dini

  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Shekhe kundecha apongeza elimu ya dini katka mtaala mpya

    Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?" "Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu) hapa...
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥

    Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥
  3. H

    JamiiForums Tanzania Je, bado kuna Waafrika wenye akili wanaoamini kuwa Uislam na Ukristo ndiyo dini za kweli za Mungu?

    Habarini, Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini. Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wachinja wanavijiji 52 kule DRC

    Magaidi wa uislamu wameingia kwenye vijiji na kuendesha shughuli za kuchinja tu, yaani maskini wanavijiji ambao hata msosi kwa siku ni shida, wanakutwa na kutiwa mapanga na watu wa dini ya muarabu.... Islamic State-backed rebels armed with machetes and hoes have killed at least 52 civilians in...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nalaani vikali eneo takatifu la Mahakama kugeuzwa na Chadema kuwa ulingo wa siasa, dini na vurugu

    Kila inapofika kesi ya Lissu au ya Chadema lazima kutokee tafrani ya wafugaji na Polisi, huu ni mchezo wa kifala sana unaochezwa na Kitengo cha propaganda cha chama hicho ili watanzania tuamini kuwa chama hicho kinaonewa na kinapambania haki, kamanda Muliro usikubali uhuni wa namna hiyo, upande...
  6. meningitis

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mmeishiwa mbinu? Serikali haina dini na haitaongozwa kwa misingi ya dini

    Naona aibu sana kuona chama ambacho kilikuwa kwenye ubora wa kipekee miaka kadhaa nyuma sasa kimeporomoka na kufanya vitu visivyoeleweka. Serikali haina dini japo watu wake ni waamini wa dini mbalimbali.
  7. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Wasioamini katika dini tukutane hapa!!

    Wapagani wenzangu, habari za jioni. Karibuni tujadili kuhusu Imani Yetu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mzungu mwanadamu pekee anaejitahidi kuisaidia dunia, waliobaki wapo kwajili ya matumbo yao, makabila yao, dini zao, n.k.

    Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu au mazingira. Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mama amshika pabaya mchungaji, Mungu kasema unipe laki sita

    Wakuu Mungu kasema na Mama ajabu mchungaji anajianya hasikii.😁😁
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanapenda sana kujadili mambo kwa mlengo wa dini

    Kuna mtu alituma andiko kua mafanikio ya taifa stars ni kua waislamu wamepewa nafasi. Hilo ni andiko la ajabu sana na huyu mtu ningekua na mlaka ningempa onyo kali sana kwa kuleta fitna. Kwenye sakata la wake wa Ndugai wapo wanaosema ndoa ya kwanza ya kanisa ndio inayotambulika kwakua hawa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Dkt. Malisa akisema kama hakutakuwa na Mabadiliko anayodai Viongozi wa Dini zote wataongoza maandamano

    Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi. Amesema amekuwa akiwasiliana na...
  13. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Bongo flava Samiri abadili Dini

    Kwanini kubadili Dini kutoka Ukristo kwenda uislamu inakua story Sana?? Na kwanini kutoka uislamu kwenda Ukristo inachukuwa kawaida tuu
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hakuna dini inayofundisha ukweli hata moja duniani

    Nini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani. Je dini zinafundisha ukweli , ? Hakuna dini yoyote yenye mafundisho ya kweli. Ila ni hadithi , na kawaida ya hadithi waweza pata kitu cha kujifunza chanya au hasi. Bibilia na Quruan - hivi vitabu vimeandikwa na watu havina uhusiano na Mungu...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

    Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa. 1. Dar es Salaam 2. Mbeya 3. Arusha 4. Kilimanjaro 5. Mikoa yote Zanzibar 6. Pwani 7. Lindi 8. Mtwara
  16. Wazolee

    JamiiForums Tanzania DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

    DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu DOGMA ndani ya ukristo 1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe wakati hakuna andiko linalosema hivyo 2) wameaminishwa kuwa ukristo ni dini...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mungu hana dini

    "Muumba alitupatia uzima - sio mafundisho na hekaya za kidini "Ukweli haumilikiwi na vitabu, mahekalu, au wanadamu. Ukweli unapatikana kwa kupatana na Nuru - katika matendo, nia, na ukumbusho." "Kila dini ilianza na mtu ambaye alikumbuka. Lakini mara tulipogeuza ujumbe wao kuwa udhibiti...
  18. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Wazazi, Mnamfundisha Mtoto Kuishi au Kuwa Mshika Maandishi? – Usimjengee Akili, Ukauwa Ujasiri Wake

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini dinosaria(Dinasours) hawazungumziwi kabisa kwenye vitabu vya dini?

    Mnyama wa urefu wa mita 13 na kimo mita 4 ni mkubwa sana na lazima awe jambo la kushangaza na gumzo kwa binadamu ila hawa wanyama hawatajwi kabisa kwenye vitabu vya dini! Haya hapa ni mabaki ya T.Rex Dinasour ambao katika evolution wanasemwa ndio ndugu wa karibu zaidi wa kuku wa leo.
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema Mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea

    Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea. Kuna hawa sijui wanatetea uislam, sijui wanamtetea allah, kuna hawa sijui wanatetea ukristo sijui wanamtetea yesu. alafu hapo hapo wanakwambia mungu wetu sisi ni muweza wa yote. Mungu hayupo hivyo...
Back
Top Bottom