dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. toplemon

    Dola bilioni 400 ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania?

    Dola bilioni 400 ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania?
  2. B

    Mwanza: Mtoto ateketea kwa moto wakati wa operesheni ya Kiserikali

    Habari hii ni kutoka Kaliua, Tabora ambako wale jamaa wasiokuwa na chembe ya utu walikuwa wametia timu kwenda kufanya yao. Unachoma vipi nyumba ambayo wanaweza kuwemo ndani watoto wadogo, wazee au wasiojiweza? Piga picha kumwona mtoto wa miaka 4 yuko je. Eeh mola wetu umrehemu malaika wako...
  3. Idugunde

    Kama CHADEMA wanazidua mashina na kuweka mawe ya msingi, lini watashika dola?

    Chama ambacho kipo nchini na kinafanya siasa kila siku zaidi ya miaka ishirini kinaanza kuweka mawe na kuzindua mashina kina hali gani sasa! Kinampango wa kukamata dola? Kwa staili hii watakamata dola? Kama watakamata dola itakuwa lini? Maana kama baada ya miaka ishirini ndio wanaanza ujenzi...
  4. Shujaa Mwendazake

    Ni kweli Makonda anashikiliwa na Mamlaka za Serikali kwa mahojiano?

    Habari wakuu na wanajamvi, Kuna tetesi zinasambaa mitandaoni toka chini ya kapeti zinazodai ya kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Paul Makonda yupo mikononi mwa vyombo vya dola kwa ajili ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili. Yaani kwa kifupi inasemekana Makonda tayari ameanza...
  5. Idugunde

    Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

    Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili' Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa...
  6. K

    Matapeli kutumia utambulisho wa vyombo vya dola kunathibitisha udhaifu wa vyombo au mazoea yamezidi?

    Sabaya aliwahi kutumia kitambulisho Cha TISS akabainika ila kesi yake ikafutwa akateuliwa kuwa DC Shinyanga amekamatwa Mwalimu mwenye kitambulisho Cha JWTZ pamoja na official documents za chombo hiki nyeti akituhumiwa kufanya utapeli. Uhamiaji tumeona hivi karibuni wakitoa adhabu huku...
  7. Chizi Maarifa

    Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

    Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria. Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa...
  8. B

    Ipo wapi Zanzibar kwenye vyombo vya dola?

    Si hoja ya kikatiba Wala ya kisheria ni hoja ya fikra juu ya utekelezaji wa Yale ambayo hayajaandikwa na si kwamba yalisaulika kuandikwa bali ni magumu kuyaweka kwenye makaratasi. Hakuna sehemu Katiba wala sheria inaposema wakuu wa vyombo wabadilishane kutoka na pande mbili za Muungano. Aidha...
  9. N

    Dola bandia kutoka Korea Kaskazini zilivyosambaa duniani na kutumika kwa zaidi ya 20 bila kujulikana.

    Dola bandia zilizotumika kwa miongo miwili na kupumbaza dunia Noti hiyo ya dola bandia haikuwa na makosa yoyote na hata maafisa wa kitengo cha ujasusi hawakuweza kubaini iwapo ilikuwa dola bandia ama nakala mbele yao. Ni baada ya kipindi kirefu cha uchunguzi ndiposa waliweza kuthibitisha...
  10. Analogia Malenga

    Viumbe, mimea na wadudu vamizi hugharimu Afrika dola trilioni 3.5 kwa mwaka

    Utafiti mpya unasema wadudu, minyoo, mimea vamizi ya magugu,zinagharimu Afrika zaidi ya $ 3.5tn (£ 2.5tn) kila mwaka. Watafiti walio Ghana, Kenya, Uingereza na Uswizi wameelezea athari mbaya za spishi zinazoletwa na shughuli za wanadamu. Nigeria, ambayo hasara yake inakadiriwa kuwa dola...
  11. J

    Hivi kuna ulazima wa wakati Rais wa JMT anaapisha wateule wake hafla kuhudhuriwa na viongozi wakuu wote na wale wa vyombo vya dola?

    Nauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo. Je, kuna ulazima wowote hawa viongozi kuhudhuria hata uapisho wa watu wadogo wadogo kama maDED na maDC? Ni hilo tu.
  12. Kamanda Asiyechoka

    Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
  13. Analogia Malenga

    Wanajeshi 33 wauawa na wapiganaji wa Dola ya Kiislamu

    Wanajeshi 33 wa kambi ya jeshi Mainok katika jimbo la Borno wameuawa na wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa dola ya kiislam (IS). Wanamgambo walifika kambini hapo kwa kuvaa nguo za jeshi na kutumia magari ya jeshi na kufanikiwa kuidhibiti kambi kwa saa kadhaa. Dola ya Kiislam Jimbo la Afrika...
  14. Idugunde

    Msijidanganye, hata tukipata Katiba Mpya CHADEMA haiwezi kukamata Dola

    Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola. Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea. Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi. Iwe kwa mtutu wa...
  15. Ileje

    CCM haina Mwenyekiti wala Katibu Mkuu, hivi sasa inaendeshwa na Dola

    Baada ya kifo cha Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na baadaye kutenguliwa na kuteuliwa kuwa Mbunge, CCM haina uongozi wa juu na hivi sasa inategemea Dola kuendeshwa katika shughuli zake za kila siku. Jambo hili si la afya kwa mustakabali wa siasa za nchi...
  16. sky soldier

    Dili la bilioni 11.5 diamond naona kapigwa, ni ndogo kwa brand ya WCB

    Label ya WCB wasafi ni label kubwa sana yenye wasanii wanaotukisa Africa mashariki, Ni label ambayo ukienda nchi kama Rwanda watu wamekariri mashairi ya kila nyimbo za Diamond na Zuchu Ni label kubwa sana, hapo Kenya WCB inatikisa vilivyo Kwa haraka haraka hii Bilioni 11 ni kubwa sana kwa...
  17. B

    Ugumu wa kutabiri anayefaa kuwa Makamu wa Rais ni tafsiri ya wanasiasa wa Tz kutegemea dola kujijenga?

    Majina yanayotajwa kupewa nafasi ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni majina yasiyo na chembe ya uhalali wa kushika nafasi hii. Si kwamba Taifa halina watu wenye uwezo la, watu wenye uwezo wapo wengi lakini hakuna aliyejengwa kusimama bila kusimamishwa na dola. Uimara wa kiongozi utokana na...
  18. Sarikiaeli

    Magufuli kama Nebukadneza Mkuu wa Dola ya Babeli

    Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI ameandika “sababu zilizowafanya mitume 11 wasimfuate Yesu majini” Amemshambulia sana Rais Magufuli. 1...
Back
Top Bottom