dodoma

  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Makosa makubwa sana yalifanyika 2015 pale Dodoma kumpa nafasi Magufuli na kumuacha lowassa

    Hili lilikuwa jaribio hatari la usalama na ndilo pigo kubwa zaidi tulilopata kama taifa.
  2. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Nimedokezwa, Palamagamba Kabudi ameongezewa ulinzi kuelekea Mkutano wa Dharura wa CCM huko Dodoma

    Je ndio mrithi ajaye baada ya huyu wa sasa aliyekaliwa kooni?
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Mabasi ya Machame Investment Arusha na Dodoma ruhusuni abiria wenu watumie vyoo bila kulipia

    Ofisi za Kampuni ya Mabasi ya Machame Investment Arusha waweka huduma ya choo lakini ni ya kulipia hata kwa abiria, unapaswa kulipia Shilingi 300 hata kama una tiketi. Jambo hili lipo pia katika Ofisi ya Machame Dodoma njiapanda ya Area c, kuna choo ambacho ni cha kulipia nafikiri siyo kitu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haina utaratibu mzuri wa kusikiliza Wananchi wanaohitaji huduma za Afisa Elimu

    Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haiko na utaratibu mzuri wa kusikiliza Watu wanaohitaji huduma za Afisa Elimu. Nimekuwa nikifuatilia barua ya ruhusa wiki mbili sasa lakini kila nikienda nakutana na PS naambiwa mpaka boss awepo. Akija Afisa Elimu anakaa dakika tano ofisini kisha anatoka...
  5. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya bongo fleva, Dodoma yaipiku Dar es salaam mbali sanaaaaa, ili bidi ukuta uvunjwe, ili watu wapate nafasi

    Sio poa Dodoma wameweka historia ya kipekee unaambiwa chinangali ili pelea kutokana na mauzo ya TIKETI kuwa makubwa kilicho fuata ikabidi ukuta uvunjwe pia kuunganisha Hadi parking, ili watu wapate nafasi. Ikumbukwe Diamond katoka kufanya show juzi kwenye tour yake lakini haikua nyomi ka Hil...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu ilipo ofisi ya Kampuni ya mabasi ya Mozaico jijini Dodoma na Mawasiliano yao.

    Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mafisadi pia wanasafishia pesa zao Dodoma, inflated real estate

    Kiufupi hii nchi Kwa Sasa Kuna watu wamepata pesa nyingi sana ,kupitia ufisadi wa kiserikali kuliko walivyopata pesa nyingi kupitia madawa ya kulevya huku nyumba, huko zikiwa zote hizi ni utakatishaji wa Fedha Sasa wanasiasa waizi, na washirika wao wanapesa nyingi sana na sio kwamba ni ma drug...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva 30 Dodoma

    Hili tamasha la bongo fleva 30 dodoma linarushwa kwenye website gani?
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wanaodai kwamba Jiji la Dodoma Linaongoza Kwa Maisha Ghali Hawajawahi Ishi Arusha.Dar level ya Maisha unapanga mwenyewe kuanzia ya chini Hadi Juu.

    Mtu hajatembea harafu anafika conclusion.Tafureni pesa acheni kulalamika.
  10. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania COPPER MINING FOR SALE,LOCATED AT MPWAPWA DODOMA

    Copper Mines For Sale 📍Location - Kitati, Mpwapwa, Dodoma ✅Laboratory Result is Coming from 1.2% To 3.7% and mined around 2000 Tons open Pit. ✅Vein Report is 18.5% ✅Full Documents with CSR Activity. ✅1 Container House Easy to come from SGR Station and return same day to Dar Es Salaam ✅5...
  11. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania COPPER MINING FOR SALE,PRICE TSH 2BILLIONS,LOCATED AT MPWAPWA DODOMA

    Copper Mines For Sale 📍Location - Kitati, Mpwapwa, Dodoma ✅Laboratory Result is Coming from 1.2% To 3.7% and mined around 2000 Tons open Pit. ✅Vein Report is 18.5% ✅Full Documents with CSR Activity. ✅1 Container House Easy to come from SGR Station and return same day to Dar Es Salaam ✅5...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania TAG na EAGT wamaliza Mgogoro wa miaka 40 leo 21-8-2026 Dodoma!

