Alitumia babu mpaka MJUKUU
Halafu wewe upo zako huko maporini unajiita mwana ccm, au upo zako jf hapa unafanya chawaring unajikuta kijani damu!,
CCM INAWENYEWE .
Nawenyewe ndio sisi 😎
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa hivi karibuni litaanza ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) katika miji, hususan Dar es Salaam, kama sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya Serikali yenye lengo la kupunguza changamoto za usafiri mijini.
Baada ya kusoma taarifa hii, nimekuwa...
Mheshimiwa Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
📍Dodoma.
🗓️Desemba 11, 2025.
Watu watano ambao ni madereva bodaboda wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na lori lililofeli breki eneo la Dodoma Makulu jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Lori lilikuwa linatokea kwenye barabara inayotokea Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) ambapo lilifeli breki na kwenda kuparamia Kijiwe...
Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama.
Vipi hali huko mitaani wakuu?
Hii ni kwenye siasa wanasema tofauti ni kwamba Singida watoto wao walikuwa wanapelekwa shule za kaskazini kama Ilboru, Weruweru ndiyo imechangia Kitima,
Mkumbo, Lissu, Nyalandu, Mwugulu na wengineo wakati Dodoma zilipendwa wakina Malecella na spika Ndugai. Je kuna ukweli?
TANGAZO: FUNDl UMEME WA MAGARI
Unahitaji fundi umeme wa magari?
Nipo tayari kukuhudumia kwa weledi na kwa wakati!
Huduma ninazotoa:
🔧 Uchunguzi wa matatizo ya umeme (diagnosis)
🔧 Kurekebisha na kufunga starter & alternator
🔧 Kurekebisha mifumo ya taa za gari
🔧 Programu na ufungaji wa computer...
Kuna watu wamevurugwa kinoma!
==========
Watu wasiojulikana wamevamia Makaburi ya Dodoma, yaliyoko katika Mtaa wa Mageuzi, Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga na kuvunjavunja vigae na kuiba clips zinazoshikilia vigae vilivyowekwa kuimarisha na kupendezesha makaburi hayo.
Kuna hii video ya huyu dada anatokea huko Marekani anadai kwamba moja ya msanii kutoka Tanzania alipaswa kufanya show weekend hii lakini show hiyo imebuma kabisa kutoka na Raia wa Tanzania wanaoishi huko Marekani kucancel tekiti na wale walinunu kuzichana.
Na kuwataka wasanii hao wakapige show...
DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.
Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
dkt. mwigulu nchemba
dodoma
kassim
kassim majaliwa
majaliwa
mkuu
mstaafu
mwigulu
mwigulu lameck nchemba
novemba
ofisi
ofisi ya waziri mkuu
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mstaafu
Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma likithibitisha kushambuliwa kabla ya kifo cha aliyekuwa mchekeshaji na mshereheshaji, Emmanuel Mathias maarufu MC Pilipili, suala la kuwatambua waliomshambulia, limebaki kuwa giza nene.
MC Pilipili aliyekuwa mkazi wa Swaswa Jijini Dodoma, alifariki dunia...
Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 katika Chamwino, Dodoma. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa Tanzania katika...
Mwanzoni walikuwa kejeli kibao kila siku wako dar na kupaponda dodoma, mara sijui kukame, mara jangwani, hakuna chochote mambo yote dar, na kweli mambo yote yalikuwa dar.
Cha ajabu siku hizi Dar hatuwaoni tena wamejifungia Dodoma city, imekuwaje tena wakati mlikuwa mnapaponda? hata kuapishana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.