Huko Arusha miaka kadhaa nyumba iliyopita alikuwa jamaa anaitwa teleza naye alikuwa na michezo hii. Baada akapotoa
Haya huko Dodoma wamejitokeza wengine, hii sasa ni balaa tu
========================
Wakazi wa Mtaa wa Nzuguni B, Kata ya Nzuguni, Jijini Dodoma wameingia katika hofu kubwa...
Mwanaume anayefahamika kwa jina la Issa Ramadhani (35), mkazi wa Mtaa wa Mnyakongo, Kata ya Nkuhungu, jijini Dodoma, anatuhumiwa kwa kumbaka na kuwalawiti watoto watatu wenye umri chini ya miaka mitatu, na kuwasababishia majeraha makubwa sehemu za siri.
Tukio hilo linadaiwa kutokea mnamo Agosti...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele, amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma, hususan katika majimbo ya Chamwino na Mtera leo Septemba 25, 2025.
Ziara hiyo ilikuwa na lengo la kukagua maandalizi ya uchaguzi mkuu...
Msiseme Sijawaambia!
Fanya ulichokifuata kwake.
Ukimaliza mlipe ujira wake mliokubaliana.
Kama ahitaji ujira, basi mpe asante kisha rudi nyumbani kwako.
Kama wewe ni 'msafi' basi waweza anzisha utaratibu wa kuwa nae karibu zaidi kwa ajili ya huduma zake.
Ila kama wewe unajijua ni 'mchafu'...
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, watu tisa wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa ajali wilayani Chemba, Dodoma.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gallus Hyera amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyohusisha basi la abiria na lori la mizigo aina ya Fuso.
Miili ya...
Mawakala wa Mabasi Kituo Kikuu cha Mabasi Mkoani Dodoma wameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa ujenzi wa Kituo hicho, wakikitaja kama Mkombozi wa Vijana wengi Mkoani humo ambao wamekuwa wakijishughulisha na shughuli mbalimbali Kituoni hapo ikiwemo ujasiriamali na biashara ndogondogo...
Kesi ya Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi ya kuzuiliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itaendelea Leo Saa 8 mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma.
Chama cha ACT kimesema Waandishi wa Habari wanakaribishwa Kuhudhuria...
Karibuni tena katika makala yetu yenye kuangazia kuhusu masuala ya Ujenzi.
Nipo kikazi katika mkoa wa Dodoma, leo nitapenda niangazie mambo kadhaa ya Ujenzi niliyo yaona Dodoma.
1. UPATIKANAJI WA MATILIO ZA VIWANDANI
Kuna ugumu wa upatikanaji wa matilio ukilinganisha na Mwanza,Arusha au Dar...
Job Opportunities at Wejisa Company Limited
Wejisa Company Limited, a registered Tanzanian company specializing in waste management and environmental sanitation services, is committed to delivering reliable and environmentally friendly services. Guided by our motto, “Weka Jiji Safi” (Keep the...
Je, Unahitaji YAS 4G au 5G UNLIMITED Router?
Kwa ajili ya Ofisi au Nyumbani kwako?
Karibu sana tukuhudumie Leo,
📢 YAS 4G+ Pocket Mi-Fi @ 120,000/=
✔️ Kifaa / Pocket ni Tsh. 50,000/=
✔️ Unlimited Mwezi 1 ni Tsh. @ 70,000/=
✔️ Battery (Masaa 6)
✔️ Malipo/Mwezi: 70,000 (10Mbps)
✔️ Vifaa 10...
Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema.
Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
eneo hili ni mojawapo ya mipango bora kabisa ya iliyokuwa mamlaka ya uendelezaji mji. CDA. wali plan vizur sana miaka hio ya 1970s kwa kuweka bustan ya kupumzika.
jembe mwamba alivokuja akapaboresha sana sambamba na kuhamishia makao makuu
kwa hali ilivo sasa ni kama laiti pangetengewa hata 1% tu...
Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa...
Moja ya sababu kubwa iliyomfanya Magufuli asikae Magogoni ilikuwa ni nguvu za giza ambazo ziliachwa mle.
Polepole amesema hawa jamaa wanakushambulia kwa mbinu zote ikiwemo hizo za giza. Na akasema ilibidi Magufuli ahamie Dodoma kabla Ikulu haijakamilika ili akae apate utulivu wa nafsi na...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.