Maisha ya Kenani Kihongosi ni somo; hii ndiyo safari yake Kiongozi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,895
940
JE, WAJUA?

Maisha ya Kenani yanatupa Somo

- Amekuwa Waziri Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa

- Amekuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya vyuo vikuu Tanzania TAHLISO

- Amekuwa mjumbe wa Kamati ya Siasa Tawi.

- Mjumbe wa Kamati ya siasa Kata.

- Mjumbe halmasahuri Kuu ya Wilaya.

- Mjumbe wa Kamati ya siasa ya Mkoa.

- Mjumbe wa halmashauri kuu ya Mkoa.

- Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa,

- Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

- Amegombea udiwani akakosa

- Akagombea uenyekiti UVCCM wilaya akakosa

- Akagombea uenyekiti wa UVCCM mkoa akapata

- Akaenda China kuwakilisha mkutano wa kiuchumi wa Vijana 2018

- Akateuliwa kukimbiza mwenge wa Uhuru kitaifa

- Akateuliwa kuwa DC Wialaya ya Arusha, baadae Akateuliwa tena Wilaya ya Iramba

- Leo Mwenyekiti wa CCM TAIFA Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Kamati Kuu ya CCM wanamteua kuwa katibu mkuu UVCCM Taifa.

Usikate tamaa, kuwa muadilifu, kuwa mzalendo, penda kujitolea na ishi kwa kuheshimu wengine. Wakati wa Mungu ukifika utainuka. Kazi iendelee

2816153_1624369816251.jpg
 
Hatuwezi kufanana CV
Akafanye kazi
Kuna watu wana CV page 18 akina Kakulwa
Akina kabudi unahitaji lecturer hours za kutosha kusoma CV yake
CV is just the words, akafanye kazi (In Magu's Voice)
Ni kweli kabisa ila kila mtu ana historia yake ya maisha ambayo imetofautiana na ya mwenzake, ila CV inasaidia kuonyesha uzoefu wa mtu katika kazi. Kuna majukumu ili upewe ni lazima tuangalie CV yako ili tujue kama hiyo nafasi unatosha au la!
 
Siyo lazima wote tupambane huko kwenye uvccm yenu! Sisi wengine tunapambana huku mtaani kiasi cha kuitwa Mabosi!
Yeah, pambana ndugu, kikubwa ni uipambanie ndoto yako. Mwingine ni mwanasiasa, mwingine ni mfanya biashara, mwingine ni mwana michezo, mwingine ni mtu wa Dini. Mwingine ni mkulima au mfugaji. Pambana and make sure you die empty.
 
Kuna kipi cha kujifunza hapa.....hamna chochote acheni ushabiki vijana fanyeni kazi. Ujinga mtupu kusifia sifia tu. what is so special hapo? Tuna kazi ya kukuza uchumi wa nchi tukafanye kazi.
 
Kila mtu anapambana kwenye nafasi yake.

Wengine wanapambana huku mitaani.

Nyie mnapambana kwenye siasa!

Ova
Hivi Hana konekisheni kwenye system, ie Hana wanaombeba? Maana kwenye siasa Ni kubebana, not meritocracy
 
Hiyo yote ni life history wala siyo CV, hakuna Mtanzania hata yule asiyesoma ambaye Hana life history. CV hipimwa kwa deliverables tu.

Usitupotezee muda na Kihongosi wako bado hana lolote
Nakubaliana na wewe. CV huwa inaonyesha achievements by merit! Kwenda kwenye mkutano China is not by merit, alishindana na Nani akapata hiyo achievement......
 
JE, WAJUA?

Maisha ya Kenani yanatupa Somo

- Amekuwa Waziri Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa

- Amekuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya vyuo vikuu Tanzania TAHLISO

- Amekuwa mjumbe wa Kamati ya Siasa Tawi.

- Mjumbe wa Kamati ya siasa Kata.

- Mjumbe halmasahuri Kuu ya Wilaya.

- Mjumbe wa Kamati ya siasa ya Mkoa.

- Mjumbe wa halmashauri kuu ya Mkoa.

- Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa,

- Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

- Amegombea udiwani akakosa

- Akagombea uenyekiti UVCCM wilaya akakosa

- Akagombea uenyekiti wa UVCCM mkoa akapata

- Akaenda China kuwakilisha mkutano wa kiuchumi wa Vijana 2018

- Akateuliwa kukimbiza mwenge wa Uhuru kitaifa

- Akateuliwa kuwa DC Wialaya ya Arusha, baadae Akateuliwa tena Wilaya ya Iramba

- Leo Mwenyekiti wa CCM TAIFA Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Kamati Kuu ya CCM wanamteua kuwa katibu mkuu UVCCM Taifa.

Usikate tamaa, kuwa muadilifu, kuwa mzalendo, penda kujitolea na ishi kwa kuheshimu wengine. Wakati wa Mungu ukifika utainuka. Kazi iendelee

Ajirekebishe, aache kuropoka ropoka. Kwa ujumla sasa akue. Tatizo la UVCCM ni uuaji.
 
Back
Top Bottom