dini

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanaokwenda kwa waganga wana hoja, wasibezwe

    Jumatano njema! Kuna ubaya kusema kila mtu anakula anakopeleka mboga? Wapo WaRC na Walokole wengi hukimbilia kwa waganga wa kienyeji na miilini wana chale za kutosha. Wana hoja, miaka ya leo utapeli umekuwa mwingi. Mchungaji anafukuza muumini kwa uzinifu wakati mwenyewe anazini. Watu...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kuwa na dini ni miongoni mwa vigezo vya kuwa kiongozi hapa nchini? Kwanini?

    SWALI: Ningependa kuuliza swali hili swali kwa wanachama wote wa hapa JF. Je, suala mtu kuwa na dini huwa pia ni kigezo kinachotumika kwa mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika hili taifa? Mfano wa hizo nafasi za uongozi ni Urais, Umakamu wa Rais, Uwaziri, Uspika, Unaibu waziri n.k Karibuni...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali: Kimaadili ya dini je mtu alietoa mahari nusu humalizia kulipa iliyosalia kwa taratibu zipi ?

    Peace, Wakuu ningependa kujuzwa kwa misingi ya dini zetu Uislamu na Ukristu, je mahali iliyolipwa nusu humaliziwa kulipwa kwa utaratibu upi kimaadili ya dini zetu ?! Kwa majibu yatakayotolewa ningependa kupata rejea za maandiko najua jambo hili limeelezwa vyema katika vitabu vya dini hasa Uislamu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini waumini wengi wa Dini ya Kikristo wanaamini mkristo aliyefanikiwa ni mchawi au anatumia nguvu za Giza?

    Wakristo wengi wanamwomba Mungu awape maarifa ya kutafuta Mali.Wengi wanafanikiwa; wakifanikiwa Tu wenzao uacha kumtukuza Mungu Kwa kumpa utajiri mwenzao badala yake umwita freemason. Wachungaji wote waliofanikiwa nchini wanaitwa freemason. Wafanyabiashara nao freemason. Je, Mungu wa wakristo...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Wakristo wanaongoza kubaguana kuliko dini nyingine?

    Nimejaribu kuangalia hali ya upendo Kati ya madhehebu mbalimbali ya Kikristo, hali inasikitisha. Kila dhehebu linahubiri upendo kivyake ilhali wanawabagua wenzao wa dhehebu lingine.Hali hii inasababishwa na nini Je Kristo amegawanyika? Binafsi familia niliyotoka nimefanikiwa kuona SDA...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaojikita kwenye dini sana siwapendi na wachukia sana

    Dini mda mwengine ni uchizi na ujinga ukifata sana. mtu imani imemkaa mpaka mambo mengine kuendeshwa na mtu wa imani mwenzake. SITASAHAU: Mama mmoja kasababisha mtoto kufariki akishinda kumuombea kwa kudai mapepo wakati ni maralia. kisa chengine kuna ostadh ana wadanganya wasichana kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini mchungaji Leoni Kimaro asibadili dini na kuwa muslam au Roman Catholic?

    Hapo vip!! Ukweli ni kwamba mtu mnafiki ni mbaya kuliko adui uliokwisha kumuweka mbali...mnafiki nanmchawi huwa wanafanana kitabia. Moja kwa moja niende kwenye mada husika,ni hivi huyu mchungaji Kimaro wa kkt kijito nyama ni bora abadili dini na kuwa muslam au abadili dhehebu na kuwa Roman...
  8. JamiiForums Tanzania Bila dini sisi Waafrika tusingeishi?

    Habari wakuu. Nimeekaa na kuwaza na kuwazua hizi dini zimeletwa tumuogope MUNGU au tumpende MUNGU? Miaka ya tangu na tangu kulikuwa hakuna dini ila tuliamini kwamba kuna mbaye anaongoza hii dunia na vilinyo ndani yake.Tulitumia miti shamba kupona maradhi. Je ,Mababu zetu na mabibi zetu...
  9. JamiiForums Tanzania Umewahi kubadili dini na badae ukarudi dini yako ya awali? Ilikuwaje?

