Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 3,428
- 8,025
Mzuka sana, sana sana sana sana yani sana yaaaaaaaaani.
Hivi ni nani alianzisha hili wazo, bonge Moja la idea,
Jamani kipi unalikumbuka kuhusu Dodoma hususani kwenye marathon kama hii, zamani kidogo kwenye tamasha baada ya mbio pale jamhuri watu walikua wachache sana, lakini siku hizi mzuka kinoma, maboresho zaidi uendelee japo wazo langu la kutafuta eneo nje ya mji bado lipo pale pale hapo mjini Kuna uhuru watu wanaukosa pia muingiloano mahari nk mtihani sana, labda uwanja mpya unajengwa ukikamilika utakuja na kitu, let's wait inshaallah,
Wafanya biashara wana furahi sana NBC marathon inapo wadia pambe sanaaaaaaa.
Bro kama huna demu ukitoka huku bila demu, mkaka Fulani hivi basi we una gundu asee.
Kuna dada humu alitaka kujenga apartment Dodoma au geita, nadhani aliona geita sababu ya mihemuko ya billionaire wa katoro na upepo wake hivi Kwa tulio zaliwa
geita ya sasa ni ya kwenda kuwekeza apartment? Ndio ni sahihi lakini ni vyema kipaumbele kiwe sehemu nyingine, nakumbuka nilimshauri iwe Dodoma than baadae atasogea geita, nadhani jibu kalipata sasa.
Bado nalia na wawekezaji, Dodoma panaitaji man made beach, kwenye events kama hizi, Kuna pesa zinarudi ziliko Toka sana inasikitisha Kwa kweli, watu wanaanza kurudi waliko Toka ukiuliza vipi wanadai hamna cha kufanya.