and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,229
- 39,715
Basi zetu pendwa sasa zitakua zinasimama hotelini kwetu Dodoma na Korogwe ili kuongeza ma0ato ya kampuni
Dodoma sehemu Gani tuje tuwaunge!Basi zetu pendwa sasa zitakua zinasimama hotelini kwetu Dodoma na Korogwe ili kuongeza ma0ato ya kampuni
Hivi kwa mfano wakisema kula ni dakika 30 wanapungukiwa nini? Hio dakika 20 extra kuna nini wanapata wakiwa kufika Arusha?Hizi hotel za mskampuni ya mabasi ni utapeli mtupu
Mnasimama Korogwe mkienda Arusha mnaambiwa dakika kumi, unaanza foleni chooni dakika tatu ,foleni ya chakula dakika nne unaanza kula unasikia basi linataka kuondoka unaacha chakula( nasikia wanauza tena)
Vyakula vyao ghali na vibaya.
Sasa Dodoma abiria si watakuwa washafika waendapo? Au basi hizi zinaenda Mwanza?Basi zetu pendwa sasa zitakua zinasimama hotelini kwetu Dodoma na Korogwe ili kuongeza ma0ato ya kampuni