Kiwanda Kinauzwa
Kiwanda kinauzwa kikiwa Kizota, Dodoma. Ukubwa wa kiwanja ni 3,770 sqm, eneo lipo sehemu nzuri na linatoa fursa mbalimbali za uwekezaji.
Bei ni bilioni 2, na maongezi yapo kulingana na makubaliano.
Kwa maelezo zaidi, tafadhali angalia picha zitakazofuata au tuma ujumbe mfupi...