#COVID19 Ikulu, Dodoma: IMF kusaidia Tanzania kupata fedha kukabiliana na athari za COVID-19

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
IKULU, DODOMA: Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) Abebe Selassie amesema Shirika hilo litasaidia Tanzania kupata fedha kwa ajili ya kuimairisha sekta zilizoathiriwa na COVID19 ikiwemo Afya, Utalii na Maji

Ameeleza hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais Samia Suluhu Hassan

FFA9595B-CBFA-4876-A01E-4062841F9FAD.jpeg
A543B71B-A240-4E80-8D5D-AB9561786B39.jpeg
C5C9E79E-6108-4526-93F5-E6AB30A6666D.jpeg
 
Maisha ya watanzania hayawezi kuyumbishwa na hawa wanaotaka kujipatia fedha kupitia watu... baada ya kuwekeza katika kukusanya kodi wanataka kujiwekeza ktk kujipatia fedha kwa njia za kutengeneza hivi kweli Tanzania hasa kipindi hiki tunaitaji kukopa pesa kwa ajili ya Corona kweli?? 😢😢😢 huyu mama mbona anataka kutuleta vitu vya ajabu namna hii

Najiuliza hawa wanaosema Sijui 3 wave haya wakina Mbowe wameshapiga vaccination kwa maana ya kinga lakini kutwa wanavaa barakoa utadhani madoctor wa chumba cha upasuaji sasa najiuliza kama mtu umepiga kinga dhidi ya ugonjwa fulani mfano leo watuambie hii ni kinga dhidi ya ukimwi lakini hao hao waliotuuzia kinga bado wanatusisiza matumizi ya Condom wkt wa mibunyo , mtu mwenye akili lazima ashangae huu ujinga na uhuni unaotaka kuletwa na hawa wahuni.

Serikali yote ilikuwepo ktk wave zote 2 wengine mpk wakajikuta kama madoctor manyau nyau hv leo waziri wa afya na msaidizi wake wakiangalia ule uganga waliokuwa wanaufanya leo wanaongea mengine ndo maana nasema Mwafrica ni kiumbe wa ajabu kabisa kuwahi kuwepo Duniani

Nitaendelea kumuona JPM kama Rais bora kuwahi kutokea Tanzania mtu anayeamini possible ndani ya impossible... baba pumzika mtihani huu uliushinda tena kwa ushindi mkubwa sana miezi 3 toka uondoke tayari mwezio ameshindwa nakumbuka JK kuna kipindi Donald Cameroon waziri wa UK alisema "bila Africa kuruhusu ndoa za jinsia moja hawawezi kupata misaada ya UK na washirika wake" JK alishinda ule mtihani najiuliza ingekuwa kipindi hiki sijui ingekuwaje ...tungekuwa tunahudhulia harusi za watoto wetu wa kiume wakiolewa na madume menzao na watoto wa kike wakiolewa na majike menzao 😢😢😢
 
Fedha kusaidia kuimarisha sector zilizo athirika na korona kama utalii maji nakadhalika.

Unajitoa ufahamu wewe msukule wa Jiwe.
Sector wanazodai zimeanguka ndo hawahawa walisema zimetufikisha uchumi wa kati!

WB ndo ilidai Tanzania imeingia uchumi wa kati baada ya kukabiliana na madhara ya Covid!

Uchumi wetu haukushuka to negative bali ulikuwa very positive yaani 4.6!!! Sasa haya yanatoka wapi? Yaani Afrika kwakweli!
 
Maisha ya watanzania hayawezi kuyumbishwa na hawa wanaotaka kujipatia fedha kupitia watu... baada ya kuwekeza katika kukusanya kodi wanataka kujiwekeza ktk kujipatia fedha kwa njia za kutengeneza hivi kweli Tanzania hasa kipindi hiki tunaitaji kukopa pesa kwa ajili ya Corona kweli?? 😢😢😢 huyu mama mbona anataka kutuleta vitu vya ajabu namna hii

Najiuliza hawa wanaosema Sijui 3 wave haya wakina Mbowe wameshapiga vaccination kwa maana ya kinga lakini kutwa wanavaa barakoa utadhani madoctor wa chumba cha upasuaji sasa najiuliza kama mtu umepiga kinga dhidi ya ugonjwa fulani mfano leo watuambie hii ni kinga dhidi ya ukimwi lakini hao hao waliotuuzia kinga bado wanatusisiza matumizi ya Condom wkt wa mibunyo , mtu mwenye akili lazima ashangae huu ujinga na uhuni unaotaka kuletwa na hawa wahuni.

