Imekuwa ni kawaida sana kwa viongozi wetu wa dini kutuhamasisha kutumia haki zetu kama raia wa Tanzania kushiriki katika chaguzi mbalimbali kuanzia kujiandikisha kupiga kura na hata kuchagua viongozi tunaowataka.
Wakati wa zoezi la kujiandikisha kupiga viongozi hawa wa dini walituhamasisha...
Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
Karibu!
Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo.
Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video unaomuonyesha RC Makonda akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
======
Mkuu wa Mkoa wa Dar...
Kiongozi mkuu wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Uganda Bi. Edith Nakalema amewaomba viongozi wa dini kusaidia katika harakati za kukemea rushwa nchini Uganda.
Kiongozi huyo akiwa amehudhuria ibada ya Jumapili katika kanisa la Mtakatifu Paulo lililopo Mulango Jijini Kampala, amesisitiza kuwa...
Kila kona unayotembelea ndani ya nchi hii, hakuna habari nyingine unayokutana nayo, bali ni malalamiko ya vyama vya upinzani, kufanyiwa hila katika zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa kuenguliwa wagombea wake kugombea katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika hapa nchini, tarehe 24...
Kuelekea uchaguzi serikali za Mitaa mwaka na Uchaguzi mkuu mwakani, Wazee na Viongozi wa Dini watakiwa kutumia nafasi zao katika jamii ili wapatikane Viongozi bora kwa lengo la Maendeleo ya Taifa.
Hata hivyo wazee hao wamesema Wananchi wamekuwa wakikata tamaa kutokana michakato ambayo imekuwa...
Habari za kushinda.
Hapa majuzi nimesika Habari iliyonifanya kushtuka sana kimawazo juu ya huko tunakoelekea. Habari yenyewe ilikuwa ni juu ya papa wa roma kutoa kibali kwa mapadre wa jamii moja huko amerika kusini kuoa na kuzaa watoto. Ni habari inashtusha sana endapo itaendelea kutokea katika...
KAULI ZA KIPUUZI ZA VIONGOZI WA KISIASA DHIDI YA VYOMBO ZA DINI ZINAPASWA ZIPINGWE VIKALI
Na: Shujaa Charles Richard Mwaisemba (CRM)
Kwa muda mrefu sasa imeanza kuzoeleka na kuonekana ni desturi kwa viongozi wa kisiasa hasa hawa Ma-DC na RC(Wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa) kutoa...
Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?
Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake...
Akili ya mwanadamu inamuwezesha kungamua uwepo wa muumba wa viumbe vyote hapa duniani, uelewa juu ya muumba unaletwa na dini mbalimbali hapa duniani. Lengo la kuandika waraka huu ni kutaka kuonyesha kwamba hakuna haja ya kubishana dini ipi ni bora kwa sababu zote zinabeba ujumbe mmoja...
Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius Exiguu.
Hesabu hii haikuwa na uhakika na ilikuwa kimakadirio tu ya bwana Dionyius. Sababu kuu ya...
Habari Wana JF
Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence
Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu.
Sasa naendelea na hoja
kama kichwa...