ikiwa chini ya Palestina itageuzwa kuwa dola ya kisasi, ubaguzi na ukandamizaji wa kidini, yalishatokea Iran, Iraq, n.k

    Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa anavuruga KKKT; namwona kama anaingiza dola kwenye kanisa badala ya kuingiza dini

    Nimeona askari wakiwa na mitutu kwenye maeneo ya kanisa la KKKT hapa Mwanza, nimeshtuka sana kwamba watumishi wa umma wametoka na mfumo wa serikali ofisini na sasa wanataka waendeshe na makanisa. Pamoja na kuona dalili hizi na nikikumbuka uchaguzi uliofanyika Arusha kumchagua Malasusa; lakini...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo yanavyoendelea kuhusu wasafirishaji haramu wa binadamu tusishangae kuona kuna viongozi watatumbuliwa

    Nimesoma kitu kinachoitwa usafirishaji haramu wa binadamu huko Duniani na mbinu zinazotumiwa. Takwimu zinaonyesha kwamba hii biashara ni kubwa labda namba tatu baada ya biashara ya silaha na madawa ya kulevya. Nimejikuta kusoma kutokana na kuona ndani ya wiki mbili zimekamatwa V8 tatu nchini...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Aliyerekodi video akieleza amepewa bahasha yenye Tsh. 5,000 huko Kizimkazi asibughuziwe, kama mamlaka zina ushahidi kadanganya waseme

    Kuna clip inasambaa kwamba wananchi wameitwa kwa Mhe. Rais huko Zanzibar kupewa zawadi ya Idd, mmoja wa wananchi hao ameonyesha kukerwa na kitendo cha kupewa bahasha yenye Tsh. 5,000 akidai hata gharama alizotumia kufuata hiyo elfu tano ni kubwa. Kwa mfumo tulionao usishangae akakamatwa kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Chadema wana Agenda ya ugumu wa maisha na mfumuko wa bei; safu mpya CCM wana agenda ya kujisifia kuzaliwa Kariakoo na kutokuachia dola

    Hii safu mpya iliyoingia CcM inachokosa ni Agenda. Haiwezekani mkutano wa kwanza kwa umma usiwe na issue za nini watafanya kwa wananchi katika kuzisimamia serikali. Unapokuwa na kikao cha kwanza na wananchi au adhira yoyote agenda kubwa baada ya utambulisho ni maono ya pamoja. Hotuba au...
  12. JamiiForums Tanzania Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili Akitoa...
  13. JamiiForums Tanzania Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

    Wametoa taarifa kwenye mtandao wa Telegram kwamba wao ndio walihusika........ Putin alikua ameanza kujenga uhusiano na magaidi ya hii dini, hakujua nyoka haachi asili yake ISIS claims responsibility for attack in busy Moscow-area concert venue that left at least 40 dead ISIS has claimed...
  14. JamiiForums Tanzania Waliopewa dola ili kudhibiti rushwa na dhuluma wanakiri hadharani kuwa dhuluma imezidi. Hii ni aibu kubwa

    Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala. Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi. Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao. Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
  15. JamiiForums Tanzania Urusi yaua wafuasi wa Dola ya Kiislamu (IS)

    Russian authorities on Sunday said they had killed six suspected Islamic State group fighters in the southern Muslim-majority Caucasus republic of Ingushetia. Special forces from the FSB security agency cornered the six people in a building in the town of Karabulak and "neutralized" them in an...
  16. L

    JamiiForums Tanzania China yapendekeza ukarabati wa reli ya TAZARA wenye thamani ya dola za Marekani bilioni moja

    Katika hali ya kufurahisha na kufufua matumaini, hivi karibuni balozi wa China nchini Zambia Bw. Du Xiaohui alimwambia waziri wa uchukuzi wa Zambia Bw. Frank Tayali, kuwa serikali ya China inapanga kutumia dola bilioni 1 za kimarekani kuifanyia ukarabati reli ya TAZARA, inayounganisha eneo la...
  17. JamiiForums Tanzania Matajiri wa Tanzania wakalia kuti kavu, badala ya kununua dola mil 1 kwa Tsh 2.3 bil sasa wananunua Tsh 2.9 bil

    Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema, ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha, imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo, kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka, na huenda wakafirisika baada...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Dola ya Kimarekani inakimbilia 2,600 Tshs muda huu!

    Hili nalo jambo gumu kati ya mengi yanayotukabili watanzania kipindi hiki kigumu. Dola ya kimarekani ina shoot kwa kasi na punde si punde tunaweza kujikuta tunazoe mahesabu ya 1:3000. Tuzidi kuipambania nchi yetu kila siku.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa dola nchini: Je, haiwezekani sababu ni kupungua kwa fedha za wafadhili kama sio matumizi ya dola katika kulipa madeni ya nje ya nchi?

    Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola katika kuhudumia deni la taifa sababu ambazo zinaweza kuwa ni ngumu kuziweka hadharani iwapo kweli...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nchi haina sukari, maji, umeme na dola

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…