dini

  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Napendekeza tupige marufuku dini zote na kurejea dini zetu asili

    Bila dini za kigeni na kishenzi tusingetawaliwa wala kupelekwa utumwani. Bila dini hizi, tusingeumizwa na kuawa hata kuuana na kuchukiana. Bila dini hizi, tuzingenyonywa na kuibiwa hadi majina na mila zetu. Bila dini hizi, tuzingegawanywa na kuchukiana huku tukishukiana. Bila dini hizi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya mambo viongozi wa Dini mnahitaji kupuuzwa na kudharauliwa, ni uchonganishi wenu wa kidini

    Nyinyi mmekuwa sababu ya nchi nyingi balani Africa kukosa Amani kwa uchochezi wenu na kuingiza waumini wenu kwenye vita vya kidini huku nyinyi mkiendelea kuishi kwa raha na kwa Amani tele na familia zenu Kwa Tanzania mtasubili sana kwa uchonganishi wenu Tutawapuuza na tumewapuuza Hamuwezi...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na siasa

    Viongozi wa Dini mbalimbali sasaivi wamekuwa ni sehemu ya kutetea mambo ovu yanayofanywa na wanasiasa. Nasikitika kusema ya kwamba, huko mbeleni kuna watu hawatokuwa wakienda nyumba za ibada tena hususani zinazoongozwa na viongozi wachumia tumbo. NOTE: Kadri dini zinavyojiingiza kwenye mambo...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kufuatia vitisho vya Masheikh Kwa TEC, Sasa kama ni Mbwai Wacha iwe Mbwai , Hatutaruhusu UHAI WA KIONGOZI DINI UKRISTO KUGUSWA, 9 Dec ni Maandamano

    Kuna Video inasambaa sana Kwa Kasi mtandaon, anaonekana MTU anayejiita Sheikh kwenye mkutano na Vyombo vya habari, AKIWATISHA MAASKOFU WA TEC. Sasa ni hivi, Mbinu yenu ya Kujaribu Kutisha Kanisa ili waingie kwenye huo upuuzi wenu wa MARIDHIANO, Umeshindwa. Hata mchochee Mpasuko wa KIDINI ili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri Dini ya Kiislam: Lissu aliposhambuliwa Dodoma, TEC hawakutoa tamko sababu rais alikuwa Mkatoliki; Ushahidi wa Tamko la TEC

    Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
  6. hamis77

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya viongozi wa dini Elimu zao ni ndogo?

    Awamu hii nimejiona ufinyu wa akili za baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu, ufahamu na uelewa wao ni tatizo kubwa kwa watu ambao wanawaongoza; kwamba RAISI akiwa Muislamu, akifanya makosa asielezwe kwa kigezo cha dini? WAKRISTO hawajaanza kukosoa leo, TUNDU LISU alipigwa risasi kwenye...
  7. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Dini ni Nguvu ya Taifa: Tuseme Hapana kwa Mauaji

    Katika kipindi hiki ambacho Tanzania inapitia changamoto mbalimbali za kijamii na kiutawala, ni muhimu sana kurejea kwenye misingi yetu kama taifa lenye amani, utu na heshima. Njia zinazotaka kutumika kwa sasa katika kushughulikia changamoto hizi hasa zile zenye dalili za ubaguzi au ukandamizaji...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amani kwanza, haki baadae ni Msingi wa dini mpya ya wasiojulikana?

    Salaam! Ni kama kuna dini na Imani mpya imeingia nchi ni, Kikundi na itikadi hii ya Siri imeingia kwa viongozi mbalimbali wa dini, wasanii, wanasiasa, polisi,waovu Katika makundi mbalimbali wakijaribu kuuaminisha umma wa watanzania kwamba AMANI ndio Msingi wa HAKI. Msemo huu unaoenezwa kwa...
  9. Pakome

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi wa Dini ni kama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi

    Baadhi ya viongozi wa dini nikama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi badala ya kumtumikia Muumba madhara ya kuchanganya maji na mafuta kwenye chombo kimoja na mwisho kuishia kutengana Kwa taarifa yao ni kuwa -Muumba hawaelewi -Serikali...
  10. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Hawawezi Kuiponya Nchi Lile Jeraha Ambalo Hawataki Kuliona