Serikali yote ilikuwepo ktk wave zote 2 wengine mpk wakajikuta kama madoctor manyau nyau hv leo waziri wa afya na msaidizi wake wakiangalia ule uganga waliokuwa wanaufanya leo wanaongea mengine ndo maana nasema Mwafrica ni kiumbe wa ajabu kabisa kuwahi kuwepo Duniani

Nitaendelea kumuona JPM kama Rais bora kuwahi kutokea Tanzania mtu anayeamini ktk possible ktk impossible baba pumzika mtihani huu uliushinda tena kwa ushindi mkubwa sana miezi 3 toka uondoke tayari mwezio ameshindwa nakumbuka JK kuna kipindi Donald Cameroon waziri wa UK alisema bila Africa kuruhusu ndoa za jinsia moja hawawezi kupata misaada ya UK na washirika wake JK alishinda ule mtihani najiuliza ingekuwa kipindi hiki sijui ingekuwaje tungekuwa tunahudhulia harusi za watoto wetu wa kiume sasa 😢😢😢

..mnaounga mkono mawazo na falsafa za Jpm mnatakiwa muunde chama kipya, kitakachoendeleza mawazo na falsafa hizo.

..mama amekuja na mitazamo na falsafa mpya na hicho ndicho kitakachotekelezwa akiwa madarakani.
 
Rais wa kupenyezewa. Baada ya wale wa bandari Bagamoyo kupenyeza lao sasa ni zamu ya imf. Watanzania mkae mkao wa kunyolewa awamu hii kazi mnayo.
 
Kenya walikopa pesa nyingi Sana IMF kwa kisingizio sawa na hiki but mpaka Leo wahudum wa afya wanaohudumia wagonjwa wa korona wanalia njaa, vifaa hakuna Wala risk allowance. Pesa zimeishia kwenye mifuko ya watu. Anyway, tukope ili tufanane na wenzetu huko duniani.
 
IKULU, DODOMA: Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) Abebe Selassie amesema Shirika hilo litasaidia Tanzania kupata fedha kwa ajili ya kuimairisha sekta zilizoathiriwa na COVID19 ikiwemo Afya, Utalii na Maji

Ameeleza hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais Samia Suluhu Hassan

View attachment 1834747View attachment 1834748View attachment 1834749
 
Maisha ya watanzania hayawezi kuyumbishwa na hawa wanaotaka kujipatia fedha kupitia watu... baada ya kuwekeza katika kukusanya kodi wanataka kujiwekeza ktk kujipatia fedha kwa njia za kutengeneza hivi kweli Tanzania hasa kipindi hiki tunaitaji kukopa pesa kwa ajili ya Corona kweli?? 😢😢😢 huyu mama mbona anataka kutuleta vitu vya ajabu namna hii

Najiuliza hawa wanaosema Sijui 3 wave haya wakina Mbowe wameshapiga vaccination kwa maana ya kinga lakini kutwa wanavaa barakoa utadhani madoctor wa chumba cha upasuaji sasa najiuliza kama mtu umepiga kinga dhidi ya ugonjwa fulani mfano leo watuambie hii ni kinga dhidi ya ukimwi lakini hao hao waliotuuzia kinga bado wanatusisiza matumizi ya Condom wkt wa mibunyo , mtu mwenye akili lazima ashangae huu ujinga na uhuni unaotaka kuletwa na hawa wahuni.

Serikali yote ilikuwepo ktk wave zote 2 wengine mpk wakajikuta kama madoctor manyau nyau hv leo waziri wa afya na msaidizi wake wakiangalia ule uganga waliokuwa wanaufanya leo wanaongea mengine ndo maana nasema Mwafrica ni kiumbe wa ajabu kabisa kuwahi kuwepo Duniani

Nitaendelea kumuona JPM kama Rais bora kuwahi kutokea Tanzania mtu anayeamini possible ndani ya impossible... baba pumzika mtihani huu uliushinda tena kwa ushindi mkubwa sana miezi 3 toka uondoke tayari mwezio ameshindwa nakumbuka JK kuna kipindi Donald Cameroon waziri wa UK alisema "bila Africa kuruhusu ndoa za jinsia moja hawawezi kupata misaada ya UK na washirika wake" JK alishinda ule mtihani najiuliza ingekuwa kipindi hiki sijui ingekuwaje ...tungekuwa tunahudhulia harusi za watoto wetu wa kiume wakiolewa na madume menzao na watoto wa kike wakiolewa na majike menzao 😢😢😢
Kaka bado hujaelewa kusudi la barakoa ni nini? Ni hasahasa kukinga wengine, halafu pia kujikinga mwenyewe kiasi.
Barakoa za kawaida zinapunguza kidogo matone madogo kwenye hewa unayovuta ndani (ziko pia barakoa zenye bei kiasi ambazo zinakukinga zaidi, si zile za kawaida). Lakini hata barakoa sahili inapunguza sana matone unayotoa nje kutoka mdomo wako. Virusi vinasambaa kupitia matone hayo madogo (ambayo huwezi kuona).
Mtu aliyepokea chanjo mara nyingi ataugua au angalau hataugua vibaya, lakini bado anaweza kubeba virusi kadhaa hivyo anaweza kuambukiza wengine.

Basi hii ni sababu hata watu waliopata chanjo wanashauriwa wavae barakoa wakiingia penye watu wengi, hasa ndani ya chumba.
 
Back
Top Bottom