Wasalaam,
Tarehe 24 viongozi wa dini wanategemea kufanya kongamano kuombea uchaguzi mkuu na taifa hii ni sawa kabisa.
Inasikitisha kuona viongozi wetu hawa wakichanganya dini na Siasa, mnafanya maombi huku mkipigia kampeni CCM haya ni machukizo mbele za Mungu. Mnamwalika mwenyekiti wa CCM...