    Tanzania inapitia moja ya sura zake za giza zaidi tangu kupata uhuru. Matukio yaliyoambatana na uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025—uliogubikwa na madai ya ubakaji wa demokrasia, na ukandamizaji mkali wa maandamano ya vijana—yameitikisa nchi ambayo kwa muda mrefu ilijivunia utulivu wake. Mamia ya...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania mauaji na ukatili wa Oktaba 29 hayana dini, eneo wala jinsia

    Naona mashehe wengi ambao ni mashehena wameamua kuugeuza uislam uchawa. Wanatetea ukatili na mauaji ya Oktoba 29 sijui ni kwa sababu ya dini au uchawa na udini. Mie sijui.
  12. Lamomy

    JamiiForums Tanzania Waovu wanapojificha kwenye kichaka cha dini taifa linazidi kuangamia

    Kuna vitu vinachekesha sana..!! 😹😹😹 Hivi lengo la waarabu na wamisionari kuleta dini Africa ilikuwa ni nini? Sheikh, Sharifu Majini (GTH) Sheikh Jongo Masheikh wa Bakatwa Sheikh Mwaipopo Mchungaji Mwamposa Hawa watu wakuu mnawaelewa kweli na matamko yao? Hivi wanaona tunachokiona sisi au...
  13. Pasta Joshua

    JamiiForums Tanzania Dini za wakoloni

    Umeshawahi kujiuliza ni kwanini waliotuletea ukoloni na kutuuza utumwani ndio hao hao waliotuletea dini ? Walitufundisha kusali tukiwa tumepiga magoti na tumefumba macho ,tulipofumbua tulikuwa na biblia na msaafu mkononi ,wao wakiwa na rasilimali zetu. Walitufundisha ukondoo wa kukubali hadi...
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania Maridhiano: Je, ni baina ya vyama vya siasa au baina ya madhehebu ya dini?

    Hakuna asiyejua kuwa Katiba yetu inatamka wazi kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi na serikali haina dini lakini raia wake yupo na uhuru wa kuchagua imani yake. Je, tunapoongelea suala la maridhiano ni akina nani wahusika wa maridhiano haya? Je, ni ungomvi wa wafanya biashara? Ni ungomvi ndani ya...
  15. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Hussein machozi kubadili dini kisa mauwaji ya mama kizimkazi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ameshea ujumbe huo kwenye page yake ya Instagram Namshauli awe msabato au kkkt YESU KRISTO ni mwaminifu sana Karbu husen machozi kwenye njian ya uzima Jina lako uitwe stephano SHAHIDI Steve Steven SAYUNI BOY
  16. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Dini zinazosemekana ni za mungu zinabariki yote haya

    Kwamba unaweza kufanya lolote baya na ukashika kitabu cha Mungu ukaapa na chochote kisikupate. Au na wao wanajua hakuna Mungu ndio maana wanajiamini kufanya lolote.
  17. W

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wamekaa kimya suala la Heche kuzuiwa kwenda kumzika Odinga

  18. Zacht

    JamiiForums Tanzania Makundi kama ISIS, Al-Qaeda ,Hamas n.k, Yametokana na vurugu za kisiasa sio dini

    Hardtimes create tough men Machafuko na vurugu za kisiasa, ukosefu wa elimu sahihi ya dini,elimu ya kiraia na mateso ya kijamii(uongozi) vilizalisha kizazi cha vijana wenye hasira waliokua kutokana na mazingira magumu vikapelekea makundi haya kuzaliwa si kwa misingi ya Qur’an. Asili ya vikundi...
  19. Surya

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwatawala Watu, Dini na Serikali kutumika vibaya

    Mifumo ya kidini inaingiliana sana na serikali, Kwa vile serikali inalipa wafanyakazi pesa mwisho wa mwezi basi na Makanisa yakaona kutoza fungu la Kumi kila mwezi huwenda ni tamaduni tumeiga kutoka kwa watu fulani, nafikiri fungu la kumi kutoa nikwa waajiliwa tu, kwa wafugaji sijajua inakuaje...
  20. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini ya Kikristo wanazidi kuwindwa, wengine wameshakimbia nchi, SHIDA NI NINI??

    Ni kutomkubali tuu malkia?? Inamaana upande wa dini ile wote wanamkubali mtu wao??. Viongozi wa dini ya kikristo ambao hawafuati maelekezo ya malkia wanakiona cha moto, naanza kuamini ile barua ya mange kimambi japo Msigwa aliikanusha lakini sasahivi yanatendeka yaleyale.
Back
Top Bottom