Kama kuna uwezekano wa bahari ya Hindi kupita Dodoma na Morogoro CHADEMA mnaweza pia kuingia Ikulu

Kama kuna uwezekano wa bahari ya Hindi kupita Dodoma na Morogoro CHADEMA mnaweza pia kuingia Ikulu

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,430
Reaction score
49,138
CHADEMA hii ambayo naiita chama cha kudandia kila jambo linalotokea duniani na Tanzania isahau kuingia Ikulu, labda Mungu aamue kubadili mfumo wake wa Dunia ambao kwa malaki ya miaka haujabalika.
Dodoma ipite bahari, Morogoro ipite bahari au iwepo bahari ndipo CHADEMA huenda wakaingia Ikulu kuongoza nchi.

Yes, inawezekana ila ni miaka mingi sana, malaki na mamilioni ya miaka mbele. Si CHADEMA hii ya Heche au ya watoto na wajukuu wao. Hii nchi haipo tu hewani, kuna watu wanawaza usiku kucha namna gani iendeshwe. Mtu ambaye amekosa matumaini anasibiri mafuta yapande aanze kushangilia.

Mtu ambaye anasubiri Treni ya mwendokasi ikwame au ipate ajali iue watu apate ajenda huyo utampaje nchi?
Mtu ambaye leo hii vijana wa chuo kikuu wakilalamika pesa ya kujikimu imechelewa ndio furaha yake akidhani huenda vijana hao wataamsha hasira waanze kuandamana mpaka Rais akimbie Ikulu wapate kuingia wao.

Chama ambacho viongozi wake na members wake wanatamani Trump atume jeshi kuja kumpindua Rais Samia bila kujua kuwa Trump hapiganii Demokrasia ya Dunia bali anapigania uchumi wa Marekani tu.
Jana CHADEMA na Wafuasi wao wamewacheka sana wana CCM kwa kuwaambia watumie kadi za CCM kupata mafuta kwa bei rahisi.

Hoja hii ni ya mtu aliyechsnganyikiwa kabisa. Hao CHADEMA ndio wanaofurahishwa na vamia vamia za Trump na hii hali ya mafuta ni effects za za Trump's regime kwanini wafurahie? Wana CCM ndio walipaswa kuwaambia wana CHADEMA kuwa ongezeko la bei ya mafuta ni matundo ya furaha ya wana CHADEMA wanaomuunga mkono Trump na harakati zake.
 
Nmeambiwa nikiwa na KADI ya CCM nitauziwa mafuta bei ya chini kabisa ...
 
Chadema yenyewe muasisi wake alikuwa ni Baba yake mbowe Partner wa Nyerere kuamini kwamba ccm inaweza kutolewa madarakani na hivi vyama vilivyopo it's an illusion

Kwanza haiwezekani labda chama tawala kiende against na wakubwa wa duniani, Kisha wakubwa hao waamue kupindua meza like it was Kwa Mobutu seseko kama mpaka watu wameuliwa Kwa kiwango kile and still ccm wana penetrate Bila ya hata kuchukuliwa hatua yoyte people they need to know Ccm ni lishetani likubwa sana na kuliangusha kwake wanapaswa kuwa na supporters wakubwa sana wa kimataifa ambao wame amua haswaa kuwa vua nguo ccm na sio Kwa movement za mange kwenye siasa Kila kitu kinacho fanyika lazima kuwe na something in return

Huwezi kupewa support na Watu wa Serikali za kimataifa wakati hakuna kitu ambacho wao watakacho nufaika nacho behind the scenes, Huo ndio uhalisia , hayo mengine huwaga tunajilisha matango pori
 
Mshauri mamaduro aache kutumia polisisiemu na wizi uone muziki wake! Mnabwabwaja wakati muda wote mna hujuma za waziwazi, mamaduro akisikia jina la Lissu anaingia uvunguni! Kila siku mnaimbishwa haiwezekani wakati wanaowaimnbisha wanahara na kuwafungia magereza, mapolishi post, macentral na majaji chawa wapo busy kutoa hukumu za kubeba chama chakavu!

Mlicheza sana na mbowe sasa hivi chadema ni imani yani, madebe yote mtapiga na hamtaeleweka
 
Nyie Matahira leo mnasema CCM inatawala kwa hisani ya polisi mmemsahau kauli zenu kuelekea October 29 mlijifariji kuwa Tanzania ina polisi wachache hivyo mtawadhibiti kwa mda mfupi tu.
Dakika chache mkaanza kulia mkiwa mmejifungia ndani mnakunywa uji.
Tokeni tena tuwafute kabisa na hakuna cha ICC wala nyau nyau.
WAHARIBIFU wa amani ya Tanzania ni shaba tu
 
Kwa hiyo umeprove mamaduro kawekwa kwa nguvu ya polisisiemu, sina swali zaidi
 
Back
Top Bottom