dodoma

  1. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliopo Dodoma wanastahili kuitwa waheshimiwa Bado?

    Wachangiaji wote waliochangia bajeti ya mambo ya nje Kila mtu alimsifia Samia Nape Samia Bulaya Samia Kingu Samia Samia Samia Samia Wao wanafanya kazi Gani Sasa kama Kila kitu anafanya Samia? Kwani huwezi ongea bila kutaja jina la raisi? Kwann waitwe waheshimiwa Hawa ?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kama amemsikia Lema huko Dodoma leo, sijui atakuwa kwenye hali gani

    Kwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo. Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa KMC, Mei 24, 2026

    Mechi kati ya Simba na Dodoma Jiji inapigwa leo, Mei 24, 2026 kwenye uwanja Wa KMC, Simba inaingia kwenye mche huu ikiwa nyumba ya Yanga kwa pointi 2, Ikiwa na alama 55 ya pili kwenye msimamo huku Dodoma ikiwa na alama 33, na ya 8 kwenye msimamo. Nani kuongeza alama? Ni moja au 3 acha tuone au...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Samia Kubadili Dar & Dodoma: Miundombinu Mipya

    Dkt. Samia Suluhu Hassan kubadili majiji, Dar es Salaam na Dodoma. 📌Atatandaza Flyover Tabata, Morocco, Mwenge hadi Kongowe 📌Zitafuata pia za makutano ya Fire, Magomeni na eneo Kamata 📌Dar, Mkoa Pwani kushuhudia barabara njia 8, Dodoma njia 6
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lazaro Twange: Mradi wa kusafirisha umeme Chalinze - Dodoma wafikia 82.5%, kukamilika Agosti 2026

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Bw. Lazaro Twange, amesema mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Zuzu, Dodoma, unatarajiwa kukamilika ifikapo Agosti 18, 2026. Akizungumza Mei 20, 2026 wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi huo katika mikoa ya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya Ajira Mpya VETA walioitwa Dodoma ‘kutelekezwa’, VETA yasema “Wanaandaliwa mafunzo elekezi 21-22 Mei 2026”

    Baada ya andiko lililowekwa na Mdau kupitia Fichua Uovu ndani ya JamiiForums.com, alipoandika “Watu 178 tulipata ajira VETA, tukaenda kuripoti Dodoma, ni mwezi wa tatu huu hatujapangiwa kituo, wametusahau?” Meneja Uhusiano kwa Umma na Masoko wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ni Dodoma Tena!

  8. U

    JamiiForums Tanzania leo PM Mwigulu Nchemba yupo Kondoa Dodoma Mei 16, 2026

    4:00 Asubuhi** 3. Lengo la Ziara: 1. Mkutano wa Hadhara - Mnemia, Kondoa 2. Kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali Kingale 3. Mkutano wa Hadhara - Puma 4. Utangazaji wa Moja kwa Moja - MBASHARA Matukio yataonyeshwa moja kwa moja kwenye vituo hivi: Maelezo TV, TBC, ITV...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kutoka Dodoma kwenda Tanga kupitia Chalinze, panda mabasi bora ya Shabiby lile, ruti iko vilevile

    Kumekuwa na maneno, machapisho mitandaoni kwamba, ruti ya mabasi ya Shabiby Line kutoka Dodoma kwenda Tanga kupitia Chalinze imekufa. Siyo kweli hata kidogo. Ruti hiyo bado ipo palepale na ipo vilevile. Dodoma- Tanga na Tanga- Dodoma kupitia Chalinze kama vibao vya utambulisho mbele ya mabasi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Watu 178 tulipata ajira VETA, tukaenda kuripoti Dodoma, ni mwezi wa tatu huu hatujapangiwa kituo, wametusahau?

    Mimi ni miongoni mwa Watu 178 walioitwa kuripoti kazini na VETA tangu tarehe 14 Feb, 2026, tulifika ofisi za VETA Dodoma tukajaza taarifa binafsi, kisha tukaambiwa tusubiri maelekezo mengine… Lakini hadi leo tunaingia mwezi wa tatu tunasubiri taarifa za kupangiwa vituo vya kazi na hakuna update...
  11. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mfumo wa Sauti wa Bunge wabuma, wabunge warudishwa ukumbi wa Msekwa!

    Leo, Mei 14, 2026 Mfumo wa sauti Bungeni umebuma. Wabunge wamerudi ukumbi wa Msekwa. Vifaa viliwekwa na Mchina, ku-upgrade wameleta Mzungu, ngoma imebuma. Jana jioni ilianza kupiga alarm ya moto ilhali hakuna moto. Kazi kwelikweli
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watu 178 tuliitwa kuripoti kazini VETA Dodoma, Februari 14, 2026, mpaka sasa hatujapangiwa vituo

    Mimi ni miongoni mwa Watu 178 walioitwa kuripoti kazini na VETA tangu tarehe 14 Februari 2026. Tulifika Ofisi za VETA Dodoma tukajaza taarifa binafsi, kisha tukaambiwa tusubiri maelekezo mengine… lakini hadi leo tunaingia mwezi wa tatu tunasubiri taarifa za kupangiwa vituo vya kazi na hakuna...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  14. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza mchuzi wa mvinyo wa Dodoma (wine) kwa Bulk purchases only

    Habari za muda huu wana jukwaa? Mimi ni mjasiriamali mdogo naji husisha na biashara ya mvinyo halisi wa Dodoma. Nina lita 3000 za mvinyo ninazo ziuza kwa bulk PURCHASES only Mvinyo huu una umri wa miezi 8 sasa na kwa kila lita nauza kwa sh. 4500/= Karibuni sana!. Kwa Mawasiliano zaidi : 0621599120
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Lissu aomba apelekwe Dodoma kusikiliza kesi yake dhidi ya AG, Kamishna wa Magereza

    Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameiomba Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma iamuru apelekwe Dodoma kwa ajili ya kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mawakili wake wakipinga kuzuiwa kuonana naye na au kujadiliana naye faragha. Lissu ametoa ombi...
  17. Isenye

    JamiiForums Tanzania Ingawa Dodoma pamejaa wanawake wanaojiuza, ila ni watamu kuliko Dar

    Habari zenu Nimefika Dodoma nikaopoa kipoozeo flani hivi hapa mitaa ya nkuhungu. Oya,hiki kitoto cha kihehe kina mbunye ya moto na tamu balaa,kinakata mauno kama feni. Kwa kweli wanawake wa Dar inabidi mjitafakari sana kwa huu upinzani ulioibuka huku Dodoma.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Kenani Kihongosi anazungumzia kuhusu maridhiano, leo Mei 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/K8FOhiBhit4
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO IGP weka jicho lako Central Police Station – Dodoma, kuna shida ya Uwajibikaji

    Pale Central Police Station ni kwamba hakuna accountability and transparency yaani hakuna uwajibikaji na uwazi kwa baadhi ya Maafisa Polisi wa pale. Mtu unapeleka kesi ya mtuhumiwa pale na tunajua mtuhimiwa anaweza kupewa dhamana kwasababu mbalimbali lakini unakuta anapewa dhamana ndio bila ya...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania and Sweden Seal USD 1.32 Billion Deal for SGR Expansion in Dodoma

    Tanzania and Sweden are taking another major step forward in their partnership with the signing of SGR Lots 3 and 4 in Dodoma. With financing of around USD 1.32 billion, this milestone reflects a shared commitment to long-term, sustainable infrastructure. Already used by over 5.5 million...
Back
Top Bottom