    Wakuu Habari za Jumapili? Binafsi sijawahi kubadili dini yangu ya awali, ila ninae kaka yangu yeye aliwahi kuhama kutoka KKKT, Full gospel, EAGT na saizi yupo kanisa lingine. Je, humu ndani tunao watu wenye kuhama hama ivo, Nini hasa sababu ya kufanya hivyo. Tunaomba mlete uzoefu.
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dini na mahusiano

    Wakuu habari, Kiukweli issue ya dini tofauti katika mahusiano inatesa sana, usiombe ikukute. Huyu mwanamke ameamua kubadili dini na kuwa mlokole wakati tulikuwa Catholic wote, saizi muda wote fireeee, fireeeee, fireeee.😬😬😬 Kazi hataki kufanya kazi kushinda kanisani, yaani hata akiona mjusi tu...
  11. JamiiForums Tanzania Udhaifu wa miili ya viongozi wa dini wasio ruhusiwa kuoa je vinahusiana na magonjwa

    Wadau naomba mnijuze, je wadhifa wa mtu unaweza kumfanya achoke mapema na kuanza kujisikia kuumwa sana hadi kufikia kuachia kiti. utakuta kiongozi wa dini haruhusiwi kuoa ila anapofikia umri wa 80 bas anakuwa mgonjwa na magonjwa makubwa ambayo humfanya aachie ngazi kuendelea na majukumu. Sisi...
  12. JamiiForums Tanzania Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

    Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya. Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
  13. JamiiForums Tanzania Al Shabaab walipua mabomu Somalia na kuua 19 na kujeruhi 52

    Al Shabaab wamelipua mabomu Somalia hakukaliki. Nineteen people have been killed in twin car bombings in central Somalia claimed by Al-Shabaab, a local militia commander in the Hiran region said. Two cars packed with explosives were simultaneously detonated in Mahas, a town in Hiran where a...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Dini zimegundua sayansi mbona sijaona mpaka leo mlichozindua zaidi ya kukata mwanadamu na vya Duniani?

    Nakasirika sana unasikia mtu ana kwambi sijui dini imegundua sayansi tena hawa ndugu zangu ndio kabisa ana kwambia sijui wanasayansi wanakopy kupitia kitabu kilichoshushwaz " hata ukiwauliza kilishushwaje kimya". Vitu vyote mnavyo tumia leo mnawaita makafiri !. kumbukeni teknolojia ilitoka kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna dini inawafanyia 'brain wash' washirika wake kila mwisho na mwanzo wa mwaka

    Twende kwenye mada direct. Kila wiki ya mwisho ya December kuna dini inawafanyia brain wash washirika wake. Hapo wanasahaualishwa waliyotabiriwa mwaka unaoisha ambayo ni hewa (hayajatimia) na kutabiriwa mambo mapya. Basi wanapigwa msasa mpaka wanafikia hatua kila muumini analiona ghorofa lake...
  16. JamiiForums Tanzania Al Shabaab wauana wenyewe ndani kwa ndani kule Somalia

    Al Shabaab) waanza kupigana wao kwa wao hii ni baada ya tofauti kuibuka kati yao, kuna baadhi ambao walitaka kujisalimisha kwa serikali, ila wengine wakagoma na kuapa kuendelea kumpigania "mungu" wao. The Federal government of Somalia has issued a statement announcing fresh fighting in the...
  17. JamiiForums Tanzania Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Wakuu kwema, Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani? Sihitaji Hadithi au andiko...
  18. JamiiForums Tanzania Mwaka Mpya: Mawazo ya viongozi wa dini yaliyonajisiwa kwa binadamu, nani mkweli?

    Happy New Year!. Hiyo ☝🏾 ndiyo salamu inayotolewa na kila mmoja kutakiana amani, furaha na shangwe kwa kuingia mwaka namba mwingine. Ilikuwa kama jambo la kawaida tu kupitia pitia misahafu na zamu ya mwezi huu unaopita ilikuwa ni Bibilia na nilibahatika kusoma kitabu cha Mwanzo eneo hili hapa...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini waonya tabia ya Viongozi wa Serikali kupenda kusifiwa

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wametoa ujumbe wa Krismasi kwa waumini wao, ukiwemo unaowataka viongozi wa Serikali kuwa makini na sifa wanazopewa na wateule wao kwa kuwa ni mbinu ya kuficha udhaifu. Vilevile, wamewataka viongozi pamoja na watendaji watumie sikukuu hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Nimelelewa na kusoma shule za Mapadri lakini ni Muislam safi tu. Habari za kubishana kuhusu dini hazina maana

    Kwa sisi watu tuliopata bahati ya kusoma maandiko Bible na Quruan huwezi kuona tunabishana kuhusu dini, maana maandiko ndiyo Maisha tulionza kuyaishi takribani miaka 7 hadi leo tumekuwa watu wazima. Kwahiyo, hizi ligi zenu kuhusu dini sahihi kati ya christian na uislamu, jibu ni moja; soma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…