dini

  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wachina na Wahindi hawasambazi dini KWA bidii kama Waarabu

    Wachina wanadini ZAO, wahindi ndio balaa. CA ajabu watu wa haya maeneo hawana kiu kubwa ya kutaka watu wajiunge na dini yao kama Waarabu. Sababu ni nini?
  2. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Hata Biblia Inajua...

    Mhubiri 10:19 "Karamu hufanywa kwa ajili ya kucheka, divai hufurahisha maisha; bali fedha hujibu kila kitu." Mungu huwapendelea wanaojituma. Miujiza haiji kwa wavivu, huja kwa wale walio tayari kuipokea kupitia kazi. Fedha huleta suluhisho kwa mahitaji ya maisha: chakula, afya, elimu, malazi...
  3. Surya

    JamiiForums Tanzania Imani (dini) ya kweli haiishii kwenye hoja.

    Juhudi za kimwili na akili tulizonazo binadamu wote hazitoshi kuwa ushahidi wa imani ya Mungu mwenye nguvu kupita wote. Kuna Mungu na miungu. Viumbe kama miungu vina nguvu, na nguvu hiyo tunaita nguvu ya kiroho (maarifa ya kiroho) Tunafahamu Mungu aliyetuumba ndie ana nguvu kubwa ya kiroho...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Namkubali na kumuheshimu sana Shehe Hashim Rusaganya, mbobezi elimu ya dini na elimu Dunia ,mfano wa kuigwa miongoni mwa Wanazuoni wakubwa duniani

    Niwe muwazi kuwa Mimi ni mkiriso lakini namkubali sana Mwanazuoni Shehe Rusaganya Mungu azidi kumbariki Kwa hekima alizompa
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati utafika Wakristo wafia dini wataitelekeza Israeli

    Waisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu. Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
  6. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Afrika na dini, mzungu na rasilimali

    Africa tumelishwa UJINGA mwingi sana yaani sisi bila hizi dini labda tungekuwa na ulinzi mkali kuhusu rasilimali zetu. Hapa. Mzungu na Mabara mengine yote wanafuata RASILIMALI AFRICA ila sisi waafrica nia yetu ni kwenda MBINGUNI tu 🤣 Kuna namna walituchezesha na kutumezesha ujinga ambao...
  7. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Sura Tatu za Dini ya Kisasa: Biashara, Udhalilishaji na Siasa

    Katika kipindi cha sasa, dini imeanza kuchukua sura mpya katika jamii ambayo inazua maswali mengi kuhusu uhalisia wake. Kwa baadhi ya watu, dini imepoteza dhima yake ya msingi ya kuwa chombo cha maadili, mshikamano, na uhusiano kati ya binadamu na Muumba wake. Badala yake, inatajwa kuwa njia ya...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani wapinga vikali watu wa dini kufunga barabara kuswali

  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Dini isiyokuwa na Kwaya wakati wa Ibada, inakosa Uhondo!

    Katika maisha ya ibada, mahubiri na mafundisho ni nguzo kuu za kukuza imani na kuwaelekeza waumini jinsi wanavyopaswa kuishi au kuenenda. Hata hivyo, muziki wa kwaya hutoa ladha ya kipekee inayogusa moyo moja kwa moja, mahali ambapo maneno pekee hayawezi kufika. Ibada bila nyimbo za kwaya ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uboreshwaji wa data za wanandoa hasa kwa dini ya Kikristo

    Habari.. Kumekuwa na udanganyifu kwenye baadhi ya ndoa za kikristo. Kwa sheria na taratibu zao imeruhusiwa ndoa moja tu. (Nyingine zitafungwa ikiwa mwanandoa mmoja amefariki au ndoa kubatilishwa na kanisa) Nimeshahudia kesi za watu watatu wakristo, mmoja alifunga ndoa na mwanamke ambaye...
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni UWENDAWAZIMU kutaka taifa la Tanzania liandaliwe kutawaliwa kwa sheria za dini fulani

    Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.
  12. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Ni Kweli Makatibu wa CCM Wilaya na Mikoa wengi ni wa dini fulani?

    NIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo ni za kweli au laa. Hebu tuitazame mikoa yetu tuone kama kuna ukweli. 1. Mkoa wa Dar es Salaam...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hakuna binadamu aliyeitumikia ccm na mwenye dini ya kuja atakayewapigania WaTanzania kamwe!

    Asiye na akili timamu ndiye atakayeamini maigizo ya kisiasa wanayofanya ccm na wanasiasa wake
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hili la wanawake kutokuwa na bikra linanichefua hasa hasa kwa hii dini yetu pendwa ya kikristo

    Ni ngumu sana tena sana kukutana na bikra Leo hii hili jambo kiukweli linanichefua sana tena sana na hii ni ngumu kukutana na bikra kwa upande wa hii dini yetu pendwa ya kikristo ni ngumu asilani abadani yaani umkute mwanamke bikra wa kikristo hilo ni mwiko kabisa tofauti na kukutana na bikra...
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni Mkatoliki mfia dini

    Tujikumbushe Balozi aliyejiuzulu ni Mkatoliki mfia dini. Huenda anatumika kupenyeza ajenda toka Vatikano. Tumpuuze
  16. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Rafiki yetu Cheda: Alivyopotezwa na itikadi kali ya Dini

    Rafiki Yetu Cheda: Alivyopotezwa na Itikadi Kali ya Dini” Utangulizi wa Kijiweni: Basi ndugu yangu msomaji, leo ngoja nikupe story nzito ya maisha halisi ya jamaa yetu tuliyesoma naye Minaki—jina lake Francis, ila sisi tulimzoea kumuita Cheda. Hii sio hadithi ya kufikirika, ni ukweli wa...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mungu Nisaidie Niweze Kunyamaza, Nijiepushe na Dharau na Kebehi dhidi ya Dini nyingine, Niepuke Kujimwambafai Mbele ya Dini na Madhabahu ya Wengine

    Bwana Mungu wetu akawe Nuru na uzima ya kuona ukuu wake, kuwa na mioyo ya utu ya kitodharau dini za wengine, mbele ya Mungu hakuna mwenye kinga, Linda utu, haki na amani hivi vinaenda kwa pamoja, heshimu dini yako kama ambavyo unataka dini yako iheshimike, na kama nia baadhi yao ni kutangaza...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapata wapi Mamlaka ya kukashifu Makanisa na kuyaita Makanisa ya Kishetani?

    Yeye Makanisa yanayomsifia ndio anayapenda na kuyasifia yanafanya kazi ya Mungu Makanisa yanayokemea Utekaji ,Upoteaji na Mauaji, anayaita Makanisa yanayofanya Kazi ya Shetani !!. Kwamba anataka kuwaambia Wakristo Tanzania Kua kanisa hili msali, like msisali??.
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyo dini Dola haiwezi kufa na itaendelea kuenenda kama Dola

    Huu ni ukweli mchungu ambao tunatakiwa kuishi nao milele na milele. Hakuna wa kuishusha Dola na hakuna wa kuishusha dini. Chukua upande ulio sahihi katka nyakati sahihi. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  20. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Hakuna mamlaka inayogombana na dini na kuishinda

    Askofu Bagonza amesema kuwa kuna mambo mawili magumu siku kugombana nayo siku hizi, kama uwezo wa kuepuka ugomvi wa hayo mambo mawili, yaepuke kwani huwezi kuyashinda Amesema ugomvi wa kwanza ni kugombana na Gen Z, sisi tuna bahati gen z wetu washamba washamba bado wamelala, ila haina maana...
Back
Top Bottom