Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetoa documentary fupi ambayo inaonesha kuwa suala la changamoto ya usafi katika vyoo vya majengo ya chuo hicho umefanyiwa kazi na kwamba vyoo ni visafi.
Ikumbukwe kuwa mara kadhaa Wadau tofauti wa JamiiForums.com wamekuwa wakidai kuna changamoto ya usafi katika...
• Kuna tetesi walioshindwa kupanda vyeo kwa sababu ya mfumo kwenda kwa katibu mkuu TAMISEMI, ushauri wangu kabla hujanyenyua mguu wako omba rusuhusa kwanza kwa mkurungenzi wako maana kama hutafanya hivyo litakalo kukuta utajuta.
• Hili jambo vyama vya wafanyakazi vipo tunajua na wao...
Wana bodi, kumekucha, tunamshukuru Mungu kwa kutujaalia uzima.
Naomba kuwasilisha kero kuhusu ucheleweshwaji wa ujenzi na maboresho ya masoko ya Majengo, Kizota na Stendi Ndogo ya Mnada Mpya. Tunaomba kufahamu miradi hii itakamilika lini.
Tunaiomba Serikali, pamoja na viongozi na wasimamizi wa...
Nina mtoto wangu amemaliza form four, amechaguliwa kwenda kusoma mining engineering chuo cha madini dodoma (MRI) nimejaribu kufuatilia website ya chuo hawana, nimepiga simu zao +255 26 230 0472 za ofisi zimefungiwa hawajalipa bill muda mrefu, nimetuma email zimekuwa rejected kwa maana email hizo...
Kero yangu ni kuna kampuni inauza viwanja inaitwa Landmatrix Ltd walikuja ofisini kwetu na kutueleza kuwa wanauza viwanja vilivyopimwa maeneo mbalimbali mnamo mwaka 2024 kwa wakati huo walikuwa na mradi eneo la Vikonje 'BM', Dodoma.
Malipo yalikuwa ni kwa awamu ndani ya miezi 24 na makubaliano...
Maombi ya hati kupitia mfumo wa e-Ardhi kwa wakazi wa Dodoma bado yanaendelea kuwa changamoto kubwa. Mtumiaji anaweza kufanikiwa kutuma maombi kwenye mfumo, lakini maombi hayo hukaa muda mrefu bila kusonga kwenye hatua za uidhinishaji (approval stages) hadi pale anapomtafuta afisa anayehusika...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu
Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa kama watu wanazo taarifa zinazoashiria uvunjivu wa amani ni...
Mwaka 2026 dunia sasa inakimbia sana, mambo yanabadilika kila baada ya sekunde 30 lakini kwa nchi nyingi za Afrika. Inawezekana kabisa mambo yanabadilika.Kila baada ya wiki 30.
Huwa inaumiza sana na kushangaza, katika karne ya 21 mwaka 2026 unakuta binadamu wanagombania usafiri kituoni mpaka...
Habari wana JamilForums,
Mimi ni fundi mbobevu wa samani
(furniture maker) na mwanzilishi wa chapa
ya Heritage Style. Natafuta mwekezaji anayependa kushirikiana nami katika kukuza biashara ya samani bora jijini Dodoma.
Nina uwezo na utaalamu wa kutengeneza samani za kisasa zenye viwango...
Wakuu nina jino la uzeeni limeota mwisho kabisa upande wa juu.
Mwanzo nimelivumilia nikajua likiota litapona maumivu, ila yamezidi na nikigusa naona jino linatokezea kwa pembeni nje ya usawa wa mengine.
Naomba kujuzwa hospital nzuri ya meno kwa Dodoma yenye gharama nafuu
MHE. GHATI CHOMETE ATEMBELEWA NA MADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME-BUNGENI DODOMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ametembelewa na Wahe.Madiwani wakiongozwa na Mhe.Thobias Elias Ghaty- M/Kiti wa Halmashauri ya Mji wa Tarime.
Madiwani hao walifika Bungeni...
Jumla ya wananchi 537 wamepatiwa huduma za kibingwa na kibobezi katika banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
Maadhimisho hayo yamehitimishwa leo, Juni 23, 2026 na...
ATCL YAZINDUA SAFARI ZA MWANZA - DODOMA, ABIRIA 1300 KWA SIKU
Shirika la Ndege Tanzania(ATCL), limezindua safari zake za utoaji huduma kati ya Mwanza -Dodoma ikiwa ni kurahisisha safari kwa watumiaji kwa njia ya anga.
Safari hizo zilianza Juni 5,2026, ikitajwa kusaidia wafanyabiashara na...
MASHIRIKA YANAYOCHELEWESHA MIRADI YA PPP SASA KUWEKWA KITIMOTO BUNGENI DODOMA
===
SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya...
Naomba niwasilishe taarifa hii tukiwa na uchungu mwingi kama familia, hapa tunapoandika ujumbe huu tunajiandaa nyumba yetu kubomolewa Jumamosi hii Juni 13, 2026.
Sababu kubwa ikiwa ni dhuluma, mbinu chafu za baadhi ya maafisa wa ardhi kuhusu kiwanja na nyumba yetu iliyopo Mtaa wa Image, Kata...
Anonymous
Thread
ardhi
ardhi dodoma
bila
dodoma
hati
hati ya kiwanja
kiwanja
mchezo
nyumba
ridhaa
takukuru
My Take
Sasa Dar inaenda kuwa kama Mombasa na Dom kuwa kama Nairobi.
Siku zote anakolala Baba ndiko taulo linatunzwa.Pia soma Jiji la Dodoma Laipiku Dar na Kuwa Kimbilio la Biashara ya Kupangisha Nyumba za Kuishi na Biashara (Frame) | JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma Laipiku Dar na Kuwa...
Kwa mara ya kwanza katika Historia Jiji la Dodoma limepindua meza na kuwa Kimbilio la Biashara ya makazi yaani real estates.
Dom ndio Jiji linajengwa Kwa kasi makazi ya kuishi na biashara kiasi kwamba bei ya kupanga chumba Cha duka Dom ni kubwa kuliko Dar...
Habari anahitajika dereva wa bajaji (used ) ya mkataba.
Dodoma mjini mkataba ni mwaka mmoja.
Vigezo
- Awe na leseni
-Mdhamini mmoja
Kwa yeyote aliye tayari anicheck whatsapp 0743315931
Deadline 1/06/2026
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.