dodoma

  1. MaduhuJ

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Aise nimeumia,hata la OFISI za UMMA kuamia Dodoma? Sawa mama yupo zenji yeye SI ni Rais?

    Mmeyabana ga mengi ya Rais Magufuli na Nyerere hata la kuamia Dodoma nalo pia?
  3. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wamiliki vyuo vya afya vya City College acheni dhulma na unyonyaji

    Awali, vyuo vya afya na tiba shirikishi vya City Colleges vilivo sajiliwa na NACTEVET kutoa kozi za afya kwa ngazi za astashahada na stashada ikiwemo Kigamboni campus, Temeke & Mikwambi csmpus, Mwanza na Arusha Campus, wamiliki wake ni makada wa ccm akiwemo Abubakari Ali(Boka aliyejitokeza...
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Aasad Mwinyi ateuliwa Mjumbe wa Kamati ya uendeshaji ya Chipukizi Dar es Salaam

    Alitumia babu mpaka MJUKUU Halafu wewe upo zako huko maporini unajiita mwana ccm, au upo zako jf hapa unafanya chawaring unajikuta kijani damu!, CCM INAWENYEWE . Nawenyewe ndio sisi 😎
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kuanza ujenzi SGR Mijini wakati kipande cha Dodoma- Mwanza kinasuasua, nani ameubariki?

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa hivi karibuni litaanza ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) katika miji, hususan Dar es Salaam, kama sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya Serikali yenye lengo la kupunguza changamoto za usafiri mijini. Baada ya kusoma taarifa hii, nimekuwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo

    Mheshimiwa Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma. 🗓️Desemba 11, 2025.
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Madereva watano wa bodaboda wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na lori lililofeli breki eneo la Makulu

    Watu watano ambao ni madereva bodaboda wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na lori lililofeli breki eneo la Dodoma Makulu jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo. Lori lilikuwa linatokea kwenye barabara inayotokea Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) ambapo lilifeli breki na kwenda kuparamia Kijiwe...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Vyombo vya ulinzi vikiendelea kufanya ukaguzi wa usalama kwa nyia ya anga

    Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama. Vipi hali huko mitaani wakuu?
  9. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Hali ilivyo leo katika mkoa wa Ruvuma leo Desemba 9

    Hivi ndivyo hali ilivyo siku ya leo Disemba 9 mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa Singida wamewafunika wale wa Dodoma kwa mbali

    Hii ni kwenye siasa wanasema tofauti ni kwamba Singida watoto wao walikuwa wanapelekwa shule za kaskazini kama Ilboru, Weruweru ndiyo imechangia Kitima, Mkumbo, Lissu, Nyalandu, Mwugulu na wengineo wakati Dodoma zilipendwa wakina Malecella na spika Ndugai. Je kuna ukweli?
  11. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Tanzania’s Nickel And Copper Processing Plant In Dodoma Reaches 85% Completion Ahead Of February 2026 Production Start

    https://twitter.com/kwamekivaisi/status/1994267214514389447?t=Vp8zns8vFw_URJZKRV4Dyw&s=19
  12. southernboy

    JamiiForums Tanzania TANGAZO:Fundi umeme wa magari napatikana Dodoma

    TANGAZO: FUNDl UMEME WA MAGARI Unahitaji fundi umeme wa magari? Nipo tayari kukuhudumia kwa weledi na kwa wakati! Huduma ninazotoa: 🔧 Uchunguzi wa matatizo ya umeme (diagnosis) 🔧 Kurekebisha na kufunga starter & alternator 🔧 Kurekebisha mifumo ya taa za gari 🔧 Programu na ufungaji wa computer...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wezi wavamia makaburi na kuiba clips vigae

    Kuna watu wamevurugwa kinoma! ========== Watu wasiojulikana wamevamia Makaburi ya Dodoma, yaliyoko katika Mtaa wa Mageuzi, Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga na kuvunjavunja vigae na kuiba clips zinazoshikilia vigae vilivyowekwa kuimarisha na kupendezesha makaburi hayo.
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna Show ya msanii kutokea hapa Bongo imebuma Texas, Watanzania wanaishi huko wameisusia, Waende wakapige show Dodoma

    Kuna hii video ya huyu dada anatokea huko Marekani anadai kwamba moja ya msanii kutoka Tanzania alipaswa kufanya show weekend hii lakini show hiyo imebuma kabisa kutoka na Raia wa Tanzania wanaoishi huko Marekani kucancel tekiti na wale walinunu kuzichana. Na kuwataka wasanii hao wakapige show...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya Posta kuna njia nyingine ya kuagiza bidhaa zifike mkoani ?

    Ninawezaje kuagiza mzigo kutoka China Aliexpress hadi Mkoani
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nyumba za MC Pilipili Dodoma zazua gumzo

    Nyumba 4 kwenye compound moja huko Dodoma Mali ya mwendazake MC Pilipili zimetia fora kwa nakshi na mazingira zilipo (Swaswa). Kazi na utu
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akabidhiwa rasmi ofisi na waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa

    DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utata kifo cha MC Pilipili: Wauaji hawajajulikana. Polisi wasema alishambuliwa, uchunguzi unaendelea

    Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma likithibitisha kushambuliwa kabla ya kifo cha aliyekuwa mchekeshaji na mshereheshaji, Emmanuel Mathias maarufu MC Pilipili, suala la kuwatambua waliomshambulia, limebaki kuwa giza nene. MC Pilipili aliyekuwa mkazi wa Swaswa Jijini Dodoma, alifariki dunia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri Dini ya Kiislam: Lissu aliposhambuliwa Dodoma, TEC hawakutoa tamko sababu rais alikuwa Mkatoliki; Ushahidi wa Tamko la TEC

    Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
  20. President of China

    JamiiForums Tanzania China, Tanzania, Russia Kushirikiana Kurusha Satelaiti 2026: Je, Huu Ndiyo Mwelekeo Mpya wa Ulinzi na Uchumi wa Kidijitali? (Eneo Chamwino Dodoma)

    Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 katika Chamwino, Dodoma. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa Tanzania katika...
Back
Top Bottom