    Mgogoro kati ya Tanzania Assemblies of God (TAG) na Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) ulianza mwaka 1991 kufuatia mfarakano wa kiuongozi na kikatiba kati ya viongozi wakuu, ambapo Mchungaji Moses Kulola aliongoza kundi kubwa kujitenga na kuanzisha EAGT kutokana na kutoelewana na...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ardhi Msaidizi - Dodoma: Upimaji ulizingatia Pagara, nyumba, msingi siyo kuwa na ardhi pekee

    Kamishna wa Ardhi Msaidizi - Dodoma Godfrey Mwamsojo amesema mgogoro wa Kiwanja Plot no 42 Kitalu B kilichopo katika Mtaa wa Image, Kata Kikuyu Kusini (South extension) Jijini Dodoma ni kwamba uhakiki umeonesha mmiliki halali ni Adelaide Henry Mkoko na si mama Exaud Sudda ambaye alikuwa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Chalamila atusaidie na Dodoma , Bus zirudi 8 x 8

    Nimpongeze Kwa KAZI nzuri ya kurudisha mabasi Nane nane, Chalamila anafanya Jema litakalochochea uchumi, kitendo cha kuua stendi zote bubu Mtaani na shekilango ni cha kishujaa, mana zinachafua mji. Sasa Ajue KWAMBA mkuu wa Mkoa mwenzake Huku Dodoma I.e Dada Rosemary yeye Amelala Tu, Huku Makao...
  15. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuona wine ya 1000? Njoo Dodoma

    Baada ya kuingia duka la Mangi nimekutana na wine ya Tshs 1000 ilibidi niulize bei mara mbilimbili. Nimependa strategy ya hawa jamaa, kutokana na ushindani mkubwa sokoni mengi yatajitokeza. Ujazo - 200ml Abv 14%
  16. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Nakodisha Ps4 elfu tano kwa siku, natengeneza Pads za ps4 na ps5, narusha Games za ps4 na ps5 nipo Dodoma ukihitaji huduma Tuwasiliane

    Habari, kama maelezo yalivyo hapo Nakodisha Ps4, Pia Ps4 na Ps5 zinapatikana kwa bei nafuu pamoja na Pads zinapatikana ukihitaji Tuwasiliane nipo Dodoma.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nyumba iliyokuwa na mgogoro ikidaiwa hati imebadilishwa bila ridhaa ya wahusika yabomolewa Kikuyu Dodoma

    Nyumba hiyo iliyopo katika Mtaa wa Image, Kata Kikuyu Kusini (South extension), Plot no 42 Jijini Dodoma imebomolewa Agosti 18, 2026. Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje mtu mwenye tiketi analazimishwa kulipia ushuru wa kuingia katika Stendi ya mabasi 88 Dodoma?

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma inawaibia abiria waliokata tiketi kupitia mfumo kwa kuwalazimisha kulipia ushuru wa kuingia stendi na kupanda mabasi. Hili ni jambo lisilo sahihi ambalo sijawahi kuliona katika stendi nyingine za mikoani. Ndiyo maana baadhi ya abiria wameanza kuepuka kupandia...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Heche kwa BAVICHA Jijini Dodoma ni moto wa kuotea mbali. Heche angekuwa na Bei CCM wangempa hata Bil 1

    Ukimsikiliza kwa makini Heche anaeleweka sana. Amejenga ushawishi mkubwa sana hapa Tanzania. Ni hakika Heche ni tatizo la CCM. Ni Hakika Heche ni Tunu ya Taifa. Vigogo wa Chadema mliojipanga kufanya fujo acheni huo mchezo. Kwa Heche mtaumbuka. Umma uko na yeye na Mnyika. Lissu anamkubali.
  20. W

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme Dodoma 0678 386587

Back
Top Bottom