dodoma

  1. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Inapotajwa Mwanza, Dodoma, Dar es salaam, Arusha, Tanga, Mbeya nk Zanzibar hakuna jiji?

    Ni ubaguzi ulioje.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kinyozi Dodoma

    Wakuu kama Kuna mtu unamfahamu Yuko Dodoma ni kinyozi anahitajika ,Kuna saloon ya kawaida inahitaji Kinyozi .ataachiwa ofisi awe anatoa kipande Kwa boss
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutanana Amina J. Mohammed Dodoma

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 11 Septemba 2021: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina J. Mohammed, Ikulu Chamwino, Dodoma. Mazungumzo yalihusu ushirikiano wa UN na Tanzania, maendeleo endelevu, afya ya mama na mtoto, maji safi na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) turejesheeni malipo yetu ya Ada yaliyozidi, mnatuzungusha kila siku

    Nilihitimu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Mwaka 2025 katika Shahada ya Bachelor of Science in Telecommunication Engineering, kero yangu ni kuhusu fedha za overpayment ambazo tulipaswa kurejeshewa baada ya kumaliza masomo. Baada ya kuhitimu, wahitimu tuliandika barua za kuomba kurejeshewa fedha...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni za Watoza Ushuru Dodoma haziwalipi Watu Wanaokusanya Ushuru hasa Halmashauri ya Jiji

    Kuna changamoto kubwa sana kwa WATOZA ushuru, hasa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, unakuta Mzabuni anachukua tenda ya mwaka mmoja, mkataba ukiisha, wale wakusanyaji ushuru (watendaji waliokuwa wakifanya kazi) wanaachwa bila kulipwa na hawana sehemu ya kulalamika. Mfano, kuna kampuni moja...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma unazinduliwa kesho Spetemba 8, 2026

  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Mtu anayesema Maendeleo Hayafanyiki Anapotosha, Miradi Yote ya Kimkakati Inaendelea

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kufanya kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo wananchi. Kihongosi amesema kuwa watu wanaodai kuwa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Afuta Zoezi la Usafi Lililokuwa Likifanyika Kila Jumamosi

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ametangaza kufutwa kwa zoezi la usafi lililokuwa likifanyika kila Jumamosi katika Mkoa wa Dodoma. Akizungumza katika tukio hilo, Mkuu huyo wa Mkoa amesema hatua hiyo imechukuliwa kutokana na sababu mbalimbali, huku akisisitiza umuhimu wa wananchi kuendelea kutunza...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Ifikapo 2030 wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM waje Dodoma wakiwa SGR kutoka Mwanza

    ▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji. ▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa. ▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi, kwa kushirikiana na Shirika la Reli...
  10. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Jinsi wimbo, "Singida Dodoma" ulivyogeuka mwiba mkali kwa wanawake wasio na makebo makubwa

    Yaani siku hizi wanamke akipita mbele ya wanaume bila wimbo, "singida Dodoma" kusindikiza hatua zake, basi mambo kadhaa lazima yatokee. 1. Atakumbilia uturumia (kama ana pesa). 2. Atapatwa na msongi wa mawazo na kushindwa kujiamini akatizapo mbele za watu na hivyo atajifungia ndani n.k...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Afungua Kongamano la 5 la Kitaifa Dodoma

    https://www.youtube.com/live/XCDPRo8_24s?si=IW7oNMtLDpnRMsbH LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo September 03,2026 ni Mgeni Rasmi ufunguzi wa Kongamano la Tano la Kitaifa Ushiriki wa Watanzania. Hafla hiyo inafanyika katika ukumbi wa mikutano wa PSSSF, Makole jijini Dodoma
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kinyozi anahitajika dodoma

    Kinyozi anahitajika dodoma akabidhiwe ofisi.kama uko interested nicheki PM
  13. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026.
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu waajiriwa Januari 2026 Wilaya ya Mpwapwa, hatujapewa fedha za kujikimu

    Sisi walimu walioajiriwa Januari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma, hatujapewa fedha za kujikimu. Mamlaka zimekuwa zikituzungusha bila majibu ya msingi. Tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu ili suala hili lipatiwe ufumbuzi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi , Mkuu wa Kanda ya Mauzo Vodacom Dodoma kanda ya Mvumi (Css) Anayofuraha kutangaza nafasi za kazi ya Team Leaders na Freelancers.

    Nafasi hizo ni kwaajili ya kukuza mauzo katika kanda ya Mvumi Territory ya Dodoma Vigezo 1. Ajuwe kusoma na kuandika 2. Awe na smartphone 3. Awe na akili timamu 4. Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea 5. Upande wa Tl Awe na uwezo wa kusimamia timu Elimu zaidi ya kidato cha 4 ama sawa na...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi katika Misa Dodoma

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na familia yake wameungana na waumini mbalimbali katika kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Tarehe 30 Agosti 2026.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makamu wa Rais ukiondoka bungeni Dodoma

    Habari ndiyo hiyo.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Asubuhi kuna karibia

    Nikiwa miongoni mwa waombaji tuliopata neem ya kuhudhuria kongamano la 18 la maombi ya kutafita makao makuu ya serikali Dodoma. Miongoni mwa masomo ambayo tulipata kujifunza ni juu ya umuhimu wa kuomba kwa habaro ya Nchi. Mtumishi wa Mungu Mwl Mwakasege alitufundisha faida 7 za kuombea nchi na...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati, kabla ya kudai-ulizeni kwanza! Deogratius John Ndejembi ni kijana wa Dodoma

    WANAHARAKATI, KABLA YA KUDAI-ULIZENI KWANZA! DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI NI KIJANA WA DODOMA. Wanaharakati, kama hamjui jambo fulani, ni vyema kuuliza. Kuna watu wako tayari kuwasaidia kupata taarifa sahihi badala ya kukurupuka na kutoa hitimisho lisilo na msingi. Jambo dogo kama kutokujua asili...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.
Back
Top Bottom